Search results

  1. MrIsidori

    Fahamu kupika Vitumbua vya aina mbalimbali

    Naomba anayejua namna ya kuchoma au kupika vitumbua anielekeze tafadhali
  2. MrIsidori

    Nahitaji Barley

    Mwenye hiyo ngano hapo juu nahitaji ya ku-prout fodder kwa ajili malisho ya mifugo anijulishe na bei anayouza kwa kilo moja, niko Moshi . Tel no 0714-600802
  3. MrIsidori

    NIDA Kama Mtu hana kitambulisho cha kuzaliwa lazima alipe 5,000/= kwa hakimu kuapa?

    Watu wengi waliokwenda kujiandikisha Kitambulisho cha uraia huku Moshi Vijijini Kata Ya Kibosho Kati wamerudi baada ya kuambiwa kama hawana vyeti vya kuzaliwa walipe shs 5,000/= hakimu ili waape!
  4. MrIsidori

    Chama cha wapangaji chakataa madalali

    Umeme huku kwetu Moshi Vijijini unaongoza kwa kukatika wakati kiuno hauna!
  5. MrIsidori

    Hivi STAR TV ndio imekufa au inajiandaa kulipa kodi ya TRA?

    Hizo bilioni 4.5 anazodaiwa Dialio na TRA ni za mda gani?
  6. MrIsidori

    Kokorikoooooo!!!

    Imebidi niwaamshe watu wote leo kwa sababu Majogoo yote jana Siku Kuu yameliwa yakaisha!
  7. MrIsidori

    Natafuta Fremu Ya Duka

    Ndo maanake, inajulikana !
  8. MrIsidori

    Natafuta Fremu Ya Duka

    Natafuta fremu ya duka ya kupangisha maeneo ya Stand ya mabasi ya Arusha No Yangu Ya Simu 0765-604750
  9. MrIsidori

    Kilichomponza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) hiki hapa

    Kama mkataba wa ITPL unaishia 2022 na leseni akanyimwa itakuwaje?
  10. MrIsidori

    TEMEKE, DAR: Mjane aangua kilio hospitali baada ya kujifungua mapacha 4, asema hawezi kuwalea

    Eee Mungu mpe nguvu Ashura moyo na nguvu apate watu wa kumsaidia Amen!
  11. MrIsidori

    Je, mwanamke unaweza kupata mimba bila kupata hedhi?

    Tufananulie Mkuu akapime mkojo ili iweje!
  12. MrIsidori

    Sperm analysis

    Kama hapo hospitali kuna examination room unazungumza na dr wanakupa kifaa cha kuwekea mnaingia na wife zikikaribia kutoka unachomoa unazielekeza kwenye kifaa ulichopewa unazikimbiza maabara!
  13. MrIsidori

    Sina kitambulisho cha mpiga kura nitafunguaje a/c equity bank?

    Nenda hapo waeleze tatizo lako la kutokuwa na kitambulisho cha kura. watakuelewesha kinachotakiwa
  14. MrIsidori

    Wassira azidi kumng'ang'ania Bulaya Ubunge wa Bunda, Wafuasi wake wakata rufaa

    Inawezekana hao wanaompigania huyu mzee kuna kitu wanapata! Hawafanyi kazi ya bure!
Back
Top Bottom