Search results

  1. Mnyenz

    Ulazima Wa sare Msibani.

    Ukitaka kupata demu mwenye sura nzuri nenda msibani
  2. Mnyenz

    Picha: Geti lililojengwa na TANAPA kuingia hifadhi ya Nyerere kwa Tsh. Bilioni 2

    Serekali imetoa billion 2 kuboresha miundombinu. mie nadhani nimeelewa tafauti kidogo. Hiyo billion 2 sio kujengea geti tu bali imetumika kufanyia mambo mengine kama kukarabati/kujenga uwanja wa ndege.
  3. Mnyenz

    Yero Subai - Mmasai

    Vipi mkuu ulimpataga mmasai au bado. Nataka kubadili kabila.
  4. Mnyenz

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Kwa hiyo ndo tuseme jux ana kijiti mkono wa kushoto?
  5. Mnyenz

    Hivi kuna njia yoyote ya kuacha kubet?

    Vijijini kuna madubu.(ukichimama nchale, ukikaa nchale)
  6. Mnyenz

    Wajuzi wa location, Huu ni mtaa wa wapi?

    Kwa mpalange St.
  7. Mnyenz

    Polisi watia fora maandamano CHADEMA: Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!

    Usitazame saana suala la umri wangu mkuu coz naweza hata nikawa baba yako(ki umri), ila tujaribu kutumia Common sense hebu jaribu kuzama deep kimawazo. Usisikilize makelele ya tv sijui redio wala makelele ya wanasiasa(vyama vyoote kutia ndani ccm) jaribu kuji factory reset halafu uyatazame hayo...
  8. Mnyenz

    Vijana wa leo tunafanya hivi kwa kutojua ama kujua(Kataa ndoa)

    Taasisi ya ndoa ilikua inafanya kazi/apply zamani, baada ya kizazi cha Internet kuja ndoa imekua mzigo,ukweli usemwe. Ndoa ya sasa imekua inamfaidisha sana mwanamke kuliko mwanaume., na haya ni matokeo ya kataka usawa kitu ambacho hata kiasili hakiwezekani. Unachokisema mkuu ni kutumia...
  9. Mnyenz

    Polisi watia fora maandamano CHADEMA: Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!

    Hapana mkuu. Yaani hapa nilipo ni mtu mzima naweza hata nikawa baba yako lakini sijawahi kuelewa haya mambo ,sijui lakini labda mie ni mjinga. Mie naona Hii ni kama mentality fulani ambayo tunarithishwa inakua kama chain babu, baba, mtoto. Asee mie niligoma kurithi haya mambo mzee. Mpira na...
  10. Mnyenz

    Polisi watia fora maandamano CHADEMA: Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!

    Huwa sielewi motive inayokuja baada ya maandamano. Yaani unazunguuuka mitaani unapiga keleleee huku umebeba bango halafu unamaliza unarudi nyumbani kwako kulala. Ni kama mtu apite mitaani awe anasema sina helaaa sina helaaa halafu arudi nyumbani kwake akalale bila kufanya juhudi ya kuitafuta...
  11. Mnyenz

    Captain Geogre Bantu kurithi usukani kuliongoza jahazi bila Captain Mkuu Gardner G. Habash

    Kwa nini mnawaza arudishwe nani, sijui nani akae na nani? Mi naona ni wakati wa kukipa kizazi kipya nafasi. Wawekwe hawa watoto ili watangazie watoto wenzao
  12. Mnyenz

    Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Hivi yule mke wa Dr slaa anaitwaga nani vile? (Samahani nje ya mada)
  13. Mnyenz

    Mnao walazimisha mabwana zenu wawawekee wadada wakazi pitie hapa haraka

    Mkuu Mkuu, hata ukila ban mie nitakutetea maana sio kwa ukatili huo.
  14. Mnyenz

    Msaada wa kutafsiri Ndoto

    Sasa kama kila mara unacheza mpira, ulitegemea uote unachoma nyama? Achana na mambo ya kutafsiri, ndoto ni matokeo ya maisha yako ya kila siku achana na imani za kutafsiri. BTW ukilala usikunje miguu utakua unafunga vizuri tu.
Back
Top Bottom