How Old are you sir? Mbona wapo wengi tu wanapata ajali. Fanya utafiti kidogo utaona. Japo wengi wao hutii sheria sana. Jambo nadra kwa sisi waswahili.
Professor mbwiliza aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa miaka ya zamani nimefanya naye kazi. Ameshastaafu. nimewahi kukutana naye posta mwaka 2018 and he was health and energetic.
Well then, umeeleweka mkuu. Zao la korosho kama yalivyo mazao muhimu ya biashara linahitaji mjadala mpana hasa kipindi hiki ambapo serikali "imechafua" utaratibu.. mawazo ya wanazuoni kama wewe na ukiwa mdau wa korosho ni muhimu ili kusaidia nini kifanyike katika kuendeleza zao hilo na utafutaji...
Wazo Murua (Kiswahili fasaha?) kuhusu kukopesha wakulima wa korosho bila riba, nashauri pia hata mazao mengine ya biashara, wakulima wawezeshwe. Ingawa nilipoona kuhusu "tafakuri", nilitarajia kusoma andiko pana na lenye kila aina ya uchambuzi na udadavuaji, ajenda ikiwa zao la korosho...
umenikumbusha kisa kimoja, jamaa aliajiriwa kama dereva kwenye construction company ya wachina. lakini ikifika muda wa kuchanganya zege akawa anaitwa ili asaidie. of course aligoma, na kibarua kikaisha...
Hahaha...naona vijana mnapitia magumu. Relax, na hamna sababu ya kupanic. Anyway, just read between the line, utaona kwamba nilikuwa naku-support. Usiongozwe na Hisia mkuu, Fikirisha akili always. Other thing, umesema uprof wa Panya? Chief, hizo ni taaluma za watu kabisa. Kawaulize jamaa wa SUA...
Mheshimiwa, unaifahamu Silk Road lakini? Je unafahamu Road to civilization of westerners? Well, Chinese wanatuzidi sisi waafrika tu, lakini wameachwa mbali sana na wa-europa.
Mkuu, pongezi kwako kwa kufuatilia mambo hususan usomaji wa vitabu. Heko ndugu! kuhusu kitabu kinaitwa-Nkomo, the Story of my Life. Kaongea mengi humo hususan independence struggle za Rhodesia/Zimbabwe ya leo. Ni kitabu kizuri though mwandishi yuko biased kwa sababu anazozijua mwenyewe. ukitaka...
Dammit! Kabanga Nickel? Hawa jamaa ni wezi na wababaishaji. Expert wao wengi ni Agent wa CIA na wabongo wamelala usingizi na hawana taarifa. nawakumbuka hawa jamaa ilikuwa mwaka 1974 nikiwa kijiji cha JURURIGWA-Ngara(kagera). walipotea njia na nikawaelekeza njia za kwenda Bugarama etc.
wait a minute..
Mandela huyu huyu tunaemjua? Mandela huyu mwanzilishi wa ANC na mfuasi wa itikadi za Mwl. Nyerere? Are you talking the same Mandela aliyekimbilia Tanzania na kupewa hifadhi na mwl. Nyerere na kusaidiwa fedha, chakula na malazi? na unamzungumzia Nyerere aliyekuwa anaamua nani awe...
Mkuu, hiyo si picha ya Mwl. Julius Kambarage Nyerere. BTW, hiyo ni picha ya kuchora ya one of the victim from mozambique. Picha hiyo ya protesters ilipigwa 2015
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.