Search results

  1. Wamamoyo1

    Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    MS******GE WEWE UAFATA TOTOZ???????????????????????:shock:
  2. Wamamoyo1

    Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    :hand:EBHANA SHWARI?? PROSPECTORS ZINAPATIKANAJE????
  3. Wamamoyo1

    Waliochaguliwa udom kupitia nacte

    :a s 41: nimepewa taarifa na moja ya wahusika udom kuwa majina yalichelewa kutumwa chuoni, so bado wanayfanyia kazi. Hivyo amesema kuwa wiki hii yatakuwa hewani. But nacte ni wazembe sana sijui nini kimesababisha wachelewe kutuma majina!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  4. Wamamoyo1

    Mkurugenzi anadhamiria kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa wilaya ya itilima

    Wakati ikiwa imebakia siku moja kufika tarehe 14/Dec/2014,tayari kumezuka sintofahamu kwenye swala LA malipo. Wakati wilaya zingine za mkoa wa SIMIYU kama MASWA,BARIADI na BUSEGA wamelipwa Tshs 140,000/= KWA malipo ya semina na uandikishaji yaani Tshs 10,000/= KWA kila siku ya kuandikisha na...
  5. Wamamoyo1

    Taratibu za kujiandikisha na mtihani wa kidato cha sita zikoje wadau?

    Jamani naomba anayefahamu taratibu za kujiandikisha na mtihani wa kidato cha nne aniambie wadau, yaani; ada kwa pc mwisho kujiandikisha na utaratibu mzima.
  6. Wamamoyo1

    Swali

    Hivi jamani watumishi, ukiambiwa umeingia kwenye orodha ya kwenda kusoma maana yake unajilipia(namaanisha kupitia mkopo/kujilipia mwenyewe) au halmashauri itakulipia? hasa kwa walimu.
  7. Wamamoyo1

    Swali

    Wadau hivi taratibu za mtihani wa kidato cha sita ukoje siku hizi kwa watahiniwa wa kujitegemea? nataka kurisiti. nataka kujua ada ya mtihani na mwisho wa kulipia. asanteni.
  8. Wamamoyo1

    Karibuni kumbukumbu ya Dr Daud Balali aliyekuwa gavana wa BOT

    Kumbukumbu zake kafanyieni mlikomzika.
  9. Wamamoyo1

    Wataalamu wa Kiswahili: Kuna ngeli ngapi za nomino katika kiswahili?

    Inategemea unazungumzia kigezo gani kaka. coz kila kigezo kinakupa idadi tofauti za ngeli, yaani kigezo cha KIMOFOLOJIA,KISEMANTIKIA & KISINTAKSIA
Back
Top Bottom