Search results

  1. FormerGenius

    Ukatili huu!!

    Mtu kupoteza uhai kwa simu yako kweli? hii ni sign wa umasikini wa fikra...uhai ni kitu kingine..nchi haina sheria au sheria hazieleweki? mfumo mmbaya wa CCM unapelekea haya yote..nchi inahitaji mabadiliko sehemu nyingi sana ila zoezi la kwanza ni kuwabadilisha wananchi kifikra na kuwapa mbinu...
  2. FormerGenius

    Jipatie Nakala yako: Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania by Nyerere

    Daah...sikuwahi visoma wala kuviona..nimeshawishika... MwanaKijiji niweke kwenye loop.... Natanguliza shukrani ...
  3. FormerGenius

    Mhandisi wa kiume aingiliwa kimaumbile hadharani na Mzungu.

    ..Kama walikuwa kwenye starehe zao kwanini walipelekwa kupimwa?.. ..Kwani ushoga na usagaji mbona umeishaingia kwa kasi ya ajabu TZ! ...au kwavile ni mzungu na mweusi mwenzetu...Mbona wabongo wao kwa wao wanageuzana sana tuu... Sipendi hizi tabia za kishoga na kisagaji ila kwa dunia ya sasa...
  4. FormerGenius

    Nafasi za masomo-kiboriloni moshi

    ha haaaa....nimeipenda hiyo no.14...ndio maana jamaa wako wengi pale
  5. FormerGenius

    Ombaomba huyu ashughulikiwe

    Hii inanikumbusha kuna kijana alikuwa anakuja chuo(enzi hizo tupo pale mlimani) na barua yake ya mwenyekiti akiomba asaidiwe ada ya kujiunga na form one ..cha ajabu tangu nippo 1st yr hadi nafika 4th yr kijana anakuja kuniomba ada ya kuingia form II!... Huyo Omba omba aende makanisani kule kuna...
Back
Top Bottom