Search results

  1. born again pagan

    Matokeo ya Sensa yametoka rasmi, idadi ya wanawake ni kubwa kuzidi wanaume, kwanini ugegede mke wa mtu?

    Mkuu unapiga hesabu zipi? Wanawake wamewazidi wanaume kwa 1.1m tu... yaani tunanyang'ana hao 1m tu. Suala la kila mwanaume aoe wake wawili mathematically equation not balanced.
  2. born again pagan

    Matokeo ya Sensa yametoka rasmi, idadi ya wanawake ni kubwa kuzidi wanaume, kwanini ugegede mke wa mtu?

    Mshana Jr nisikilize ndugu yangu...hao watawa ni hawaoi tu..lakini wanagegeda hao hatari. Tumeshuhudia kwa macho yetu
  3. born again pagan

    INAUZWA Ndege hii inauzwa

    Unapata 5 mkuu
  4. born again pagan

    Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    Ndio....tena na mashtaka kafutiwa yaani hakuwahi kufungwa jela hivyo ana haki ya kugombea ngazi yoyote ya uongozi au kuteuliwa ngazi yoyote ile ya uongozi. Mpo visokolo kwinyo?
  5. born again pagan

    Mwigulu Nchemba na mkandarasi, China Civil Engineering construction corporation biashara yenu ina harufu mbaya

    Wewe ndo Juha sasa....wanufaika wote wa ufisadi lazima wamponde JPM. Mfano mzuri ni akina Makamba, Msoga, Pena, Kinana na huyu Tshalla Muana.
  6. born again pagan

    Mwigulu Nchemba na mkandarasi, China Civil Engineering construction corporation biashara yenu ina harufu mbaya

    50B ni hela ndogo sana kwa mafisadi wanaoangalia mustakabali wa kizazi Chao hadi cha 5. Hapo imepigwa si chini ya 300B....Kwenye mgao Hangaya nae in the house.
  7. born again pagan

    "Boys 2 Men", kwanini msiiache Tanzania ipumue?

    Hao wahuni wote wakifa kwani hawana watoto wao? Mwingine kashapewa na Unaibu.
  8. born again pagan

    Nimevunja ndoa ya mtu moyo wangu safi

    Hapo fresh sana mwana.....kama mbwai na iwe mbwai tu.
  9. born again pagan

    Namba E tayari, mliokuwa mnasubiria kazi kwenu

    DYA zimeanza jana tar 19 Dec
  10. born again pagan

    Je, aliyesoma CBG anaweza kusoma doctor of medicine

    Naomba ushauri jamani, kuna dogo hapa 1. Amechaguliwa mining udsm 2. Pia amechaguliwa pilot "aviation " pale NIT Aende wapi? Ushauri jamani.
  11. born again pagan

    Mapokezi ya ndege: Rais Samia ameongea kama mmoja wa viongozi wa Awamu ya Tano

    Ukifikiri kwa umakini utagundua kuwa kashfa hazikusaidii.....sasa upopoma upo wapi hapo? Hoja ya msingi.....tuambie utofauti uliopo kati ya VP na Waziri. Achana na akina Mwiguli kwanza....hao tutawajadili next time na U turn zao.
  12. born again pagan

    Mapokezi ya ndege: Rais Samia ameongea kama mmoja wa viongozi wa Awamu ya Tano

    Hivi unajua utofauti uliopo kati ya makamu wa Rais na Waziri? Tuanzie hapo kwanza
  13. born again pagan

    Usajili Simba kuelekea 2021/2022 nani aondoke na nani aje?

    Wawa afyekwe???? We kweli kifo cha bonge kimekuchanganya.
  14. born again pagan

    Mdogo wangu ametapeliwa, nahisi kuchanganyikiwa, nahisi kufilisika

    Samahani sana bro lakini ukweli ni kwamba huyo mdogo wako ni mjinga wa kiwango cha juu mno afu eti amehitimu chuo......sijui ni chuo gani na ni level gani ya elimu. Ana elimu tu ila hana akili hata chembe. Kanikera haswa......siwezi kumvumilia mtu mjinga wa kiwango hiki.
Back
Top Bottom