Search results

  1. M

    Huyu ndiye kiongozi mwenye mamlaka makubwa duniani kuliko mtu wa aina yoyote

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kweli mpinga kristu tunaye within. Wastage of time and resources. Hakika Mungu atalipia sumu unayomwaga. It's a shame!!! Hizi story ziko miaka mingi sana.
  2. M

    Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

    Ni haki yako kutoa maoni!! Kila mtu kichwa chake. TL ni mtu when it comes to sheria.
  3. M

    DAR: Jengo la NHC zilipo ofisi za Tanzania Daima na Billicanas laanza kubomolewa

    Kama ni siasa hatujengi hata kidogo. Na kama kesi iliyopo mahakamani ikiamuliwa kinyume chake jamaa atapiga bingo. Tusubiri tuone..
  4. M

    Nikimtazama Tundu Lissu huwa nacheka sana kwa anayoyafanya

    Hizi mada nyingine duh!!! Analofanya analijua kama ambavyo na wewe ufanyalo unalijua kwa mada kama hii!!! Kwa maksi ni negative!
  5. M

    Kubenea, usijisumbue kutuma SMS, Ubungo hatukutaki

    Unalalamika wakati watu tunapigiwa simu zina Sauti ya Magufuli anaomba kura!!!! What a shame.
  6. M

    Mbowe akamatwa uongo akihalalisha kumbeba Lowassa!

    Too late jiandae na kikatio chako no more bluh bluh.
  7. M

    Swali la Ugomvi: Kwani Lowassa Kawa Mganga wa Kienyeji?

    Duh! Kaaa tafakari kwa umakini kwanini watu wengi wanamtaka Lowassa licha ya kuwa na baadhi ya mambo yasiyo mazuri. Kama mnadhani kuwa ni dawa au watu hawafikirii vizuri basi nadhani iko kinyume chake. Mnajisumbua tu MMM makala ndefu hizi hazitabadiri watu maana mengi yanajulikana. Hata...
  8. M

    Lowassa akosa sifa za kuwa rais wa Tanzania

    Kasome azimio la Zanzibar. Naona kuna kukariri.
  9. M

    Kikwete: Atakayekaidi na kubaki kituoni kulinda kura "HATAVUMILIWA"

    Tunasubiri kwa hamu siku ifike tuone hayo mabavu ya juu ya sheria.
  10. M

    Wanaomwamini Lowassa wampe uongozi wa CHADEMA

    Wewe kama mtanzania una haki kusema usemavyo lakini kumbuka hii nchi si yako peke yako kila mtu ana hiari yake. Kama vile CCM na madudu yote bado ina wapenzi basi na CDM nayo ina wapenzi na watampigia kura Lowassa. Maamuzi ya mwisho niya mpiga kura. Semeni yootee tukutane Oct 25.
  11. M

    Operesheni Zinduka 6 - Yumkini Kikwete Anataka Lowassa Ashinde?

    JK ameshiriki kwenye kumkata Lowassa sioni hana jipya gani. Mimi naomba afanye hilo unalo shauri. Tumesikia akiwa Kenya kuwa mgombea wa CCM atashinda ndani ya Bunge la kenya. Hakuna jipya hapo. Tunasubiri kwa hamu tamko lake ili mwisho wa siku kusiwe na visingizio. Mapambano ya CCM yameishia...
  12. M

    UKAWA, Hamjagundua waliohama kutoka CCM ni watu watano tu?

    Subiri 25 Oct ndo utajua
  13. M

    Hiki ndicho kilichotokea kwa Samia Suluhu Mwanza

    Hakuna kukata tamaaa mpaka kieleweke.
  14. M

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Ha ha haaaaaaa! Jipe moyo matokeo bado siku chache.
  15. M

    Haya yamemzika Lowassa kisiasa

    Porojo za kitaaaa tu hizi
Back
Top Bottom