Search results

  1. Marunda

    Hajahudhuria SUMMIT hata moja anataka wenzake wahudhurie

    Haha walikuwa wagonjwa mahutihuti au ...... Na kabla hajakuwepo tulikuwa je??? Think before you comment.
  2. Marunda

    Mwigulu Nchemba: Abdul Nondo alijiteka, alikuwa amejipulizia hadi Pafyum

    Huyu waziri hajielewi nahisi kachanganyikiwa. Sins maneno ya kutamka jukwaani, suala kama hili ni LA kiuchunguzi zaidi na kama kweli ni waziri wa mambo ya ndani tayari ameshvunja haki za kibinadamu kwa kuhukumu. Kuhukumu bila kufuata sheria nalo ni kosa Luna vyombo vimepewa mamlaka ya kuchunguza...
  3. Marunda

    Rais Magufuli: Mimi ni Rais kweli kweli, jiwe. Sitishwi wala sitishiki; azindua kiwanda cha Alizeti mkoani Singida

    Kati ya mawaziri waliofeli na ambao kwa vyovyote watapumulia the Hague ni huyu Mwigulu Nchemba ana madoa mengi sana na sijajua kwanini bado wanaendelea kumwachia wizara kama hii!!, labda kwa sababu ni moja kati ya watu walio na uwezo wa kuishi katika hali ya unafiki.
  4. Marunda

    Rais Magufuli: Mimi ni Rais kweli kweli, jiwe. Sitishwi wala sitishiki; azindua kiwanda cha Alizeti mkoani Singida

    Propaganda hizi ebu acheni jamani!!. Yaani tuna TIS pili hata miili inayookotwa hatujasikia status ya kinachofanyiwa kazi. Tatu itakuwa big failure kwa TIS pamoja na jeshi LA police linalojinasibu kwa umahiri kwenye kulinda usalama wa raia kwamba matukio kama haya wameshindwa kukamata hata mbwa...
  5. Marunda

    Rais Magufuli kuzindua barabara iliyowahi kuzinduliwa na Rais Kikwete; nini tafsiri yake?

    Gharama hiyo yawezekana kwasababu Barabara ya awali ilikuwa ya lami na tuta hakuwa limeathirika sana, pili nature ya njia ile haina miinuko na mabonde mengi hivyo kuhitaji ujenzi mkubwa wa madaraja na culverts, tatu yawezekana sub-base ya Barabara inahitajika kujaziwa kidogo tuu ili kufanya...
  6. Marunda

    TAFAKARI: Tawi jipya la CRDB Chato, je ni uwekezaji unaolipa?

    NMB ipo chato kwenye jengo la halmashauri tena wako vizuri sana. Mwazo CRDB walikuwa na branch ndogo ambayo walijengo wenyewe karibu na stand kuu ya chato na eneo lenyewe halikuwa nzuri kwa maana lilikuwa nje ya majengo ya serikali. Sasa tawi hili la sasa sijajua wamejenga wapi.
  7. Marunda

    TAFAKARI: Tawi jipya la CRDB Chato, je ni uwekezaji unaolipa?

    Kama target ni microfinance basi tawi lililokuwepo mwanzo lilikowa linatosha. note: sasa hivi ni full branch ambalo kuna hata baadhi ya makao makuu ya wilaya hakuna.
  8. Marunda

    Mapigo matatu kwa Zitto Zuberi Kabwe, Bado pigo moja yatimie

    Nia yangu ni kuwakumbusha ya kwamba unapomuona mwenzio ana upeo wa kufanya mambo nje ya uwezo wako wa kufikiri lazima umkubali na kutafakari ili uweze angalau kufanana nae kwa kuchangamdha bongo zaidi. Maana yake hutumii ubongo wako kutafakari zaidi nje ya upeo wa kawaida.
  9. Marunda

    Mapigo matatu kwa Zitto Zuberi Kabwe, Bado pigo moja yatimie

    Hilo si tatizo bali kudharau msingi wako wa maisha ya kisiasa ni jambo lisilo kubalika popote. Kwa hili tuache ushabiki.
  10. Marunda

    Mapigo matatu kwa Zitto Zuberi Kabwe, Bado pigo moja yatimie

    Nadhani upoe wako mdogo katika kutafakari mambo. Siongelei msaada hapa ila najaribu kuweka wazi historia ya zzk. Tatizo watanzania hawapendi kuambiwa ukweli. Fiction za kifikra zenye kuleta tija ndio mwanga wa maendeleo na sio kujiona bora kuliko wengine.
  11. Marunda

    Mapigo matatu kwa Zitto Zuberi Kabwe, Bado pigo moja yatimie

    ZZK lazima aikumbuke historia ya maisha yake. Msingi wa mafanikio yake leo ni zao la malezi bora toka kwa CDM pamoja na utambulisho wa kisiasa alioupata toka kwa mtoto wa mjini mh. Mbowe. Tambueni leo hii zzk anajiona mjanja kwa sababu alionyeshwa kila kona ya mji huu na mbowe wakati akiwa...
  12. Marunda

    Mapigo matatu kwa Zitto Zuberi Kabwe, Bado pigo moja yatimie

    Tatizo la Watanzania wengi wahaelewi historia ya vyama vingi nchini especially CHADEMA. Uhai wa CDM umejengwa kwa ujasiri na juhudi kubwa sana na Mh. Mbowe tangu alipokabidhiwa jamvi na kuwa mwenyekiti wa chama. Karibia asilimia 80 ya vijana waliopo CHADEMA ni zao la mbowe. Zitto Kabwe nakumbuka...
  13. Marunda

    Mapigo matatu kwa Zitto Zuberi Kabwe, Bado pigo moja yatimie

    Nakumbuka wakati nipo chuo kikuu mlimani mwaka wa pili mwaka 2003. Zito Kabwe na Halima Mdee walikuwa wanafanya kazi ya kuhamasisha Chama CHADEMA na kulipwa na MH. MBOWE. Tulialikwa pale Bilicanas kuhamasishwa kwa ajili ya kujiunga na chama na ndio wamepatikana leo wakina Mnyika na wengine wengi...
  14. Marunda

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Comoro si kwa wakwe mwanae wa mke mkubwa si kaoa Comro!!??:becky::becky::becky:
  15. Marunda

    Yaliyojiri, Mgomo wa Madereva wa Mabasi nchini - Aprili 10, 2015

    Ubungo ni mabomu ila tatizo la askari wetu ni kupenda kutumia nguvu zaidi ya maarifa na uweledi wa kazi yao. ki ufupi hakukuwa na sababu ya msingi ya kuanza kupiga maboma pale. watu wamegoma sasa kuna noah ilikuwa imebeba abiria inaendeshwa na mwanamke. wahuni wakalazimisha abiria washushwe ili...
  16. Marunda

    Nauza line ya biashara ya M-pesa

    Nipo tayari nipe bei.
  17. Marunda

    Baba wa Mhe. Joseph Selasini Afariki

    Pole sana ndugu selasini najua upo kwenye kipindi kigumu. hayo ni mapito R.I.P Mzee Roman Selasin. Mungu akutie nguvu. Utashinda
Back
Top Bottom