Search results

  1. Achraf Hakimi

    Nchi imejaa ushabiki wa ajabu, sijui kama ipo siku tutasimama kama Taifa

    Kama hujaliona kosa lake basi kaa kimya, unampangiaje mtu timu ya kushabikia... Soka halipo namna hiyo mkuu.
  2. Achraf Hakimi

    Hii mialiko ya futari inafikirisha. Sasa imeshakuwa trend!

    Mkuu, aliyeshiba hamjui mwenye njaa..
  3. Achraf Hakimi

    Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Changamoto ni katika sehemu ya maisha, MUNGU akufanyie wepesi
  4. Achraf Hakimi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hata hamu ya kuangalia hii mechi sina.. ngoja tuone tunaweza kushangaza mashabiki wa boli.
  5. Achraf Hakimi

    Mzizi wa fitna: Pacome vs Chama, nani zaidi?

    Siasa tu za bongo zinaingizwa kwenye soka letu, Hizo tuhuma zao hazikua na mashiko
  6. Achraf Hakimi

    Mzizi wa fitna: Pacome vs Chama, nani zaidi?

    Mashabiki wapi mkuu?!
  7. Achraf Hakimi

    Mzizi wa fitna: Pacome vs Chama, nani zaidi?

    Chama ana misimu takribani mitano yupo na ubora ule ule, Pacome ana misimu mingapi ya kuwa bora?
  8. Achraf Hakimi

    Muenzi mke wako

    Ni zaidi ya changamoto... Tuombe kheir
  9. Achraf Hakimi

    Mzizi wa fitna: Pacome vs Chama, nani zaidi?

    Chama fundi wa mpira.. Ubora wake unadhihirika misimu kadhaa sasa, Pacome ni mchezaji mzuri pia tumpe muda tuone ubora wake ukizingatia ndio msimu wake wa kwanza pale Yanga.
  10. Achraf Hakimi

    Muenzi mke wako

    Watu wamesahau kuenziana kwenye mahusiano... Na ndio siri wazee enzi na enzi wamefanikiwa.. Leo vijana tunatafutiana sababu tu ilimradi kutiana hila!
  11. Achraf Hakimi

    Muenzi mke wako

    Yaani haijalishi kitu kina ukubwa au udogo kiasi gani kama unaona kimekufaa unakichukua na kama hakifai unakiacha.. Na wema hauozi hata iwe ni punje ya mchanga
  12. Achraf Hakimi

    Muenzi mke wako

    Anayeona aishi nao kwa akili sawa na anaeyeona ni uongo pia ni sawa tu
  13. Achraf Hakimi

    Muenzi mke wako

    Ni kawaida ya mwanadamu kupuuza
  14. Achraf Hakimi

    Muenzi mke wako

    Nipo mkuu
  15. Achraf Hakimi

    Kama ana 7 kati ya haya 10. Oa tu mkuu, hakuna tatizo

    Kwenye mambo yake 10 basi lipo moja ambalo linatosha kabisa kumpenda nalo hilo na amani kutawala ndani ya nyumba! NB: Mkamilifu hakuna tuvumiliane madhaifu yetu
  16. Achraf Hakimi

    Simba imepiga bomu Mochwari, Kelele kama zote

    Kula chuma hicho! Ft Simba 6 Jwaneng 0
  17. Achraf Hakimi

    FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

    Kwa misimu takribani 6 mfululizo haijawahi kuwa shida kubwa kwa Simba kufuzu hatua ya robo fainali, ni wakati sasa wa kupambana kuitafuta nusu fainali na hata fainali yenyewe. Kila kitu kinawezekana kama mtani alisubiri kwa miaka 89 na wamefanikiwa kuingia hatua ya robo basi hata kwa Mnyama...
Back
Top Bottom