Search results

  1. S

    Tumepanda Airbus 380 kwa ngazi!

    bwana ni sahihi kulingana na daraja ulilokuwa ukisafiria.
  2. S

    Hii mara nyingi hutokea kwa akina dada

    Je Hao apo ni akina dada piaa.
  3. S

    Mwonekano mpya wa Sintah!

    pelekeni kwa wauza chuma chakavu. " mtu huyu kawa too much used"
  4. S

    Mashosti wanagombania mjegeje Mweeeeeee

    Kitasa aina ya vumbi ndiyo cha aina gani hicho. :loco::loco:
  5. S

    Waandishi wetu wa habari wamepauka kweli...

    Wapake mafuta
  6. S

    Zana za kivita za MALAWI

    Hawa ni askari wa tanzania siku walipo ingia anjuani. Huyo mwenye vest ni mzanzibari mmoja.
  7. S

    ivi uyu jamaa yuko wapi?

    Atakuwa nje tungemuona kwenye msiba wa Kanumba.
  8. S

    Picha/sura ya bakhresa

    Huyo siyo Bakharesa ila ni Said Bakharesa na Wanawe, tunataka tuone picha ya Bakharesa mwenyewe.
  9. S

    Polisi wa Tanzania wanafanya mavituuuuz

    kama wao wanafanya hivi Je wananchi wafanyeje?
  10. S

    Russian misaile complex, yars misaile in operation

    Hakuna Traficki atakae kamata hapo kwanza nae atabaki akishangaa tu hivyo ni vitu adimu kuonekana, Hii ni maalumu kwa ajili ya kuua binadamu.
  11. S

    Milalo kwenye TRIPLE- DECKER...

    Hali ya maumbile ya mtu, hebu mwambie mtu akupige picha miguu yako halafu uifanyi tathimini au uwape watu wengine waitathimini unaweza kujuta kwa nini ulifanya hivyo.
  12. S

    Mdau mwenzetu W. Malecela anapodhalilishwa na vyombo vya habari tumsaidiaje

    Wazinz wanamatatizo kweli, yaani wanatafuta masaada wa kumlinda Mtu, wakati alipokuwa anayafanya haya mbona hamkutuuliza. Acha kuleta mada zisizokuwa za msingi.
  13. S

    Morogoro mjini 2015

    Anyoe hizo nywele kwanza kama hanyoi hapati kitu.
  14. S

    Wabunge wakielekea bungeni mwaka 1984 (enzi za baba wa taifa)

    Tule unga wa yanga kwa sababu Nyerere aliupenda, au kulikuwa hakuna uga mwingine. Hata hilo basi La aina hiyo halitengenezwi tena hapa duniani je kwanini unataka kuturudisha kwenye ujima. Kwa kuwa babu zetu walitumia zana za mawe basi sisi tusitumie visu vilivyopo sasa. na hatufanyi hivyo kwa...
  15. S

    CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    Huko jalalani ulifuata nini.
  16. S

    Mil. 90 Zinahitajika kuokoa Uhai wa Dr. Ulimboka

    Polisi mmoja wa kikosi cha FFU ameuliwa wakati wengine kadhaa wamejeruhiwa vibaya leo na raia wenye hasira maeneo ya Tegeta Namanga. Pamoja na skari, kuna raia wawili pila waliouliwa na askari hao wa FFU huku wengine wengi wakiwa wameumizwa vibaya. Hii ilitokea kwenye purukushani iliyoanzhishwa...
  17. S

    Hii alama ingefaa mitaa ipi katika eneo unaloishi

    Alama hii zilitakiwa ziwekwe nyingi kwenye maeneo ya barabara ya shekilango to Bamaga hasa kwa Remi,Mori na Ustawi wa Jamii "chuoni "
  18. S

    Shukrani ya Punda.........

    Unajua jamaaa wanaosema Dhaifu halafu wanaendelea kunyenyekea, nawafananisha na mwamnamke anayesema kuwa mwanaume wangu ni dhaifu kwenye Mambozi lakini haondoki kwa huyo mwamamume na bado anamvulia nguo. Kama wewe shupavu si ukamvulie mwanaume mwingine, haya mengine yanatokana na Shida za watu.
Back
Top Bottom