Search results

  1. M

    Watanzania nani katuloga ?

    Rufiki nasema ndiyo na fuatilia hii link utaona ninacho kisema http://www.kumekucha.com/jamvi/viewtopic.php?t=1946
  2. M

    Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

    Sam Kwa sasa tunaelezea mawazo yetu na kuonyesha mahangaiko yetu juu ya utendaji wa Serikali . Baada ya hapo naamini tunaweza sasa kuanza kutafuta suluhu hapa hapa maana si JK wala Serikali yake itakuwa tayari kupokea na kuyafanyia kazi mawazo haya . Hawawezi kuunda chombo na kikiundwa bado...
  3. M

    Watanzania nani katuloga ?

    Mpaka juzi yaani miaka 3 nyuma Spain walipeleka sheria Bungeni kusema ukimpiga mkeo sasa ufungwe na bado ikaleta matatizo maana walisema mwanamke anapewa nguvu kubwa haoatakuwa na maendeleo kwenyue familia na nk . Hadi sasa hawa wazungu bado wanawake wanamtegemea mwanaume kwa kiasi kikubwa...
  4. M

    Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

    Kuna mtu mmoja alisema kwamba kila kundi lina viongozi wake hata wezi wana viongozi kwamba wakisema basi wanajua mkuu kasema .Mimi kuteuliwa kwa JK nilijua kwa tabia ya CCM basi lazima awe Rais leo kesha ukwaa ufalme ambao yeye alitumia nguvu nyingi na maandalizi mengi kuufikia .Naamini JK kuna...
  5. M

    Waziri Lawrence Masha hana uwezo

    Jokakuu kabla sijaendelea pamoja na umbumbu wa Magufuli na kupenda sifa kama ilivyo kwa Rais wetu na Waziri Mkuu wake , wewe nawe umepoteza kiwanja ????
  6. M

    Nimetishiwa Maisha au?...

    Huyu jamaa anaonekana kuwa ana lake jambo .Wewe una haki ya kusema mawazo yako na mgogoro wa Mashariki ya Kati kwanza Tanzania kuongelea ni kupoteza muda .Tanzania tuna nafasi gani kwenye mgogoro ule ?Kauloi ama tamko la Serikali limenishangaza na najiuliza kama kweli tuna lolote hata kufanya...
  7. M

    Mengi VS Warioba

    Mimi nakungana kusema Media Solution ishitakiwe na si Mengi kama yeye hili ni kosa na kumtisha Mengi maana huwa hatuko huko wanako andika habari hizi. Pia Warioba nadhani kuna kasoro mahala maana anahusika mno na watuhumiwa wa mambo mbali mbali kama Mahalu na sasa Mwananchi .Mwache aende huko...
  8. M

    Gharama za Baraza la Kikwete -Tutafika ??

    Bahati nzuri nasikia na yeye yuko Ujerumani anaangaliwa afya yake mkubwa huyu kweli iko kazi kubwa mno tungoje tuone kwa nini kaweka utitiri wa walaji wenzake
  9. M

    Will Kikwete make this speech?

    Endelea kuota JK anataka kusema yale madogo walala hoi wanapenda kusikia kama Serikali yake ama yeye anawageukia vibaka watafute kazi baada ya kula sahani moja na ujambazi hiyo yako endelea kuisubiri
Back
Top Bottom