Naomba kujua hii serikali ya sasa inaendeleaje na mkakati wa kuunganisha DR Congo na Tanzania Ili mizigo ya DR Congo isipitie Zambia bali ipitie Tanzania na kufika DR Congo kupitia Sumbawanga
uadilifu, kutokujilimbikizia mali, umoja, usawa na uwajibikaji ndizo sifa za viongozi wa taifa. viongozi ambao wanavunja hizi sifa ndio chanzo cha umaskini wa tanzania tangu miaka 50 ya uhuru. i agree n thank u very much Mr. Sitta.
why Tz is still poor after 50 yrs of independence (according to Mr. Mangasini)
Tz depend on rain fed since independence agriculture. Motivation to work has decreased bcoz hard work is percieved as a colonial element. A lot of programs are copied from IMF and world Bank eg. sAP, which do not fit...
Mangasini, "wakati wa uhuru Tanzania ilikua sawa kiuchumi na Korea Kusini, lakini leo hii korea kusini inatudhamini na kuwa na maendeleo makubwa kuliko Tanzania.
Mh Sitta aliwahi kuambiwa na Mwalimu J. K Nyerere kwamba, "msichezee misingi ya utaifa ambayo ni uadilifu, umoja, kutokujilimbikizia mali na usawa na uwajibikaji. Kinyume cha haya ndio tabia ya viongozi wengi hapa nchini
This should give us some solutions to overcome this poverty. i wanna join ideas from a debate at muccobs and jamii forum members.
Your contribution is of the essence
Mh. Samwel Sitta, Dr. Harrison Mwakyembe, Prof. Issa Shivji, Prof. Suleiman Chambo na Mr. Mangasini ndio watoa mada wakuu katika kongamano hili hapa chuo cha ushirika na biashara Moshi.
Leo tunataka tujue sababu ya huu umaskini wetu baada ya miaka 50 ya uhuru, kama kuna mchawi tumjue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.