Search results

  1. Sun Tzu

    Mtanzania, Dr. Frannie ateuliwa kuwa Makamu wa Rais AfDB

    Huyu Mama ni Mtanzania wa Lushoto na anaasili ya uchotara kwa baba na mama yake (Kijerumani). Amesoma Jangwani Secondary aschool pamoja na UDSM-Engineering miaka ya 1980 kabla ya kwenda MIT. Ndugu zake ni Naibu Katibu Mkuu Utumishi.
  2. Sun Tzu

    Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

    Watu wako wapi? "Ama kweli kifo cha mende kipo miguuni mwake" UKAWA mna kazi, tafuteni lingine, nchi inasonga mbele haitawasubiri*
  3. Sun Tzu

    Berlin Wall- Huyo Daktari Clouds anadanganya

    Katika kipindi cha Harris Kapiga Clouds Fm sasa hivi Daktari anatudanganya. Berlin wall ilijengwa mwaka 1961 na wala haujafika miaka 100. Na ulivunjwa mwaka 1990 July. Yeye anatuambia kila akienda hapo anashanhaa ulivyo mrefu lakini wajerumani pamoja na kuwepo ukuta huo wamevamiwa mara tatu...
  4. Sun Tzu

    Ningekuwa Speaker (Tiba ya Verbal Diarrhorea)

    Ningekuwa Speaker ningeanzisha "Naughty Corner" na ili kuwapa wananchi fursa ya kutofautisha kati ya "Bunge Naught Corner" ningeshauri ijengwe mbali kutoka "Mirembe". Kanuni za huko ni kama ifuatavyo: Mbunge akishindikana kwenye Ukumbi wa kawaida wa Bunge kwa kutumia kanuni za "Naughty Corner"...
  5. Sun Tzu

    Adhabu ya siku tano kwa wabunge wa CHADEMA haitoshi - Dr. Bana

    The Problem with some of the Members of Parliament we have today are suffering from verbal diarrhoea. five days are not enough they should be kicked out of the House for life. I propose that the current august House which is not very august should put a clause that any aspiring member of...
  6. Sun Tzu

    Mafuru resigns from NBC

    Honourable discharge, NBC ilileta Mzambia kuweka mambo sawa, kazi ilikuwa ya miezi mi nne lakini ilibidi kuongeza muda alitokea Baclays Lusaka. Hongera kwa maamuzi sahihi Lawrance.
  7. Sun Tzu

    Diplomatic Circus-Swedish Envoy

    First of All, I would like to send my sincere condolences to the family of David Mwangosi. My intention of this post is to remind the Swedish Envoy in Dar Es Salaam that he doesn't have the moral authority to bark at the Tanzanian Police Forces if you recall that his own National Police shot...
  8. Sun Tzu

    Majibu ya Jack Zoka yana utata!

    The main problem I spot in this Forum, more often than not, is playing politics in almost all aspects and sphere of life. I have problem to believe the allegation brought forward by CHADEMA Leadership. I think a serious politica party should be focused and have Political Vision for Tanzania...
  9. Sun Tzu

    Ridhiwani Kikwete, thibitisha au kanusha

    Profesa, Sishangai michango ya Wabongo wezangu humu JF, kwani wengine wakisahuriwa kwenda Benki kukopa ni kama umewashauri waendee kituo cha polisi, ndiyo maana hatuendelei, wenzetu kwenda Benki ndiyo kama vile kwenda Jamatini.
  10. Sun Tzu

    Assault on Dr. Ulimboka: Who Did It?

    Mzee Mwanakijiji, Habari za leo, kwa wale wote Great 'Thinkers' and Singers bila kuwasahau sinkers!, Mimi naomba nichokoze fikra zako tu kidogo! Mimi binafsi suala kama hili kwa kuwa lipo mikononi mwa Polisi na Mahakama tuwaachie Professionals wafanye kazi yao yes! Professionals yaani Polisi...
  11. Sun Tzu

    Assault on Dr. Ulimboka: Who Did It?

    Mzee Mwanakijiji, Kanumba was more popular than Dr. Ulimboka, the suspect has been arrested. 'Leave the if and only if' outside this case let the professionals do their jobs unless you have solved the problem and you have all the answers then you should go forward and name and shame...
  12. Sun Tzu

    JK acha kuwaendekeza hawa madaktari wanaogoma

    Great Thinkers & Sinkers, Mimi naomba kuuliza tu! Hivi nyinyi mnaoshabikia madaktari kugoma kwa maana nyingine mnaunga mkono watanzania kufa bila kupata huduma za afya. Hizi siasa za namna hii zitawapeleka wapi? Hivi kweli hapa watu wanadiliki kujiita 'Great Thinkers' kwa majadiliano hoja na...
  13. Sun Tzu

    Tuagize rais na mawaziri kutoka nje ya nchi?

    Mzee Mwanakijiji, Nakubaliana nawe kwenye hoja yako! Wenzetu wanasema Charity begins at home. Kwanini tusianze na kuagiza WAZAZI kutoka nje, ili liwe suluhisho la kudumu:-) kwani hawa viongozi tumewapata kwa wazazi tulionao. Tuanzie hapo:-)
  14. Sun Tzu

    Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

    Do you remember Iran Contra! Do as we tell you but not as we do:-( . Unfortunate American Senators smoke Cuban cigars! but they reserve that luxury oinly to themselves! Wewe mwingine jaribu ukione!
  15. Sun Tzu

    Malipo ya madaktari wa majuu - tujilinganishe

    Statistics! Statistics! Statistics!!!!! Ukitumia takwimu vibaya unaweza kujiponza! hata kam utalinganisha na majirani zetu angalia GDP ya nchi hizo, angalia ukubwa wa Private sector, angalia historia ya sekta ya afya. Private Practices kwenye sekta ya afya inaukubwa na ushindani kiasi gani...
  16. Sun Tzu

    Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

    Tatizo la migomo inayochochewa na Bagman, na maandamano yasiyokwisha, yanaposhindikana au mbinu iliyotumika kushindikana bagman au wale waliopo nyuma yake wanatoa kipigo! 'Wanakulimboka' Tumieni busara na hekima weanaoumia na kufa ni watanzania, siasa waachieni wana siasa. Acheni kuwa vibaraka...
  17. Sun Tzu

    JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

    Pole sana! Naona wame'mlimboka' tatizo langu mimi Watanzania wanapata ajali, wengine wanafumaniwa na kuchukuwa kipigo, wengine wanagongwa na magari, wengine magari yanagongana na wanapoteza viungo, wengine wanapigwa na wanaume zao, sasa hawa wote wakienda hospitali katika hali kama iliyomkuta...
  18. Sun Tzu

    A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Picha nzima ya suala la Dr. Ulimboka, haijakaa Ki-James Bond, ndiyo maana mimi nachelea kusema kuwa huyu jamaa kaadhibiwa na mkono wa serikali 'Professionals' kama wangekuwa wao wangemfanyia kitua mbaya ambayo asingeweza kuisimulia! Hii kitu bila kuingilia kazi ya Polisi inaelekea imefanywa na...
  19. Sun Tzu

    Mgomo wa Madaktari ni Uhaini

    facial?
  20. Sun Tzu

    Mgomo wa Madaktari ni Uhaini

    Short White, Nafikiri level ya ujinga wangu ikilinganishwa na ya kwako, ya kwako ni super sonic! Angalia ethics za madaktari zinasemaje? Nime google hapa kwa manufaa yako! Hii ni ile ya kwenye Wikipedia, pitia pia ethics za Waingereza na baadaye soma za Walatini na Egyptians! Acha uzuzu...
Back
Top Bottom