Search results

  1. matevez

    HELLO MAMBO ZENU, NAMUHITAJI KIPENZI WA KIKE.

    Hapana hii ni habari mwendelezo hata kesho pia
  2. matevez

    HELLO MAMBO ZENU, NAMUHITAJI KIPENZI WA KIKE.

    Husika Na Kichwa cha habari, Mimi ni kijana 30 Niko kaskazini arusha kazi zangu ni ujasiliamali natufuta mchumba wa kike miaka 20-35 sina masharti wala vigezo aliyetayari anitafute au kwa email mafuru4@gmail.com
  3. matevez

    Mambo ya kustaajabisha na Kujifunza toka kwa Steve Jobs!

    Very interesting aseee safi sana
  4. matevez

    Muongozo wa kuangalia tv online kupitia torrent (android na windows)

    Okey nimefanikisha iko powa aseee safi sana natumia mx player
  5. matevez

    Muongozo wa kuangalia tv online kupitia torrent (android na windows)

    Sasa cheif nimefanya kila kitu nimeopen ace stream lakini haijanipa option ya nitumie player gani kustream nisaidie hapo
  6. matevez

    Iphone 7 kuzinduliwa Leo

    Jamaa wako live wanalaunch now mwenye link atupe nimeona jamaa wa cnet wanazungumzia
  7. matevez

    GAFLA LINE YA TIGO HAIKO HEWANI

    Aseee ni shidaaa kaka
  8. matevez

    GAFLA LINE YA TIGO HAIKO HEWANI

    Nini simu au line
  9. matevez

    GAFLA LINE YA TIGO HAIKO HEWANI

    Natumia HTC d820 sasa toka sa tano haina netwk hadi sasa shida nini
  10. matevez

    Simu gani nzuri kwa milioni moja

    Asee hebu angalia hizo specs zen kachukue hii simu kaka
  11. matevez

    Simu gani nzuri kwa milioni moja

    Aseee c mchezo hiyo meizu kaka ngoja nadrop sasa shorts ni balaaa
  12. matevez

    Simu gani nzuri kwa milioni moja

    Asee Chief Mkwawa nimekusoma powa sana ninekuja na hizo short za meizu asee s mchezo ni bonge moja la kitu
  13. matevez

    Karibu Tigo 4G ndani ya Dodoma

    Hebu sogeeni na hapa muone maaajabu ya 3g halotel...
  14. matevez

    Amos 5 17*E Imegoma?

    Kama inavyojieleza hapo juu hii kitu baada ya kukaa angan kwa miaka mingi sana hatimaye imepotea na kuelekea kusikojulikana, wataalamu na wadadis wa mambo had sasa hawajatoa ni nini chanzo hadi kupotea na kutoenekana kabisa.....basi tuendelee na mada hii mototo
  15. matevez

    Amos 5 17*E Imegoma?

    Sio tatizo tu kaka hii kitu toka tarehe 24 imepotea na kuelekea kusiko julikana katika anga la mbali usawa wa kama km33000 toka usawa wa bahari kuna customers wengi sana ambao hadi sasa hawana mawasiliano baada ya hii kitu kupotea ndiyo maana Continental sasa wanahaha kupata satellite...
  16. matevez

    Corning Gorilla Glass 4

    Yaap shukran mkuu kwa maelezo powa sana, nilijaribu kupitia Amazon kule nimeona hiyo touch/digitizer ya xl iko around $12/14yaan ni very cheap ila powa ngoja nifate ushauri wako kaka
  17. matevez

    Corning Gorilla Glass 4

    Sasa Mkwawa umeongea kitu hapa nadhan nitapata msaada pia hapa, natumia nokia xl front glass ilipata damage ikaweka michilizi mingi tu but its still working na tach yake inapiga mzigo kama kawa, sasa nikatafuta fundi basi ile kuiona tu bana si akasema eti kuweka ingine tu ni 250000 is it...
  18. matevez

    Kioo cha nokia xl chahitajika haraka

    Mambo vip waungwana natumai kichwa cha habari chatosha kabisa natafuta hiyo kitu hapo juu yyte ambaye anayeweza nisaidia ani pm ili tufanyr biashara wandugu
Back
Top Bottom