Search results

  1. M

    Kwanini wanaume wengi hawawezi kuoa mwanamke mwenye watoto?

    HILO UNALIELEWA? Wamwera hufuata mfumo jike (matrilineal) ambapo wanawake ndio wamiliki wakuu wa familia na mtoto hupewa jina la upande wa mama.
  2. M

    Leo nimeamini mwenge una nguvu za ajabu wilayani Igunga, wasomi chali!

    sijui una miaka mingapi wewe inakubidi uende jeshini kwanza kwa kujitolea. alafu usome histori ya mwenge
  3. M

    Mishahara Serikali kuu na TAMISEMI

    Wengi wanalalamika lakini hawajui pa kulipitishia likafika naomba hili limfikie Mheshimiwa Rais atusaidie najua anasoma haya yote sijui pa kulipitisha zaidi ya humu . Huduma kwa mteja NSSF wameshindwa kulisemea, wanasema kasome gazeti la serikali ati sheria zote zinapita pale, je ni watanzania...
  4. M

    Mishahara Serikali kuu na TAMISEMI

    kujenga magorofa sio vibaya.Kutumia hela ya mwanachama halafu anapokuja kuidai unamwambia asubiri mpaka afike umri wa miaka 55 - 60 wakati huo anaidai ana miaka 52 unamwambia aende kwenye taasisi za kutoa mikopo akakope afanye biashara. Jamani katika miaka hiyo huna kazi nani atakukopesha , je...
  5. M

    Ushauri wenu wakuu nimefikwa

    wewe uliekubali kuishi nae bila ndoa huku ukiyajua maadili tukuiteje?
  6. M

    Kamati ya Profesa Osoro na uelewa wa Multinational Corporations

    hapa una maana coca cola ina lipa na fanta nayo inalipa ? hebu tueleweshe vizuri
  7. M

    Barabara ya Chang'ombe mbioni kuoza

    Hapo lilipo godown la monalisa na jirani limefumbiwa macho kisa eti ni mwekezaji (sifa ya mwekezaji inabidi iwe kuboresha miundo mbinu sio kufifisha ) , eneo la kutoka chang'ombe maduka mawili kupitia viwandani inapokutana na mbozi road pia ni shida jamani tusaidieni . Hawa wawekezaji wangaliwe...
  8. M

    Barabara ya Chang'ombe mbioni kuoza

    Bila kusahau eneo la serengeti mtaro wa kupitisha maji yanayotoka kwa sokota /polisi changombe na unaopokea kupitia St Teresa primary school umezibwa mkandarasi aulizwe vizuri eneo hilo linajaa maji kila mvua kidogo ikinyesha imewahi kuua mpaka watu eneo la kibasila sababu mtaro wa kati...
  9. M

    Yaliyojiri jijini Arusha katika kuaga Miili ya Wanafunzi wa Lucky Vincent waliopata ajali ya gari

    Mwanga wa milele uwangazie ehee Bwana Marehemu wote wapumzike kwa amani. Taifa la Mungu Poleni sana ni msiba wetu sote.
  10. M

    Msukuma adai wabunge walienda kwa waganga wa kienyeji

    ati ili uwe waziri lazima uwe mbunge sasa ndio hapo viwango vya wabunge sio cheti sasa inakuwaje hapo mbunge kawa waziri halafu shule ..............................????????????????????????????????
  11. M

    Kuhusu kuanzisha Day Care Centers katika mashirika ya Umma na sehemu za kazi

    Mimi niko Dar es salaam.Hii ni post ya zamani lakini nimeona niichangie, nikuambie mimi nimewahi kujaribu hili jambo tena kwenye Wizara inayoshughulikia watoto, tena jengo lao lina vyumba mbavyo havina wapangaaji . Lakini nilipata jibu ambalo siwezi hata kulisema humu maana kama wadau wa watoto...
  12. M

    Kuhusu kuanzisha Day Care Centers katika mashirika ya Umma na sehemu za kazi

    Mimi niko Dar es salaam.Hii ni post ya zamani lakini nimeona niichangie, nikuambie mimi nimewahi kujaribu hili jambo tena kwenye Wizara inayoshughulikia watoto, tena jengo lao lina vyumba mbavyo havina wapangaaji . Lakini nilipata jibu ambalo siwezi hata kulisema humu maana kama wadau wa watoto...
  13. M

    Msaada: Nini husababisha hiki kitendo kwa wasichana

    Hata mtoto anapozaliwa maziwa ya mama huwa hayatoki mpaka mtoto aanze kuyavuta ,hata wewe ukiendelea kuvuta utapata maziwa mengi ya kushiba sababu kadri unapovuta ndivyo homonnes zinavyotengeneza naziwa mengi. endelea tu kama unataka maziwa mengi kama hutaki hacha kuvuta papasa tu.
  14. M

    Msaada: Waweza kubadili papai dume kuwa jike?

    UNAIWEKEA MBELEKO.CHUKUA GUNZI LA MAHINDI/MHINDI NA KAMBA YA MTI(YA MGOMBA )IBEBESHE, YAANI FUNGIA HILO GUNZI KWENYE MPAPAI KWA KUTUMIA HIYO KAMBA YA MGOMBA ALAFU UTANIAMBIA.
  15. M

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    kama mheshimiwa waziri alikubali kutoa athabu yeye na tasnia ya habari pamoja na Chadema wakatoa tamko la athabu kwa Mheshimiwa Makonda kabla mheshimiwa Rais hajasoma ripoti hata kama hajatumbuli hapa protokali nafikiri hazikukzz vizuri wangesubiri wasikie mkuu atasemaje ndio watoe athabu. Na...
  16. M

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    tuwekee taarifa ya ikulu maana sasa mitando inakuwa hainogi kama inasema uongo mara TRA mara lile
  17. M

    Mume wangu simwelewi, hataki kabisa nishike simu yake

    nawe weka password kwenye simu yako atafika mahali atatoa password na wewe utatoa
  18. M

    Picha halisi ya Deogratius Kisandu(origino) na Feki Deogratius Kisandu(Benard Mtorela)

    waongee na wazazi wao isije kuwa baba yao ni mmoja na kila mtoto alipewa jina la kwanza lababu yake.
Back
Top Bottom