Siasa zinaanza kuingiliwa na wenye nia mbaya!
"Kumwaga damu" ni kauli yenye uzito mkali! Lakini ni kiasi gani cha damu kumwagika kinachostahili sifa kama hiyo/
Wa kuanza kupiga wengine walikuwa ni Chadema huko Vunjo na watu wengi walishangilia kuwa hakupewa kipigo tosha! Walilia kuwa...
JF ni "The Home of Great Thinkers" japo pia ni kaya " Where we Dare to Talk Openly!"
Tusiifanye JF uwanja wa uzalisha, ulea na kueneza "hate propaganda"!
Sijui sasa tuamini utafiti wa nani!
Futeni hizo tafiti! Tungojee mchakato wa kampeini uendelee kwa amani; wapige kura wanaopenda; kura zihesabiwe kwa amani na ukweli; washindi watangazwe; washindwa wakubali na kuridhia washindi. Tutakuwa tumepiga hatua kubwa kuliko kushabikia tafiti za hawa...
Kuna tofauti kati ya "information" na "propaganda" --- sana sana "political propaganda". Hata hivyo, propaganda yeyote (political or sociological) mojawapo ya mafanikio yake ni kwamba watu wengi hutongozeka na kujumuika, mithili ya mgoma ya mdundiko! Wengine tutafikiria hayo ya Makamba ni...
Nilisoma kwa makini. Ila nilitaka kila atakayesoma hiyo "ranking" azingatie kwa nini Tanzania tuliwashinda Kenya na Uganda! Je, tujivunie na "rank" hii ya kuwa "the best governed country in EAC"?
Soma na uelewe:
Ranked 15th in the continent, Tanzania is the best governed country in EAC, followed by Uganda (24), Kenya (27), Rwanda (31) and Burundi (32), the Mo Ibrahim 2010 Index country rankings.
Kesi Tamu Sana!
Albeit, the case before Makahama, dolour to Dr Slaa; you have a doctorate law degree, and understand Latin well:
Ignorantia juris non excusat (ignorantia legis neminem excusat)!
Shall the law establish, prima facie, the existence of wilful blindness on your part when...
Na tufungue tena ya kimada Josephine. Ni lazima tujue maadili ya kiongozi anayeitwa "RAIS", hata kama hao wanajidai kuwa ni viongozi wa dini watakataa kuyazungumza ya binafsi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.