Search results

  1. N

    Joka kubwa aina ya chatu lazua taharuki jijini Arusha

    Mleta uzi huu umechemsha kwa kusema kuwa hicho ni kiarabu,umekurupuka unatakiwa uulize kwanza usingetaja lugha
  2. N

    Mashine ya mionzi Ocean Road Hazifanyi kazi!!

    Hii inasikitisha sana kwa serikali yetu kushindwa kukarabati mashine hizo (chemotherapy) kituo chenyewe ni kimoja tanzania nzima kinachotoa huduma ya mionzi kwa wagonjwa wa saratani na kimeharibika zaidi ya mwezi,..kuna wagonjwa wangapi ambao wanahitaji huduma hii ambayo ni muhimu.?serkali kwa...
  3. N

    Joka kubwa aina ya chatu lazua taharuki jijini Arusha

    Mleta uzi huu utakuwa hujui umekurupuka kwa kusema hicho kilichoandikwa hapo kuwa ni kiarabu ..ungeleta uzi huu bila ya kutaja lugha
  4. N

    TANZiA

    Maziko ya aliyekuwa imam na shekhe wa masjid mwinyimkuu shekhe manzi kufanyika kesho baada ya sala ya Alasiri msikitini mwinyimkuu magomeni mapipa ...inallilah wainna ilaihi rajiuun
  5. N

    Tanzia: Sheikh Manzi wa msikiti wa Mwinyimkuu afariki dunia

    Kuna taarifa ya msiba wa imam na shekhe wa msikiti wa Mwinyimkuu SHK MANZI Magomeni Mapipa, maziko yanategemewa leo. Innallilahi wainna ilaihi rajiun.
  6. N

    Tujikumbushe ajali ya Treni 2002, Dodoma

    Wewe mbulula ni AJARI au ajali?
  7. N

    House for sale

    Wekw pic kiongozi....unauza kama hauna njaa
  8. N

    Lengo la waziri wa JK kubadili dini ni nini?

    Malecela nae pia alibadili dini..""??????
  9. N

    Mwezi Mtukufu Wa Rajab: Ya Kutenda na ya Kujiepusha nayo

    Alhamdullillah mungu akujaalie na kama kuna za mada zingine shekhe tupia humu.. Tuelimike
  10. N

    Picha: AINA ZA VITAMBI

    Mbavu sina lakini hiyo pic ya kwanza inawezekana kapandikizwa mimba
Back
Top Bottom