Nafikiri mtoa mada ameangalia upande mmoja tu, kuna upande mwingine ambapo unakuta hgirl anapendwa na kutunzwa kama ndugu kabisa lakini bado haishi vituko.Binafsi siwezi nyanyasa mtu ambaye anakaa na mtoto wangu , anampikia , anamlisha n.k wakati sipo,na naamini kuna kina mama wengi tu ambao...
Hawa mahousegirl ni kama wamevamiwa na roho gani sijui kila mzazi analalamika.Jamani haya makampuni tunayofanyia kazi waangalie jinsi gani ya kutusaidia wafanyakazi wake. Kama ni kuanzisha day care centre eneo la kazi ili tuwe na amani. Hali inatisha. Kweli ni janga la taifa.
Mie sioni unbaya wa kumpa mtu namba ya simu, kwani kama sitaki uhusiano naye sinaacha kupokea tu. Kuna mazingira mengine mtu anakuomba namba ya simu kumnyima pia unaonekanaje sijui, basi nitakupa lakini sio kwamba eti nikikupa namba ya simu ndio umenipata. Wanaume wao wanafikiri ukimpa namba...
NN mimi nafikiri sheria haiko wazi hapa Tanzania au hatuijui ila kwa usalama wa watoto wako na kwa ufahamu tulionao ni kuwa mtoto ni vizuri akae kwenye car seat iliyowekwa nyuma. watoto wachanga mpaka 8months wanatakiwa watumie rear facing car seat na wakubwa 9months na kuendelea, sina uhakika...
Na ukimpata anakaa mwezi mmoja anaaga. Ukiwa unajidai eti kumbembeleza ndio utajuta nakwambia atakunyanyasa vibaya. sina hamu na hawa wadada. Leo nimeunganishwa na mmoja wa Kisingida nasikia alikuwa kwa mtu kakimbia nikasema ngoja nimu interview, aliponiacha hoi, eti kule nilikokuwa waliniletea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.