Search results

  1. Raynavero

    Msaada hii movie ya Suniel Shetty inaitwaje?

    Sisi Daslama tulikua tunamuita mzee Ashanti daah huyu baba acha kabisaa
  2. Raynavero

    Msaada hii movie ya Suniel Shetty inaitwaje?

    Aishwarya anampiga risasi Akshay bila huruma aseehh!!!Mchizi anamuambia Demu amuue si anaumuua kweli!!Dada gaidi then bwana ake Ajay Devgan
  3. Raynavero

    Msaada hii movie ya Suniel Shetty inaitwaje?

    Khakee first time nilivoiangalia nililia aseehh!!!Mimi bwana kwa wahindi nalia kama mtoto Niko too emotional!!! Halafu nampenda Devgan ndo kawa adui daahh!Aishwarya Rai mule ameact vzr sana
  4. Raynavero

    Msaada hii movie ya Suniel Shetty inaitwaje?

    Teree naam ya Salmaan Khan Bwana!Bhaijaan anakuwa chizi
  5. Raynavero

    Msaada hii movie ya Suniel Shetty inaitwaje?

    Hizo movie Star Gold hua wanaonesha sanaaa!Haswaa Sholay!naielewa sana hii movie
  6. Raynavero

    Msaada hii movie ya Suniel Shetty inaitwaje?

    Dhadkan Sunil,Akshay na Shilpa Shetty nawaelewa Sana hawa watu
  7. Raynavero

    TANZIA Dakota Skye Afariki Dunia

    We ndo hujamuelewa huyu mjamaa wenzio washamuelewa ametumia lugha tofauti kufikisha ujumbe maana action alizosema yeye hapa ni za kitandani Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
  8. Raynavero

    Mbowe hajaweka bayana hoja ya kumwonesha Rais Samia kwamba kuna uharaka wa Katiba Mpya

    Hii nchi ukiwa serious utakufa bure we ishi tu kama ilivyo
  9. Raynavero

    Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

    [emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji6]kauzu huyooo Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
  10. Raynavero

    Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

    Naikumbuka hii demu ni best wa rafiki yangu! Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
  11. Raynavero

    Hamisa Mobetto apostiwa na page mashuhuri ya udaku Marekani (TheShadeRoom)

    Wewe ndo umepaniki Sana'a!maisha marahisi mnooo!!kumuita mtu Malaya ni kujichoresha tuu!gawa na wewe K si umepewa
  12. Raynavero

    Nini hasa kilikuwa chanzo cha ugomvi wa P Square?

    Wote ni Washabiki wa Chelsea!
  13. Raynavero

    Nini hasa kilikuwa chanzo cha ugomvi wa P Square?

    Kumbe hata hawakwenda harusini?!!daaah ila ni kiisuuu bwanaa Ka Anita kazuri nacho kamezaa mapacha
  14. Raynavero

    Nini hasa kilikuwa chanzo cha ugomvi wa P Square?

    Peter hana Rasta IG anajiita Peterpsquare na Paul ni Rasta anajiita Rudeboy
  15. Raynavero

    Diamond Platnumz kwanini ulikwenda wakati unajua kabisa hupati Tuzo, Wizikid mbona katulia zake gheto?

    [emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]
  16. Raynavero

    Nini hasa kilikuwa chanzo cha ugomvi wa P Square?

    Peter ndo kaoa yule chotara Paul kaoa kadada kanaitwa Anita Ila wanawake jamani kaahh
  17. Raynavero

    Nini hasa kilikuwa chanzo cha ugomvi wa P Square?

    Looh! Kumbe sema walimkataaga kwa kua ni mkubwa kiumri hata bimkubwa Hakua anamtaka yule mama!si unajua waafrica Kuoa mwanamke aliyekuzidi umri ni chengaa...!!!ila mrembo yule mdada mweehh!!!
  18. Raynavero

    Nini hasa kilikuwa chanzo cha ugomvi wa P Square?

    Peter anahaha tu ukiangalia hata kimziki Rudeboy yuko vzr sana na anatoa hit song tupuu!kuna Chizoba...Reason with me za Rude go and listen those songs ziko bombs..Peter ni denacer na Paul ni muimbaji na ndo maana walivotengana Peter alijikakamua kutoa nyimbo mwenzie alikaa almost a year bila...
Back
Top Bottom