Search results

  1. M

    Uzinduzi rasmi wa JF Aprili 2010

    Hongereni kwa maboresho yote mnayokusudia kufanya kufanya kwa lengo la kuboresha baraza letu JF ni baraza la watu wenye uwelewa mkubwa ktk mambo mengi nashauri tuheshimu mawazo ya watu wengi wakiwemo wanaotumia lugha za matusi na kumwaga pumba majibu yanayotolewa dhidi ya watu wanaotoa matusi na...
  2. M

    JK ana mapungufu lakini ana credit katika utawala bora

    LUTENI hata mkapa aliwahi kumpeleka aliyewahi kuwa waziri wa ujenzi NALAILA kiula mahakamani, tusemeje? yeye ni malaika.kikwete kawapeleka kina mramba mahakamani kwa ajiri ya sababu za kisiasa na kukomoana. jiulize kwa nini mawaziri wote waliopolekwa mahakamani kwa kesi ya Rushwa wanatoka...
  3. M

    CUF: Tutasimamisha mgombea urais

    CUF wana akili ndio maana wameamua kuweka mgombea urais kwa kuwa wanaamini kwamba wanaweza kuongoza nchi na hasa kwa kuzingatia changamoto nyingi ambazo rais Kikwete ameshindwa kuzishughurikia Ufisadi, ukosefu wa ajira {ondoa za kuokota chupa}kupanda kwa gharama za maisha kwa kutaja...
  4. M

    HI!!!

    oya washikaji wa baraza la jamii mambo vipi? nami nimo ktk baraza naomba mnipe sturi ili tuweze kushirikiana ktk kutoa maoni mbalimbali kwa ajiri ya faida ya nchi yetu naamini sturi nimepata poooooooooooooa
Back
Top Bottom