Search results

  1. J

    Mambo ya China hayo jamani!!!!!

    Thank you for that alert but I would like to ask you to further aducate me. What is the so called "Barcodes" in a product. I would appreciate if you educate us more. It might be a new vocabulary to some of us hence hinder the message from reaching home
  2. J

    Chilling story of a Dar school

    Saying that the government officials are feeling bad without taking serious actions does not help. These have been comforting words always uttered by politicians. If this is the case in Dar es salaam where we expect the eyes of the government would easily see, how is the situation in other...
  3. J

    Ukata wageuza walimu kuwa wakulima

    Ukata si unawageuza walimu wakulima tu ila hata walevi na watoro kazini. Mshahara wa mwalimu wa ni mdogo kushinda hata wa kibarua anayebangaiza mchana tu usiku analala. Bora hata hao wenye maeneo ya kulima watakuwa wamejipatia kipato halali kupitia njia halali. Je kwa wale ambao hawana maeneo ya...
  4. J

    Mpenzi wako akifanya kama hivi utamuuliza? Utaanzaje kumuuliza?

    "Nitamnunulia BOX zima akae nalo - kwa maana anajali" Kama ni mie ningenyamaza wala nisingemuuliza kwa maana anajua kutembea peku ni kusababisha kifo katika familia. Ningemvalisha iliyobaki tuendelee na maisha then ningempongeza kwa kuwa anajali. Tuwe wa kweli sasa ili kuepuka maambukizo yasiyo...
  5. J

    Kuku wa kisasa wanakuzwa kwa ARVs

    Kuna rafiki yangu amenitumia email hii ambayo imenishtua kiasi fulani. Wanajamii forum hebu tuichunguze na kuijadili kuona kama ina ukweli wowote. "Habari ndio hiyo, uamuzi ni wako Kwa mujibu wa matokeo ya uchunguzi wa kitabibu, baadhi ya kuku wa kufugwa wanaoingia sokoni wamekuzwa kwa kutumia...
  6. J

    siku ya mlaji duniani

    March 15 ni maadhimisho ya siku ya mlaji duniani. Nami kama Mtanzania ni mara yangu ya kwanza kusikia maadhimisho ya siku hii katika taifa letu. Nakiri kuwa sijapata nafasi ya kutosha kujua nini maana ya siku hii na ni jinsi gani mimi kama mlaji nalindwa dhidi ya bidhaa na huduma ambazo nanunua...
  7. J

    Rose muhando aipasua ndoa ya alex msama

    Jamani jamani! Umbea kama huu ndio unaorudisha nyuma maendeleo ya wanawake walio katika harakati za kijikomboa na umaskini. Kama wanaume na wanawake hawatashrikiana katika harakati hizi maendeleo ya mwanamke yatachukua muda mrefu sana kufikiwa. Ni mara nyingi imetokea wanawake na mwanaume...
  8. J

    Maisha bora kwa kila mtanzania kweli ndo Haya??

    Mh! Hii slogan ya "Maisha bora kwa kila mtanzania" ni kiini macho jamani. Inawezekana mwenye kutoa slogan hii alikuwa na maana tofauti na ile tunayoilewa. Usiwashangae hao uwaonao katika picha hii, bora maji yapo na ni masafi. Hebu tafuta muda utembelee Mkoa wa Arusha na Manyara wanakoishi...
Back
Top Bottom