Search results

  1. M

    Kwanini mvua ikiwa inanyesha ving'amuzi hukata mawasiliano

    Wavelength ya drop ya signal ikilingana na diameter ya drop ya tone la mvua kunatokea cancellation ya signal, kwa hiyo issue hapo ni frequency of transmission, high frequency means low wavelength and high attenuation, Kuband ina frequency ya juu kuliko C band.
  2. M

    Tulioishi na kusomea Tanga na viunga vyake kwa ujumla

    Bombo primary 1979 Popatlal 1983 Tanga school A Level 1986 Ualimu Jumuia 1988 Jadi 1990 Nimekutext Tanga nimebobea huko
  3. M

    Tulioishi na kusomea Tanga na viunga vyake kwa ujumla

    Umemsahau Mhina mchafu na Send
  4. M

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    UNAWEZA PIA SOMA "Purpose driven life" UNAWEZA DOWNLOAD KWENYE SEARCH ENGINE YOYOTE ILE, KITABU HIKI KIMEBADILISHA MTAZAMO NA MFUMO WA MAISHA YANGU.
  5. M

    Dk. Slaa atikisa

    huo ni uongo mkomavu mbona yeye mwenyewe hajaongea hayo?
  6. M

    Huyu ndiye askofu Gwajima ninayemfahamu, Wakristo jihadharini naye

    Hata YESU Mwenyewe Aliambiwa anatoa mapepo kwa nguvu ya Belzebouri "Pepo kuu". Sioni ajabu ya Tuhuma Hizi.Mwogpe Mungu utaumbuka!
  7. M

    Tb Joshua alivyonipa utajiri

    Lisilowezekana kwa wanadamu linawezekana kwa mungu, kama yesu mwenyewe alibadilisha maji kuwa divai tamu, na akasema mtafanya mambo makubwa kuliko haya kwa kuwa mimi naenda kwa baba, je haistahili aliyeamini kufanya haya? Mfungule fahamu zenu kwa jina la yesu.
  8. M

    Napatwa na hizi hisia kila mara...nifanye nini mimi?

    Njoo ufufuo na uzima kawe viwnja vya tanganyika parkers uombewe nawe utakuwa huru, hiyo ni roho ya mauti.
  9. M

    Napatwa na hizi hisia kila mara...nifanye nini mimi?

    ndugu yangu nakuomba uje kawe kwenye viwanja vya tanganyika parkers uombewe ili roho ya mauti inayokuvizia ikomeshwe na utakuwa mzima na afya tele.
  10. M

    Serikali Tatu: Ni mfano wa kutoka nchi gani duniani?

    Umeshawaji jiuliza pia Muungano huu tuliiga wapi?
  11. M

    Dr. Mwakyembe na Dr. Slaa watishiwa kuuawa

    HABARI YENYEWE NI HII NIMEPATA TOKA KWA MTU WA KARIBU SIJUI KATOA WAPI Maelezo ya Barua ya Mwakiembe “Bado nina imani kubwa na Jeshi letu la Polisi kwamba litaifanyia kazi taarifa hii bila kujali nguvu ya ukwasi na ya kisiasa ya watuhumiwa na kwa kuzingatia misingi ya haki na ukweli. “Msingi...
  12. M

    Hospitali za REGENCY na TUMAINI zimulikwe!

    Mimi mwezi April,nilipoteza Dada yangu ambaye tulimpeleka hapo hospitali anatembea mwenyewe ilikua Alhamisi na usiku wa kuamkia Jumapili nilipigiwa simu kuwa moyo ulisimama ghafla akifanyiwa operation ya dialysis. Hii hospitali inamatatizo makubwa hatujajua kuna nini hapa.
  13. M

    Zantel na Zain wapunguza gharama za internet

    YA TTCL MNAYAJUA? Nilisoma makala yako kwenye raia Mwema na kati ya vitu ulivyozungumzia ni ahadi za mtandao na kushuka kwa bei baada ya mkongo kuwasili. Nikuhakikishie kuwa bei zimeshuka mno kwa viwango vilivyokisiwa. Kwenye TTCL Broadband Mwaka jana kipindi kama hiki 500MB ilikuwa ikiuzwa...
  14. M

    Msaada wa ku unlock TTCL USB Modem

    Nilisoma makala yako kwenye raia Mwema na kati ya vitu ulivyozungumzia ni ahadi za mtandao na kushuka kwa bei baada ya mkongo kuwasili. Nikuhakikishie kuwa bei zimeshuka mno kwa viwango vilivyokisiwa. Kwenye TTCL Broadband Mwaka jana kipindi kama hiki 500MB ilikuwa ikiuzwa shilingi 30,000. Sasa...
  15. M

    MISUKULE inayodaiwa kutolewa na Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwaj

    Ukweli juu ya jambo hili analo aliyechukuliwa msukule, maana maamini ndiye aliyetoa habari nzima, alikuwa wapi na alichukuliwa na nani. Naunga mkono mchangiaji aliyepita kwamba mchungaji haiti mtu tuu aseme ila mtu anakuja halafu anasema mwenyewe.
Back
Top Bottom