Search results

  1. lukindo

    Brazil: Meya wa Mji wa Sao Paulo asema hospitali zinaweza kuzidiwa ndani ya wiki mbili zijazo

    Vipi Brazil Mungu ni kwenye mpira tu, ni kwa nini wasimuombe na kwenye hili suala linalotishia maisha yao!?
  2. lukindo

    Rais angalau awe ameshakuwa Waziri wa Mambo ya Nje au Balozi; kwa hili Nyerere aliona mbali

    Nakumbuka wakati wa Mzee Mkapa hali ilikuwa ngumu sana lakini kwa msaada wa mdahalo wa wazi watu walipata kujua umuhimu na uwezo wa kiongozi kwa masaa machache tu. Wakati tukitafuta suluhisho la matatizo yetu pia tukumbuke aliyeondoa midahalo ya wagombea kama mchawi wetu! Nafikiri wazoefu...
  3. lukindo

    Kwetu tunapohesabu wafu, wenzetu sasa wako kwenye kurejea maisha yao ya kawaida

    Hawa sio watu wazuri aisee, yaani sisi tumeacha miapa wazi ili kuwasidia lakini baada ya kukaa sawa wameamua kutufungia!
  4. lukindo

    WHO yailaumu Tanzania kutokutoa ushiriano mzuri takwimu za COVID19

    Huyu jamaa katuni sake ni zaidi ya miaka 30 na cha ajabu zinakuwaga na unabii flani maana kuna zingine za miaka zaidi ya 15 ukiziangalia leo ndio unagundua ukweli wake. Hii nayo ni kama ya kaunabii fulani hivi!
  5. lukindo

    Utata wa hesabu: Naibu waziri afya anadai tunapima kwa siku watu 500 na wanaohisiwa tu, na kati ya hao walio ambukizwa ni kati ya 70%-80%

    Sasa sijui wanakuhisi vipi!? Ndio maana lockdown au hata isingekuwa hiyo basi kufanya restriction ili pale tu alipojulikana mtu wa kwanza ndipo tracing ingeanzia. Sasa ndio tumeshachelewa lakini haina maana ndio tujiachie na kufa sote, hapana tuanzie hapahapa tulipo na kwa vile uwezo tayari ni...
  6. lukindo

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu anawasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake

    Hivi huwa dada ni mbunge wa jimbo gani vile!?
  7. lukindo

    Niliyoyashuhudia leo Muhimbili

    Njoja tuendelee kusubiri kama 'unabii' wa Melinda Getisi utatimia maana dalili zake zilishaanza!
  8. lukindo

    Mnaopinga lockdown kuna vitu mfikirie kwa mapana

    Mwezi mmoja uliopita (siku kama ya leo mwezi jana) athari za hili janga zilikuwa zinalinganishwa na vita kuu ya pili ya dunia, Mwezi mmoja baadae wanasema huenda athari zake zinapita za WW2 ikiwa na maana kuwa katika watu wote tunaoishi sasa hakuna hata mmoja aliwahi kufanya hata simulation ya...
  9. lukindo

    Mnaopinga lockdown kuna vitu mfikirie kwa mapana

    Naona wanaopinga wanasema Rwanda na Kenya wameweka lockdown lakini wangonjwa wanaongezeka. Na kwa vile wengi wanamini katika hizi propaganda na kutokuelewa huenda ikatupelekea kwenye janga zaidi maana hawajui kuwa idadi ya testing iliyofanyika katika nchi hizo tukiifikia sisi idadi ya case ndio...
  10. lukindo

    Sala ya siku 3, je kama nchi tuna nini? Tunaomba huku hakuna juhudi za kupambana na corona? Wenzetu wanasali au wanawekeza kwenye afya?

    Nawaza ni katika point gani inabidi ufikie na kukubaliana kuwa hili ni janga kubwa na HATULIWEZI! Na baada ya hapo wenye kuendelea na maombi waendelee na wanaoamini vyote (sayansi na Mungu) wachukue nafasi yao. Hapa nina maana kuwa sisi tukae pembeni na tuombe msaada (labda kutoka jumuia ya...
  11. lukindo

    KWA UFUPI - Mapendekezo ya ACT Wazalendo kuhami Uchumi wakati wa #COVID19 Tanzania

    Ghana wamefuta bills za maji na umeme kwa miezi mitatu, Namibia wametoa pesa taslimu kwa raia Kenya wamepunguza VAT kutoka 16% nadi 14%, kufuta PAYE kwa mishahara chini ya 500,000/-, benki kuahirisha marejesho kwa SMEs. Rwanda na Uganda wanagawa chakula. Ungefanya research kidogo ungejua zaidi...
  12. lukindo

    KWA UFUPI - Mapendekezo ya ACT Wazalendo kuhami Uchumi wakati wa #COVID19 Tanzania

    Zitto, Hadi sasa trehe 15 April Jumatano haya ndio mawazo sahihi kwa hali tuliyo nayo. Nchi yetu ina watu milioni 60 na haya ni mawazo ya taasisi au mtu mmoja kati yetu, anayeyapinga tafadhali aje na data mbadala (kujazia) ili zitusaidie kwenda mbele na kulishinda hili janga la covid-19. Tuwe...
  13. lukindo

    Kifuatacho Baada ya COVID19 Kuisha. Make Order Out of Chaos

    Hao wanaotaka kuleta hayo mabadiliko waliona mbele ila na wewe uliyeweza kuyaelewa bado ni 'great thinker' miongoni mwetu. Tatiizo ni kwa wale ambao masikini hata hawajui ni kwa nini haya yanatokea na hawajui hiyo misaada inayotolewa na Jack Ma na Bill Gates kuwa ndio beneficiary wa uchumi huo...
  14. lukindo

    Mhandisi msanifu wa jengo la Ikulu Dodoma ni wa kiwango cha kata

    Mawazo yako ni sawa kwa kufuata uhuru wa kujieleza lakini kwa tulipo sasa ni unahujumu uchumi!
  15. lukindo

    COVID-19 ni ushahidi kuwa Madaktari na Manesi ni kada zinazostahili kulipwa vizuri sana na pengine kuliko kada zingine zote

    Previously masomo ya udaktari walikuwa wanapewa mkopo wa TCU 100% unconditionally, sijui sasa hivi ikoje!?
  16. lukindo

    Rais Magufuli amlipia Peter Msigwa Tsh. Milioni 38 ili atoke gerezani, CHADEMA wadai wameshamlipia Mil 40

    Imewekwa kwenya namba ya 01J1080100600 au 0744446969!?
Back
Top Bottom