Search results

  1. cheusimangala

    "LOVE ME AT YOUR OWM RISK" says gentleman.

    enheee don´t tell me
  2. cheusimangala

    Nimempata humuhumu jf..Amenikoleza

    hivi wadada wenzangu(baadhi) mbona mko desperate sana,wengine mara watongoze mabwana wa mitandaoni,wewe nawe umepata bwana badala utulie japo yeye ndo akutambulishe(kwa wazazi wake) eti wee ndo unataka kumtambulisha.(mtandaoni) Halafu muda wote namsuiri huyo shemu ajitokeze/atoe ruhusa ya...
  3. cheusimangala

    Nimempata humuhumu jf..Amenikoleza

    nimekua mtahiniwa tena. mi mzima, thanx.
  4. cheusimangala

    Nimempata humuhumu jf..Amenikoleza

    haya kungwi nimesikia. Erickb52
  5. cheusimangala

    Nimempata humuhumu jf..Amenikoleza

    heheheeeee hebu nikalale mie naitwa huko chumbani.
  6. cheusimangala

    Mnamkumbuka Nakaaya Sumari?!. Alivua Gwanda akavaa Gamba Arusha Mjini 2010....

    mmechagua picha alizokaa kwenye angle mbaya akatokea vibaya,mbona hii hapo chini ambayo yuko vizuri hamjaiweka?
  7. cheusimangala

    Kamuacha mumewe kakimbilia kibabu muitaliano! Part 1...

    hii case ina machizi wengi ,sio dada na muitaliano wake tu. [/COLOR][/B]
  8. cheusimangala

    Kamuacha mumewe kakimbilia kibabu muitaliano! Part 1...

    mkuu naomba usiendelee kuelezea huyo mtoto anavyofanyiwa hujui ni kiasi gani unaiumiza roho yangu,please i beg.
  9. cheusimangala

    Kamuacha mumewe kakimbilia kibabu muitaliano! Part 1...

    kweli tamaa mbele mauti nyuma lkn bado mtoto anaweza kusaidiwa,si kuna DNA tu wapime itaonesha mtoto si wa hilo fataki la kitaliano.Ingekua ni mim siku tu nimegundua kamfanyia hivyo mwanangu ndo angejuuta kupenda ngozi nyeusi ningepelekesha mpaka angekoma.Kamuacha mumewe hakujua anakuja ulaya...
  10. cheusimangala

    kulia ki-superstar

    umeonaeeee ndo hapo sasa inabidi alie kistaili superstar wa bongomovie waheshimiwa nimefurahishwa jinsi mlivyo wataalamu wa kuchunguza kila detail ktk picha,hamdanganyiki kirahisi,kweli nyie ni magreat thinker wa kuchambua picha hahhaaaa LOL,ni kweli hapo sio msibani kwa maana ya msibani...
  11. cheusimangala

    kulia ki-superstar

    wakuu picha ilikua inasumbua Maamuma and Bigirita
  12. cheusimangala

    kulia ki-superstar

  13. cheusimangala

    kulia ki-superstar

    eti hapa anafuta machozi kwa uchungu msibani
  14. cheusimangala

    Ajali ya aina yake iliyoniacha kinywa wazi kwa sekunde nyingi.

    hehehee asante mkuu,tena kakijana kenyewe kalikonitungua nimekafundisha huu utaalam mim mwenyewe lakini ngoja nipumzike Eeka Mangi nitakaonesha nani ticha nani denti. Huyu nilimpa lifti na hadi namshusha hapakutokea tatizo lolote TaiJike labda kama alinifanyizia baada ya kutua ardhini,
  15. cheusimangala

    Ajali ya aina yake iliyoniacha kinywa wazi kwa sekunde nyingi.

    Mashosti ndo nimefika,hapa inabidi nikajaze maji kwenye bath tab nijiloweke kwa muda ili kuondoa uchovu uchovu wa safari.
  16. cheusimangala

    Ajali ya aina yake iliyoniacha kinywa wazi kwa sekunde nyingi.

    cheka tu shosti wangu wala sikulaumu mi nimecheka nilivyofika home Egyps-women Asante kwa kuniwish safari njema malkia,ni kali zaidi hasa kama ungekuwepo pale kushuhudia kwa macho yako acha tu dogo yaani uanawake kazi ila huyu mwenzetu ni mchafu Smile ndo hivyo si unaona kina lulu wanavaa...
  17. cheusimangala

    Ajali ya aina yake iliyoniacha kinywa wazi kwa sekunde nyingi.

    Enheee bibi wee Gaijin kwani kiforensic forensic huwa inachukua muda gani kwa harufu ya uvundo kusikika?Maana sie ghafla tulisikia uvundo ukinuka wewe waona ajabu,ilitaka uchukue siku nzima ndo usikike au? maana umechekecha nyuma na mbele kutafuta kitu kisicho cha kawaida as if uko lab. ukisolve...
  18. cheusimangala

    Ajali ya aina yake iliyoniacha kinywa wazi kwa sekunde nyingi.

    Asalam aleykum. Mashosti ajali hii inayotuhusu kina mama imetokea hapa kwenye airport kubwa kuliko zote ulaya magharibi ambako niko transit kwa muda sasa nikisubiri boarding time kuelekea kwenye my last destination. Katika kupoteza muda bila kusinzia uwanjani hapa niliamua kutembea tembea...
  19. cheusimangala

    Mvuto!!!

    take it easy dear Baba Ashrat maana hiyo enheee inafanya nijihisi niko kwenye hatari yakusutwa. Mwaya nahisi nilihisi kimakosa sikujui, mama ashratlicious tu ndo namjua hiyo hata mkinisuta mtakua mnanionea tu lakini namjua mama ashrat ni nani.
Back
Top Bottom