Search results

  1. P

    Bunge lijalo ni full skendo za ngono...

    Kwa mtazamo wangu, dhana ya kuangalia viti maalum with cotempt ni potofu. Sababu za kuwepo viti hivyo ni kutoa fursa kwa akina mama kushiriki katika chombo cha kufanya maamuzi (Bunge). Kwa mfumo uliopo sasa ni vigumu kwa akina Mama kuweza kupenya kwa kiwango cha asilimia 50% kinacholengwa...
  2. P

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    Bw Ngoshwe, Umenena vema, katika mambo mawili amb ayo (nime ya hightlight katika RED). Ningependa kutoa mwanga katika maeneo hayo kwa faida ya wenye nia ya kujua ukweli juu ya mchakato na mtazamo juu ya mgombea anayezungumziwa.... Wawakilishi wa wafanyakazi, wanatakiwa kuwa wanachama wa TRADE...
  3. P

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    If you think you a million times better than she is....then wewe ungetufaa BUNGENI...ninashauri Ukagombee ili ulisaidie taifa. Angalizo, ukienda huko, usiendeshe mambo kiubabaishaji kama hivi unavyofanya uchambuzi pasipo kuwa na data kamili na kutegemea circumstantial evidence .... tabia za...
  4. P

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    Kaka Hebu nenda Wizara ya sheria tafuta miswaada ya sheria aliyoandika huyo dada ili utoe hukumu yako juu ya writting skills zake...au ukitaka nenda kwenye firm yao pale umpatie kazi ashindwe ndio ujithibitishie kama hana uwezo...la sivyo kwa sasa utaishia ku speculate tu...
  5. P

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    Nakubaliana na hoja za umuhimu wa watu wetu kujua kuandika...sio kwa wanasheria tu bali kila fani. Moja ya sifa zake binti huyu ni kuandika ndio maana kabla hajatoka Sheria idara ya mwisho aliyokuwa akiifanyia kazi ni kwa Chief Parliamentary Draftsman..sifa ya kuwa huko ni UANDISHI wa Lugha zote...
  6. P

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    Ninakubaliana nawe HEKIMA UFUNUO...ni muhimu kufanya uchambuzi ambao upo supported na data badala ya hoja za kusadikika. Vijana wasomi kama hawa waliojitokeza badala ya kuwakatisha tamaa tuwape moyo... Kwa taarifa nilizonazo binti huyu sio mgeni kihivyo kwenye siasa ndani ya CCM, labda tu yeye...
  7. P

    Elections 2010 Makamba atinga jimboni Bumbuli leo na ufanya vikao vya siri.....

    How outhentic is this information? Mbona the whole of last week, huyo Mama alikuwa Johanesburg...imewezekanaje akawepo Jbg na Bumbulu at the same time? Sina uhakika na hiyo mikutano mingine unayoongelea, lakini kwa huo wa Mama ni UONGO..nathibitisha hilo... Again, inanifanya nitilie mashaka na...
  8. P

    Walakini katika Mchakato wa Kutoa NYOTA katika Hoteli za Tanzania

    Jana baadhi ya hoteli za Jijini Dar-es-Salaam zimepewa nyota ili kuwezesha kutambua hadhi/ubora wa hoteli kama ilivyozoeleka katika hotel industry duniani. Pamoja na kupongeza hatua hii muhimu...mchakato huo kidogo unatia mashaka kama ulikiwa objective...au ndio mambo ya kujuana au rushwa...
  9. P

    Hii kauli ya EWURA ni sahihi au ni longolongo zao tu

    Finally, EWURA wamezinduka na kutangaza vita kali dhidi ya vituo vinavyofanya uhuni wa kuchanganya mafuta...... It is too bad kwamba kuzinduka kwao ni mpaka magari ya STATE yaathirike....isingekuwa hivyo, it would have been business as usual..... tatizo la mafuta feki ni la muda...
  10. P

    Bilioni 30.9 ku upgrade ukumbi wa Bunge

    You are right...baada ya kuisoma vizuri news hiyo, haisemi ukarabati mpya utagharimu Bil 30.9.... japo haisemi pia ni kiasi gani kitatumika kugharamia. Hata hivyo, bado umuhimu wa kutathmini in the face of many challenges zilizopo, kwenda HIGH-TECH ni priority kwa sasa....whatever the cost..
  11. P

    Bilioni 30.9 ku upgrade ukumbi wa Bunge

    Is this a priority? Katika kipindi hiki kigumu cha uchumi, nadhani pamoja na umuhimu wa kuwa na bunge la kisasa, isingekuwa busara kufanya hiyo upgrade inayotazamiwa. Kwa mtazamo wangu, at this point in time, wangefanya upanuzi wa kawaida wa kuwezesha kuongeza viti kulingana na idadi mpya ya...
  12. P

    Jitihada za JK ni "SIFULI"

    Jamani mbona orodha zinazotolewa hapa ni negatives tu? Mbona yapo mengi mazuri amefanikisha hayatajwi.. Kabla sijaorodhesha mazuri yaliyo kwenye public domain.. Lazima tukubali fact kwamba JK ameingia madarakani katika kipindi tofauti ambacho, uchumi wa dunia umeyumba na hivyo, fursa nyingi...
  13. P

    Uongozi na michezo!!

    Nimepata kifungu cha katiba ya CAF kinachotoa ufafanuzi wa mashindano ya CHAN Article 2 The African Nations Championship is open to the national representative teams of the associations affiliated to CAF, composed exclusively of national players playing in the national championship, each...
  14. P

    Uongozi na michezo!!

    Kujibia swali lako la mwisho....mechi ya Taifa Stars na Rwanda ilikuwa ni kwa wachezaji wa ndani (yaani wasiocheza soka nje ya nchi zao or rather nje ya bara la Afrika).... Hivyo wachezaji wa kulipwa hawa qualify kushiriki.
  15. P

    Kiongozi gani amewahi kutembelea maktaba na je Serikali inazijali?

    Wazo lako la kuwa na maktaba katika kila halmashauri ni zuri sana.... It is much easier kwa halmashauri kujenga na kuendesha maktaba kwasababu wao wana vyanzo vya kupata resources za kuendesha maktaba hizo. Mimi nadhani kinachotakiwa ni kutafuta njia ya kufikisha wazo hili kunakohusika ili...
  16. P

    Kenyan PM Raila Meets David Cameron at Number10 Downing Street

    Suala hapa sio 'Kenya worrrying about Tanzania' au Odinga kumuiga JK, hapa suala ni MASLAHI kwa pande zote mbili. Ukiachilia Afrika ya Kusini, kenya inashika nafasi ya pili kwa idadi ya vitega uchumi vya Uingereza barani Afrika. Waingereza, wanaichukulia Kenya kama 'hub' or 'gateway' katika...
  17. P

    Former Zambian Finance Minister Jailed For Corruption

    Former Zambian Finance Minister Katele Kalumba has been convicted of corruption. A court in Lusaka jailed him for five years with hard labour in connection with irregular payments of $25m (£17m) to two American security firms. The offences were committed during the 1991-2001 presidency of...
  18. P

    Dear TANZANIANS

    There an interesting email circulating..it depicts ONE of the causes for depreciation of our currency... Dear all Tanzanians I, as a Tanzanian am proud to have achieved another milestone...The Tanzanian Shilling is now equal to more than 1,500 to 1 US$!!!! Congratulations to all of us...
  19. P

    Elections 2010 January Makamba atumia ofisi ya rais kujitangaza jimboni Bumbuli kwa ubunge 2010

    This is below the belt. U could see kwamba hiyo ni forged document....unapotaka kufanya propaganda..basi bora ufanye zile zinazofanana na ukweli. I'm not sure kama ni naivety ya Madevu au kuna political motivation ya ku mu undermine huyo mtoto wa Makamba? Hivi ni mtu gani mwenye nia ya...
  20. P

    Serikali kukopa Stanbic ni sahihi?

    Kuna maswali mengi ya kujiuliza juu ya majibu ya Mkulo. 1) Hivi kama ni kweli ilifahamika toka awali kwamba wafadhili watapunguza msaada wao mwaka huu, kwanini imemchukua zaidi ya wiki moja Mkulo kutoa msimamo huo.....na kwanini his initial reaction iliyokuwa reported kwenye media alionekana...
Back
Top Bottom