Search results

  1. inamankusweke

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    "US college protests: Hundreds more arrested across US in Gaza campus protests" US college protests: Hundreds more arrested across US in Gaza campus protests Acha ujuaji,kila chuo kiwe na polisi!?..hao ni polisi wa Jimbo husika,tunajua us inaongozwa kimajimbo na kila Jimbo Lina polisi wao...
  2. inamankusweke

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Ni wamarekani,acha kujipa tumaini, kwamba wajinga mnaounga mkono Israel mko wengi
  3. inamankusweke

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Watu wanadakwa na polisi kwa mamia we unasema hakuna wanaozuiwa!!..wameweka kambi vyuoni wamedakwa wapo ndani
  4. inamankusweke

    Yahya Sinwar akagua vikosi vyake Gaza. Apigiana simu na viongozi wa Hamas walio nje

    Alikaa miaka mingi jela za Israel,miaka mingi,haogopi kifo,na akifa si mwisho wa harakati za wapalestina
  5. inamankusweke

    Budapest Memorandum: Ulaghai wa kihistoria Warusi waliowafanyia Marekani, Uingereza na Ukraine

    NATO na marekani siku zote wanataka kuiangusha urusi
  6. inamankusweke

    Yanga ni zee ambalo halina mafanikio ukilinganisha na umri wake

    Yanga kacheza robo 1969,1970,1998,2024,yanga kamfunga Simba Mara nyingi,kachukua ubingwa ambao Simba huugombea pia Mara nyingi zaidi kuliko Simba,yanga kacheza final shirikisho caf,yanga kwa Simba ni kubwa kiumri na kimafanikio. Na kwa kumfunga Simba mwenyewe
  7. inamankusweke

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Uliuliza tangu lini kisiwa kikatawala bara(mainland),nikakwambia Kuna kipindi mtawala wa china alitawala tokea Hong Kong au Taiwan,ushasahau hata ulikotoka, sultan WA Oman aliitwala Oman(bara) kutokea Zanzibar baada ya kuhamisha makao makuu ya Dola yake
  8. inamankusweke

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    We jamaa bana 🤣🤣,yaani tukichanga mtaji hela zako na zangu ni sawa na hela zako peke yako au hela zangu peke yangu!?..tukiunganisha kiwanja chako na changu ni sawa tu Kwa ukubwa na tusipounganisha, really!?
  9. inamankusweke

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Watawala wa Taiwan,mpaka 1940s walijihesabu wao ndiyo watawala halali wa Dola yote ya uchina na akina mao,waliokua wakitawala china bara ni waasi
  10. inamankusweke

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Sasa ikiwa hivyo Kuna Tanzania hapo!?..poor reasoning ability
  11. inamankusweke

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Hebu Rudi post no 83 ulikoni-quote ukaangalie Kama hakuna hong Kong
  12. inamankusweke

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Kuna military academy ya ukomando Zanzibar,ambayo ni ya jwtz, muungano ukivunjika itaendelea kuwepo!?..itakua ya jeshi gani!?..mipaka ya Sasa ya baharini ya Tanzania itabaki vilevile!?..una umri gani wewe!?..shule ulipitapita!?
  13. inamankusweke

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Hivi china haimiliki Hong Kong!?..Hong Kong siyo semi autonomous!?..unakuja unasema hawamiliki,Sasa kujadili na wewe Kuna maana gani Kama vitu vyenyewe huvijui na unajifanya kujua!?
  14. inamankusweke

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Kwa sababu hamkununua,kichwa unatumia kufanyia nini!?
  15. inamankusweke

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Hapa umeonesha kiasi gani u mtupu,ngoja nikuache
  16. inamankusweke

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Unafikiri kweli!?.. Tanzania ni muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar
  17. inamankusweke

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Umebugizwa chuki za kidini na Sasa unajamba tu,hata kufikiri huwezi,mwarabu katoka wapi kwenye huu mjadala!?..bila mwarabu usingetumia neno 'ardhi'
Back
Top Bottom