Search results

  1. K

    Kufanya mapenzi na ndugu wa damu ni kosa kisheria

    kwahiyo wewe mkeo akikuacha na mtoto lazima umbake? je akifariki nakukuacha na watoto utawabaka? Na je wanawake wanaolea watoto wao wa kiume bila mume nao wawabake? mkichangia tumieni akili na upana. Siku zote usimlaumu mwingine kwa makosa ulotenda.
  2. K

    Msaada: Mtoto hakui tangu azaliwe na hana dalili ya kubadilika

    vipi shingo yake imekaza? je anafanya matendo mengine kama kucheka ,kushika vitu n.k je ukimtazama unaona ulemavu wowote dhahiri/waziwazi kabla ya vipimo?
  3. K

    Ni mtanzania yupi maarufu zaidi?

    inategemea na.industry ipi.unayoongelea kama ni.muziki.inawezekana mfano kila mtu anafatilia interest yake.kwa uchumi Mo Dewj anajulikana kwa mitindo kina millen Magese na Flavian kwa siasa Jk atakua anajulikana. kwahiyo akuna kipimo general cha mtu kufahamika nje au ndani ya nchi.
  4. K

    Ushauri: Niko kwenye kipindi kigumu sana

    ujauzito huo una umri gani?Labda aligundua ndo maana akakata mguu mapema. Tulia fanya maamuzi ya busara yatakayo ufaa moyo wako kwa sasa na maisha ya baadae. kama dhambi ushafanya ya uzinzi kwahiyo katika maamuzi yako kuogopa dhambi isiwe kigezo kikubwa. wanaume wanao.kushauri zaa ulee ndo...
  5. K

    Single parents wanazidi kushamiri, kwanini?

    Mtoa mada amesema single parent akimaanisha mzazi mmoja kulea mtoto anaweza kuwa mwanauma au mwanamke.Naona wengi wame changia single mother. Sababu za single parenting ni nyingi sawa na sababu mbalimbali zinazosababisha binadamu kutengana.ikiwa pamoja na vifo.talaka.kupata watoto wazazi wakiwa...
  6. K

    Hivi ni haki mpenzi/mke wako kukusalimia shikamoo?!

    kama namuona kichaa wako.
  7. K

    Diamond alamba milioni 50 kutoka kwa Dr. Mwaka

    Aisee anapata fedha nyingi sana ukizingatia anachotibu ndiyo haswaa hitaji.la wananchi wengi kwa sasa.ukienda kliniki yake utakuta umati hapo ni Dsm tu na hapo mtu atoki bila.kuacha 40.
  8. K

    Vimemo Bandarini; Nani walikuwa wanaandika?

    Baraza jipya asirudi waziri yeyote wa zamani.maana ukiwachunguza wote wana majipu.mengine makubwa wengine vijipu uchungu.waapi mzee wa Kyera na wa Kaliua.kama wangekuwa waungwana wangetoa ata tamko kali kukemea uozo but where?
  9. K

    Huu utaratibu wa madktari kutowahudumia wajawazito wanaoenda peke yao

    lengo lao ni zuri la kuwapa huduma ya afya baba mama na mtoto (mimba).Muda unaopoteza si sawa na matatizo ambayo yanaweza kutokana na kukosa elimu. Na sio.siku nzima kama wanavyodai.muda mfupi mkapimwa maambukizi na pia kuprwa taarifa mbalimbali.After all unazaa mara moja atleast kwa mwaka so ni...
  10. K

    Kuna haja ya kuwa na kitchen party?

    aaaaaaaah.remote. kwanza nikurudisha michango ya ndugu na jamaa wanayo wachangia watu.na kule ukumbini wal akuna mawaidha zaidi ta kula na kunywa. wafundaji wanafundia home.ukumbini.kwaito.
  11. K

    Umeachana na Mwenzio, Mmeo au Mkeo chuki ya nini na (nduguze) Wifi au Shemeji zako?

    inategemea na sababu ya kuachana na matukio yalo ambatana.hapo chuki inakua aihusiani na mahusiano tena bali matendo mlofanyiana.
  12. K

    Kuweka picha Facebook nakutaka watu waseme Amen au ku - Like

    kwanza mimi ata kurusha picha ya watoto wanao zaliwa na matatizo sipendi.ni kwa faida ya nani.watu awajui vyakushare wanadhani kila kitu ni cha kuweka in public. Ukosefu wa maadili tu.
  13. K

    Hivi umoja wa wakuu Shule za Sekondari(TAHOSA)Una mchango gani kwa Sekondari zetu?

    Wasiwasi wangu ni kufutwa kwa ada pamoja na michango yoote bila kujali mahitaji maalum ya shule.sjui litafanyika vipi ila shule nyingine kutokana na mazingira wazazi wanakubali kutoa michango.maana serikali zilizo.pita ile pesa ya mwanafunzi tu kwa kichwa inaletwa kwa mafungu madogo yasiyo kidhi...
  14. K

    Majina ya miaka kwa lugha ya Kihaya

    nani anatoa majina ya miaka na wanatumia utaratibu gani.?je majina ayajawahi kujirudia mwaka huu ulitakiwa uwe na jina la 1997 "Chwazika"
  15. K

    Nimekua na mashaka na huyu mtoto tangu kuzaliwa kwake

    pole sana.dada mama mtoto pamoja na bibi wote ni matapeli.wanaangalia upepo tu wapate pesa. mfano suala la tangazo jina anataja mama tena hospital sasa huyo baba anafikaje kwa nguvu na kulazimisha mabadiliko yoyote.ina maana anaingia mpaka chumbani? ukweli ni kwamba wamekuwa waki wa...
  16. K

    Mshahara bandarini

    Wala ujapata mwanga majibu yote sio ya kweli. kiwango kinachotumika ni TPGS-numbers.sasa namba inavyokuwa kubwa na mshahara unakua mkubwa. wewe ungetaja atleast position unayotaka alafu tukutajie rank yake.kumbuka mshahara wa mtu unategemea pia muda alofanya kazi etc.
  17. K

    Hivi kwanini wanawake wakiuguliwa na waume zao wanakuwa na amani badala ya huzuni?

    labda ndo muda pekee waume zao wanabaki majumbani.kwakua baadhi ya watu awawezi kupatikana home.ila sidhani kama ni wanawake wengi wanafurahia ugonjwa.
  18. K

    Shule za Msingi Temeke yasemekana nafasi zimejaaa

    Nafasi zipo vyumba na madawati vimejaa.Elimu ina changamoto sana hasa katika kata za watu wa kipato cha chini ambapo watoto wengi wanasoma government schools.
  19. K

    Sakaya apewe uenyekiti UKAWA

    Huyu mama yuko vizuri sana.
Back
Top Bottom