Search results

  1. O

    Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

    Hoja kuhusu Upandikizi na kwamba Uzuri wa Chadema sio kila mtu anaukubali na ndio maana hasa ya demokrasia. Lakini pia huko kuungana nadhani chadema ndio wa mwanzo kupinga muunganiko huo. Tumeona baada ya kuukwaa Ukuu wa Upinzani Bungeni hawajataka kushirikiana na chama chochote cha Upinzani...
  2. O

    Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

    Hoja kuhusu Upandikizi na kwamba Uzuri wa Chadema sio kila mtu anaukubali na ndio maana hasa ya demokrasia. Lakini pia huko kuungana nadhani chadema ndio wa mwanzo kupinga muunganiko huo. Tumeona baada ya kuukwaa Ukuu wa Upinzani Bungeni hawajataka kushirikiana na chama chochote cha Upinzani...
  3. O

    M4C Sumbawanga (Picha)

    Jambo la kwanza cdm ikikata nchi, ipunguze matumizi ya serikali kuu ( cost reduction ) futa wakuu wote wa wilaya, kurugenzi mbalimbali zizizokuwa na tija katika taifa hili, majimbo yaanzishwe haraka sana, futa viti maalum, na kama ni muhimu ziwe 10 tu, tena kwa makundi maalum na idadi hii iwekwe...
  4. O

    M4C Sumbawanga (Picha)

    Mwenye macho na afahamu
  5. O

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Mahakama gani, hapa bongo uwezo wa mahakama zetu ni kufunga vibaka tuuuu. Na bahati mbaya zote zina makada wa chama kama waendeshaji wa mahakama hizo. Na ndo maana CDM arusha wanaambiwa na makamba waende Mahakamani kama hawajaridhika na uchaguzi wa Meya. Wakishaenda wapigwe danadana miaka mitano...
  6. O

    Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema: HUYU MZEE KACHANGANYIKIWA

    Huyu mzee ana mapepo, au hamkusoma kwamba ibilisi anaweza kujigeuza akawa kama malaika wa nuru? Makamba Biblia anaijua wapi?? Tatizo lake na watu wa sample yake wanafikiri Biblia ni riwaya, au hadithi, ila inahitaji uwe na Roho wa Mungu akufunulie maandiko unayoyasoma. Kile sio kitabu kama...
  7. O

    Mkuu wa nchi 'kununua' first lady

    Yote haya ni ubinadamu tuuuuuuuuuu?? hata ukiwa nani kuna zile characteristics ambazo zitakufanya uwe kama binadamu yoyote mwingine.
  8. O

    Hotuba ya Rais JK Mwisho wa Mwezi 31/12/2010

    Jamaa huyu nuksiiii kweli, utakuta hatagusia hata moja kati ya hayo, Labda ataongelea mikakati yake ya wananchi kuendelea kukamuliwa kodi 2011.
  9. O

    Elections 2010 Uchaguzi Majimbo 7: Chadema Kupoteza Jimbo? CUF + 3, CCM+4!

    Wizi mtpuuuuuuuuuuuuuuuuu !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! sitaki hata kusikia, tumevunjwa moyo vya kutosha.
  10. O

    hivi JOTI wa zecomedi ni mwanaume?

    Nasema mpee uone, atakufukua mpaka ukome:caked:
  11. O

    hivi JOTI wa zecomedi ni mwanaume?

    Wewe kama unasema mwanume mwenzio ni Punga eti kwa sababu ameigiza hivyo, kampe kazi uone
  12. O

    Clouds FM yaishambulia JamiiForums

    Mimi binafsi alikera majuzi, alipotoke kijani pale mlimani city. Unajua unapokua mtangazaji/mwanahabari unawahudumia jamii kubwa ya watu ambao wapo wenye vyama, wengine hawana kabisa, hasa ktk mazingira haya ya bongo ambapo watu wengi tumechoka. Sasa mwanahabari unapotokea kijani, hafu kesho...
Back
Top Bottom