Search results

  1. Njopino

    Operation Wet-i-e Counter-Coup

    [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
  2. Njopino

    Vita ya Ndugai ni Dodoma vs Dar es salaam

    Tatizo ni pale ambapo viongozi kushindwa kujua dhamana zao kama viongozi na kutafuta huruma ya wananchi wakati wao wanayo nafasi kubwa ya kubadilisha hali ya mambo. Ni ujinga ujinga tu ambao hauna kichwa wala miguu.
  3. Njopino

    Misheni kubwa za taasisi ya upelelezi MOSSAD!

    Ila walioanza kumshambulia Alex kwa kejeri haikuwa poa, kama mtu ameweka story kwa nia njema na ameomba (hakulazimisha mtu) mchango kidogo wa mb kwa aliyekuwa nayo shida ni nini hapo, kama hauna ni bora ukae tu kimya au usisome thread yake na usome hicho kitabu chako, kuliko kumshambulia mtu...
  4. Njopino

    Hivi pantoni ni Meli au si meli?

    Na sheep ni kondoo.
  5. Njopino

    Psychedelic Drugs & Consciousness

    Sikumbuki kama nilikujibu hili mkuu, ila nikipata mda nita ki upload hapa, kipo kwenye pc afu natumia sm.
  6. Njopino

    Psychedelic Drugs & Consciousness

    Pamoja sana, tupo tunasubiri nondo, In order to live our life to the fullest and to die empty, Ni lazima to activate power within us in a natural way.
  7. Njopino

    Psychedelic Drugs & Consciousness

    Asante mkuu kwa mchango wako, kuna kijitabu cha Stealing fire, nilibahatika kusoma kidogo kinaelezea Psychedelic na transcend consciousness, na hapa umeniongezea kwenye kile kidogo nilichokuwa nafahamu.🙏🙏🙏
  8. Njopino

    Psychedelic Drugs & Consciousness

    Umeongea kwa hisia sana mkuu.
  9. Njopino

    Natafuta mwanaume wa kunioa

    Mwezi wa tano tu, nakamilisha hizo digit. Subira yavuta heri.
  10. Njopino

    Natumai mbobezi wa sheria Profesa Kabudi atatudadavulia namna Nusrat Henje alivyotoka jela usiku na asubuhi kuwa mbunge!

    Ndo hivyo, hakuna ugonjwa mbaya kama ugonjwa wa akili uliochanganyika na njaa.
  11. Njopino

    Bongo Movies wengi ni vilaza, si ajabu wameilaza sanaa ya uigizaji. Wasomi ingieni huko

    Na siku hizi sijui wamegundua nini, cheating mwanzo mwisho, huyu kam cheat yule, yule kamcheat huyu wake na waume za watu.
  12. Njopino

    Harmonize: Nitagombea Ubunge kutimiza maagizo ya Magufuli

    Ukifika kwenye uchawi ni tag, kuna mtu wangu nataka umchawie hadi apate kizunguzungu akufe kabisa, naona ananichukulia poa sana.
  13. Njopino

    Matumizi ya nguvu badala ya akili ndiposa Dr Kigwangala akawipigisha push up watendaji Jaffo akamtisha mkandarasi hadi akazimia!

    Na yule aliyemtandika mwalimu fimbo, je? Vipi na yule aliye wasukuma ndani...! Au yule aliye wafunga kwenye vifungashio akawatupa kando kando mwa bahari, ziwa au mto.
  14. Njopino

    Viatu na Kivuli cha Magufuli kwa Tanzania ya Samia - Kuna cha Kuhofia?

    Umenena vyema sana🙏🙏 Swala hapa sio kuvaa au kuvua viatu vya mtu, au kuwa na image ya mtu mwingine as long as Yule Ni JPM na huyu ni SSH, cha msingi ni uongozi ambao unafata sheria na kanuni zake, utawala wa kijamii unaozingatia haki ya kila mwana jamii, unaotambua wajibu wake, unaotambua...
  15. Njopino

    Paschal Mayalla leo anaponda utawala wa Hayati Magufuli

    Katika vitu ambavyo vinaweza kumshushia mtu heshima kwa mara moja ni mahusiano (ngono) na chakula (njaa).
  16. Njopino

    Swali Gumu: Kwanini kila ninayemsaidia huwa hana shukrani?

    Well said. Wengi wa maadui zetu Ni wale tuliowasaidia kwa namna moja ama nyingine.
  17. Njopino

    Uchaguzi 2020 Gwajima: Mtia nia CCM anayewaumiza vichwa Chadema

    Religion is no longer business au customers (waumini) are unable to afford price of service.
Back
Top Bottom