Search results

  1. L

    Nimshaurije mie

    Ukilikoroga lazima ulinywe nyambafu wewe,inaonekana wewe na huyo wifi yako wote ni machangudoa wekundu,hainhii akilini wifi yako anafanya umalaya wewe unamfichia siri eti kwa kuwa ni rafiki yako,bila kakaako ungemjua huyo? adhabu ni hapa hapa dunian ngoja uchezeke kwanza ndo upate fundisho kwan...
  2. L

    kina kaka naombeni majibu....(hata kinadada changieni)

    Mapishi ndo mpango mzima,unakula unashiba dunia yote unaiona ya kwako,sura kauze kwenu
  3. L

    Kuoa Mwanasheria!!

    Mi mwenyewe najuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuta kuowa loya
  4. L

    Machozi hayaniishii !!!!!!!!!!!!

    ungefunguka kidogo ili tujue kwa nn aliondoka ili 2pate pa kuanzia
  5. L

    Anataka kuzaa naye tu mtoto hatamuhusu baba.

    Mdau hapa kuna mambo ma 3 ya kuzingatia ambayo yako wazi 1.Umeshaowa kwa hiyo huruhusiwi kutembea nje ya ndoa 2.Anataka umzalishe mtoto asiye kuhusu lakini mtoto akipata matatizo hatakubali kuyabeba peke yake 3.Anasema alikupenda toka zamani na anaendelea kukupenda,hiyo ni ishara ya kukuharibia...
  6. L

    Ingwekuwa wewe ingeluwaje?

    ukicheat mara moja huachi daima,unakuwa ni muhanga wa ku-cheat,huyo anaendelea ku-cheat kwa umakini wa hali ya juu
  7. L

    SEX got me in Trouble.. Please HELP!

    Nilikuwa sijui kuwa kufanya mapenzi ni sawa na mtu asikiaye njaa mara tatu kwa siku na kwenda kula katika hoteli yoyote ile
  8. L

    Dr. Emmanuel boaz- daktari wa mifupa

    Mkuu pole kwa kuuguliwa Dr Emanuel anapatikana thru 0713 236164
  9. L

    Nimeamua kuwa cheater

    tehe tehe tehe ,ni PM nkupe siri ya kinachokuumiza
  10. L

    Mume wangu kantongoza

    Henge wewe ndo jinga kubwa Huyo bwana alikuwa sahihi Alitaka kujuwa wakati yuko Nje ya nchi mkewe alikuwa na mahusiano au la na kile kitendo cha mkewe kwenda kukutana naye kinadhihirisha kuwa mkewe anapigwa na tayari jamaa ameshapata picha halisi imebaki kwake kuchukuwa uamuzi Mkewe alitakiwa...
  11. L

    Ujasiriamali gani huu wa kuvunja ndoa za watu……………………!

    Yaani hapo nakubaliana na wewe mkuu kwa 120%,huyo kijana anachokifanya si kibaya ili vidume ndo wanafanya ukware usiotakiwa,ukiona wote wanaomshambulia lazima watakuwa ni wakware wa kutupa,wewe una mkeo nyumba ndogo ya nini,ninyi ndo msababishao ukimwi usiishe na mnaongeza watoto wa...
  12. L

    Ujasiriamali gani huu wa kuvunja ndoa za watu……………………!

    Yaani hapo nakubaliana na wewe mkuu kwa 120%,huyo kijana anachokifanya si kibaya ili vidume ndo wanafanya ukware usiotakiwa,ukiona wote wanaomshambulia lazima watakuwa ni wakware wa kutupa,wewe una mkeo nyumba ndogo ya nini,ninyi ndo msababishao ukimwi usiishe na mnaongeza watoto wa...
  13. L

    Waraka kwa mke wa mtu (ex)

    Na bado mengi yatawakuta nyie wapenda vya watu,mungu anayafunua madhambi yetu kwa kila atakae ufunuo
  14. L

    ...Kwa ujumbe huu... Unamaanisha mapenzi ya Dhati....

    Pole sana bwana,hapa hakuna cha kuuliza,hiyo meseji siyo yako,katumiwa m2 mwingine bahati mbaya ikaja kwako........au "SINA IMANI NA MULE KWAKO.kama ni wewe kwani kwako kukoje?
  15. L

    Kuna binti nataka kumsaidia mdogo wake je, naweza kumdo huyu binti?

    Acha uchizi wewe akili yako ilishakimbilia kwenye uzinzi,mara unaomba ushauri umu-do or not mara babake akijuwa? huna msaada kwa huyo binti..................msaada wa muungwana hauna masharti
  16. L

    Rafiki yangu anamkimbia mkewe(Ushauri Plz)

    Du ama kweli maisha ni mapambano,wengine wanapambana wapate wengine wanakimbia,wengine wanataka kila siku wanayimwa,wengine wanapewa kila siku wanakimbia,kaaaazi kweli kweli
  17. L

    Je ungeamua nini hapa....??!

    Fast nakimbilia angaza kupima na kupata ushauri nasaha,kama -ve nasepa na kama ni +ve nampiga mkwara atulie kisha namuowa ili tuambukizane vizuri ss wawili
  18. L

    Sitaki nataka hunifanya nilale na hamu usiku kucha!

    du hii kali kweli kweli, sasa kwann ufanye nataka sitaki wakati unataka? hii haijakaa sawa hata kidogo, Pia unachanganya maada kwani maandalizi na sitaki nataka ni vi2 viwili tofauti kama ni maandalizi kuna vi2 viwili waweza fanya ___Anza kujiandaa mwenyewe ___mwambie akuandae ikiwezekana kwa...
  19. L

    natamani mume wangu anywe pombe

    Wewe uinaonekana huja2lia, Kwa hiyo unaona akiwahi kurudi home anakubania Pia inawezekana unampa dozi kubwa inayomfanya ajisikie kuwa pemben yako muda wote. Tehe tehe teheeeeeeee
  20. L

    Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

    Bro inaonekana wewe ni mtaalam sana wa mambo haya,hebu endelea kumwaga maujuzi yako ili na wengine wafaidi zaidi
Back
Top Bottom