Search results

  1. babu M

    Rais Samia Suluhu amepokea hundi ya Dola Milioni 30 kutoka kwa Barick Gold Mine

    Gold price today touched all time high. It is slightly down now but it might soar above $2000 in the coming weeks
  2. babu M

    Makamba: Majadiliano na Wawekezaji wa Mradi wa Gas Til.70 yakamilika, Mkataba wa Ujenzi kusainiwa wakati wowote

    Makamba anafanya kazi vizuri! Lakini dola bilioni 30 ni nyingi sana. Itachukuwa muda kwa wawekezaji kurudisha mitaji yao ndio tupate faida kubwa kwetu. Nilisoma mahali kama sijakosea, hizi LNG plant zina lifespan ya miaka 20. Baada ya hapo itakuwa ni kuwekeza tena(Naomba kusahihishwa kama...
  3. babu M

    MWANA FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

    Umeweka hapo ana digrii ya pili au it doesn’t count?!
  4. babu M

    Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Tsh. Trilioni 1.2 za Miradi ya Maji na Afya

    Waziri wa Fedha Mwigulu akisaini mikataba miwili ya mikopo ya masharti nafuu ya USD milioni 550 (sh. trilioni 1.264) kutoka Benki ya Dunia kwa ajili ya utelekezaji miradi ya afya ya mama na mtoto na mpango wa uendelevu wa maji na usafi wa mazingira.
  5. babu M

    DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

    Ukishakuwa kiongozi wa juu, hasa rais unabudi kuwaondoa wanafamilia kwenye biashara hasa hizi za Kariakoo. La sivyo watakuwa wanakuchafua kila kukicha. Hata mambo ambayo hawausiki moja kwa moja watakuwa wanausishwa ili kukichafua. Hii sio kwa Africa tu, hata nchi zilizo endelea. Huyu anatakiwa...
  6. babu M

    Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

    Babutale inaoneka ni elimu ndio inamfanya asiwe hata na confidence ya kuongea bungeni. Haka jaribu ku deal na udhaifu wake watu mkashughulikia asubuhi na mapema! Hakubali matokeo tu. 2025 ana wakati mgumu!!
  7. babu M

    Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

    Kula viporo!!! Yupo ofisi ya raisi sasa hivi. Safari yake sasa hivi ni fupi kuwa Waziri Kamili.
  8. babu M

    Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

    Babutale mmetia kitumbua chake mchanga. Ndio matatizo tuliokimbia umande..lol
  9. babu M

    Mohamed Mchengerwa Wizara 3 chini ya mwaka mmoja, ni bahati au mkosi?

    Unfortunately, hii wizara imekuwa inateuliwa watu ambao hawaendani nayo. Watu waoga kufanya deal au kuongea nje ya Tanzania. Tangu Nyalandu pamoja na kashfa za hapa na pale lakini hakuna aliyewahi kuimudu kama yeye. Wengi uwezo unaishi kwenye mipaka ya Tanzania. Hawana uwezo kuitangaza...
  10. babu M

    UTEUZI: Antony Diallo, George Waitara wateuliwa Uenyekiti TANAPA na TFRA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu George Marwa Waitara kwa kipindi kingine kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) Anthony Diallo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania...
  11. babu M

    Hoyce Temu kaanza mwaka vibaya

    Alidanganya vipi maternity leave?
  12. babu M

    Profesa Nonga: Vifaranga 62,730 kutoka Ubelgiji vilivyokamatwa JNIA vyote vimefia Airport

    Nimesoma The Citizen wwameandika: 1) Veterinary certificate inatakiwa kutolewa baada ya kibali cha uhagizaji. Lakini Phoenix Farm Limited walipewa kabla ya kibali kutoka. 2) Phoenix Farm Limited walipiga simu wizarani kuomba kibali lakini wizara ikasema haiwezi kutoa kibali kutokana bird flu. 3)...
  13. babu M

    Hoyce Temu kaanza mwaka vibaya

    Huyu angepewa warning tu. Labda kama walikuwa wanamtafutia sababu! Mfano impersonation: Mimi niliwahi kusaini mara kibao nje ya nchi sehemu ambayo inatakiwa mtu mwingine asaini. Mfano mtu ameleta mizigo ofisi na anatakiwa Procurement manager ndio asaini lakini hayupo karibu, mimi nikasaini...
  14. babu M

    Hoyce Temu kaanza mwaka vibaya

    Kuna wengi hapa ukiwauliza Hoyce Temu amefanya makosa gani, hawajui. Lakini wanamshushia rungu! Wengine hapa lawama zao zinasomeka kana kwamba aliiba pesa. Mfano kosa LA kuvujisha siri za shirika. Ni nani hajawai kufanya ili kosa? Hata huyo aliyempa dada wa Taifa siri za Hoyce amefanya kosa...
  15. babu M

    Pesa ya Tanzania inatengenezwa na kampuni gani?

    De La Rue ni Public company iliyosajiliwa UK. Ilianza kutengeneza notes tangu Karne ya 18. Pia inatengezeza vitu vingine Kama makaratasi ya kuchapisha pesa, stamp, passport na kadhalika. Ingawa hii ni kampuni ya UK lakini walipoteza mkataba wa kuchapisha passport za UK kwa kampuni ya France...
  16. babu M

    Je, ni nani huyu mwekezaji wa kutujengea reli kipande Cha Uvinza-Gitega?

    Tatizo hawa wawekezaji wa kwetu na capital ya kuwekeza tunawapa
  17. babu M

    Je, ni nani huyu mwekezaji wa kutujengea reli kipande Cha Uvinza-Gitega?

    Kitachofanyika hapa. Huyu mwekezaji atachukua mkopo kwa asilimia 110 kwa guarantee ya serikali ya Tanzania. Kama itakuwa hivyo, kwa nini serikali isijenge yenye halafu kwenye mabehewa ndio wamweke mwezekaji.
  18. babu M

    Mwigulu Nchemba: Tutanunua madeni yaliyowahi kukopwa kwa masharti ya kibiashara

    Nchi za Africa uwajibikaji ni ZERO! Ni nani aliyekuwa Waziri wa fedha?
  19. babu M

    Mwigulu Nchemba: Tutanunua madeni yaliyowahi kukopwa kwa masharti ya kibiashara

    “Tumeshafanya majaribio hata kutaka tupate fedha zenye masharti nafuu tununue madeni ya nyuma ambayo yaliwahi kukopwa commercial [kukopwa kwa masharti ya kibiashara] tuyapeleke kwenye masharti nafuu, [..] ili tuwape Watanzania unafuu.” -Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba
Back
Top Bottom