Search results

  1. K

    CHADEMA, Kulikoni Jengo la Ghorofa Lililoporomoka?

    Mistari ni mingi CHADEMA walichaguwa ule unaosema "Kila Mtu Atabeba Mzigo Wake Mwenyewe"
  2. K

    Vijana tuchangamke! Tununue ardhi! Tusiiache kwa wanasiasa!

    Mkuu Mbona Unahubiri "USICHOHOTENDA?"
  3. K

    MUHIMU KWA KESI ZA EPA, must read!

    Ngagarupalu: Ni kweli kuna Fumba ya magazeti na vyombo vingine vya Habari, kwa bahati mbaya haviendi kwa MAADILI ya kazi zao, Wameweka mbele UDAKU, UBINAFSI na TAMAA na hayo yamekuwa ndio mchango wao MKUU kwa jammi>
  4. K

    Maandamano ya wanahabari Sept 11, 2012

    Walichokionyesha Leo Wanahabari wetu katika Viwanja vya Jangwani kukataa kwao kwa Kuwepo Waziri Muhusika kupokea Hoja zao ni Udhaifu, Ujinga na Akili za Kitoto, Inaelekea wamefanya Maandamano hayo bila kujua Malengo na Makusudi ya kweli ya kufanya hivyo. Kwa hiyo inayakinisha kuwa wengi wao...
  5. K

    Tanzania: Land rights vs biofuel development – in pictures

    Panaponishinda kuelewa nipale nisikiapo Mwekezaji kanyang'anya Ardhi, tena mgeni kutoka nje ya Nchi. Yaani mmelala kijijini kwenu Asusubuhi mnaamka mnakuta Wachina, Wahindi au Wazungu ati wamevamia Maelfu ya hekta za Ardhi wanafanya shuhuli zao, yani ndio tuamini hivyo? Au kuna namna...
  6. K

    Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

    Mtu mwenye maoni hayo anaweza kuongoza nchi kweli? Anajua nn kazi za serekali Maskini cdm!!
  7. K

    Njama za Polisi: Daktari MOI anatakiwa kutolewa kafara na serikali

    Uhuru wa Kalamu unawasumbua Watu wengi sana hasa washabiki wa cdm!
  8. K

    Anayetuhumiwa kumteka DR. Ulimboka azungumza

    Mkandara mkuu yani Unamainisha Huyo Profesa mseru (profesa mzima na Dr) kweli ataogopa na kunyali kusema ukweli hata kwenye vyombo vya habari? mkuu haileti maana kabisa. Na Dr Deo yy alikuwepo na Dr Uli wakati anazolewa mbona hatusikii kutoka kwake? Ina maana Madokta nao kuna jambo wanaficha?
  9. K

    JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

    Mazungumzo ya Mwanakijiji na Dkt. Ulimboka muda mfupi baada ya kupatikana Posted: 27 Jun 2012 12:04 PM PD Audio kwa Hisani ya Wavuti blog Tafadhali Bofya Mazungumzo ya mwanakijiji. Kwanza nimtakie Nafuu ya haraka Dr Ulimboka na pole kwa Familia yake. Huu ni wakati mgumu na kila mtu atakuwa...
  10. K

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Mkuu niekupata kumbe ni Msemaji na Mtetezi wa CHADEMA sishangai kwa nini mnapalia Mkaa na kulipolitisais hili jambo. Tusubiri yatakayojiri nasubiri ushahidi wako na Kijosimba.
  11. K

    A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Sidhani kama mpaka Dakika hii wewe na Kijosimba Mna ushahidi kuwa Polisi wamehusika. Hili Tukio ni kubwa, Baya na la Kusikitisha sasa Watu wasije na Mtandao wao wa kutaka Umaarufu kwa Gharama ya Wengine! au na wewe ni Kinyamana Eboo!!
  12. K

    Serekali yakacha taarifa kuhusu mgomo wa madaktari

    Cha kushangaza wao wapo cc tunapiga soga: So Who's WEAK...............??
  13. K

    A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Hivi Hellen Kijosimba na hicho Kitengo chake ndio wapewe Taarifa ya kupote/kutekwa Mtu kabla ya Jeshi la Polisi ? Inakubalika kweli?. Hellen afike eneo la Tukio ndio waende Polisi!! Mbona Madaktari wantuletea Hadithi za kusadikika? Eti wasomi hao..........!!
  14. K

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Mkuu hizi 3Trilion kwa Mawaziri 55 ni Mafungu kwa Wizara zao? au.........? Ni kweli jamaa Uwiano/Balance umewashinda kabisa. Wameyafumbia macho yale yanayotaka kipaumbele!
  15. K

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Mr Z mm sina takwimu za mishahara ya Madaktari wala watumishi wengine wa Serekali, ila kitu kimoja naweza kukiwekea uhakika kuwa kwa Standard narudia kwa Standard ya Tanzania/Tanganyika Madktari wanalipwa vizuri kuliko watumishi wa Sekta Nyingine. Mbali na ongezeko la kipato , pia wanadai...
  16. K

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Mr Z, Umenisoma vibaya na Hilo ndio Tatizo la washiriki wengi hapa JF hawawezi/hawajui kukaa na kubaki ndani ya Mada inayojadiliwa. Hawakawii kupandisha Jazba na kuugeuza mjadala kuwa wa Mafisadi, Posho za Wabunge nk. Naomba tubaki kwenye mada tuwe wa kweli kwa fikira za kibinadamu kwa uwezo wa...
  17. K

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Mkuu sasa Ujanja/Werevu wakugoma ni nini/ni upi? Naona Ugomaji ndio Udhaifu wa Kwanza na Mwisho! Hebu tuamini na tukubali japo kwa masaa tu kuwa Serekali ni DHAIFU sasa Inawashindaje/Inatushindaje kuiondoa??
  18. K

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Kama wana Akili zaUpumbavu wa Kugoma basi wana akili za kufanya Upumbavu mwingine wowote. Tusubiri yatakayojiri.
  19. K

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Wapendwa: Mbona yaelekea tayari Tunaitia Serekali Hatiani kwa Maafa yaliyompata huyu DAKTARI??Inawezekana pia Madaktari wakapanga huo Mchezo kutafuta Huruma za Wananchi. Hao ni wasomi na kwa bahati mbaya wamekata Tamaa ya maisha. (Aibu Madaktari wetu wako Desperate wanaweza kufanya chochote/kwa...
  20. K

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Usiwe na hofu tukijipanga tunawazidi hao UWT
Back
Top Bottom