Search results

  1. Dfour

    Bongo movies...

    Mwanamke amelala kapaka lip shine na makeup
  2. Dfour

    Matatizo ya Fuel gauge kwenye Rav 4 2000 model

    Mkuu nami nimetokewa na tatizo kama la kwako nimezunguka kwa mafundi hakuna suluhu nikijaza mafuta Full tank inaanza zingua mara ikae sawa mara inaonyesha empty mkapa yakiwa halftank ndio inaanza kusoma kawaida kwa sasa siangalii tena najua nikiweka full tank naenda km 500 then najaza tena pole...
  3. Dfour

    Mahubiri na BOOBS nje raha iliyoje

    Ndio maana Papa kajiudhuru kazi ya (utume) uchungaji ni ngumu sana kwa mwendo huu...... ??/
  4. Dfour

    Mwehu mmoja............

    Msikie mwehu huyu, alienda kwa rafiki yake kupiga story, mara mvua kubwa ikanyesha mshkaji ikabidi amwambie rafiki yake usijali utalala hata hapa sebuleni Lea kuwa mvua kubwa! Jamaa akasema poa nitalala usijali! Mwenyejì alipoingia chumbani kwake kulala kama dk10, kutoka chumbani akamkuta rafiki...
  5. Dfour

    Epiq Bongo Star Search wanambeba WABABA

    Yote kwa yote haya mashindano yamepoteza mvuto Mf mtu anakuwaje Star kwa ku copy kuimba nyimbo za watu wengine washiriki wapewe nafasi ya kuonyesha vipaji vyao kwa kuonyesha nyimbo zao ndio maana mshindi anavuma kwa wiki tuu anatoweka milele
  6. Dfour

    Treni ya mwakyembe Ubungo-stesheni ilikuwa zianze 10/9/12

    Nimepishana na treni hapa tabata imebeba abiria kweli jamaa kasimamia ahadi yake
  7. Dfour

    Mlevi..!!

    Mlevi katuma meseji kwa mke wake "Darling nipo bar napata mbili tatu, nitarudi nyumbani ndani ya dk 50 zijazo, ukiona kimya we soma tena hii meseji"
  8. Dfour

    Matoto ya siku hizi!!

    A Couple lived in tiny house, wanted to have sex without the Knowledge of their son. They started having sex and asked their son to stand in balcony and keep telling them whats happening outside,,, Son: John is buying fruits, Tina is pyaying and uncle Jack is ****ing his wife too! Dad: Whats...
  9. Dfour

    Lulu Mahakamani: 23rd April 2012

    Wanaouliza kwanini kapelekwa mahakamani wakati ushahidi haujakamilika ni kuwa kisheria mtu akiwa mahabusu anatakiwa kupelekwa mahakamani kila baada ya siku 14 bila kuzingatia ushahidi umekamilika au bado
  10. Dfour

    Tupia maneno picha hii

    Hivi zile zilizotolewa zanzibar haziwahusu hawa? nimeona kuna msamaria mmoja katoa bodaboda kwa polisi
  11. Dfour

    Gharama za mazishi ya Kanumba - huu ni upumbavu

    Cha kushangaza zaidi kuna msanii mwenzao anaitwa Sajuki anaitaji milioni 25 kwenda India kutibiwa hakuna hata msanii anayejigusa wanasubiri akifa wachangie milioni 30 za mazishi na mashairi mengi ya tulimpenda zaidi, Huu ndio unaitwa usanii kila kitu kuigiza
  12. Dfour

    Job description ya jk

    Hivi Kuna mtu anaijua Job description ya JK sababu sielewi anafanya nini Magogoni, Pia anakuwa jinsi alivyo sababu jinsi ya kumwajibisha haipo wazi hapa ndipo tunapoitaji katiba mpya hata leo leo tuweze mwajibisha huyu jamaa
  13. Dfour

    Tanesco Tabata Segerea Tunaangamia!

    Ni wiki ya pili eneo kubwa la Tabata Segerea hatuna umeme na sababu kubwa ni kuungua kwa transforma mbili siku ile ya mvua ya tr 21 tumetoa taharifa Tanesco na majibu wanayotoa ni kuwa itachukua si chini ya miezi mitatu kuzipata kutokana na mchakato wa manunuzi ulivyo lazima ufuatwe kwa...
  14. Dfour

    Dar Lux Services

    Duu waskaji mnajua kujenga hoja mwenye DAR LUX namjua nje ndani kwa taharifa yenu anagari moja sema kajipanga vizuri na kaingia kwa gear kubwa as if ana magari 50 kupata jina mabo yote hayo huzushii mtupu mkiendela kubisha nitawapa mpaka bei ya gari!!
  15. Dfour

    Husband and Wife

    Husband: I have a problem at the office. Wife: After marriage, you don't say I have a problem, say we have a problem. Husband: Ok, We are expecting a baby from OUR Secretary
  16. Dfour

    Haya Ndio Yanayompeleka"ga" Huko!!

    Mwacheni afanye kazi anataka kumwonganisha Kanumba na bongo movie wakafanye movie mbele
  17. Dfour

    Guest au nyumba

    Kwani ulivyokuwa unakinunua ulituuliza? iweje leo uje kutuuliza matumizi? Jenga mabanda ya nguruwe
  18. Dfour

    Think of plan b

    This is a good reminder…. A pretty woman was serving life sentence in prison. Angry and resentful about her situation, she had decided that she would rather die than to live another year in prison. Over the years she had become good friends with one of the prison caretakers...
  19. Dfour

    Rais wetu si ajifunze kwa wenzake??

    Hivyo vichwa vyote vikikutana nani atalipia bill ya menu
Back
Top Bottom