Search results

  1. H

    Wapinzani waungana na Kagame kupinga Tanzania kupeleka Majeshi nchini DRC Kupambana na M23

    Walio wengi wametawaliwa na siasa zilizojawa maneno matamu na wanapendwa sana kudanganywa kwa kuwa ndio bit zao zinapenda lakini ukweli wanauchukia .
  2. H

    Naibu spika wa bunge

    Najisikia vibaya sana ninapoona bunge la bajeti likiwa katika hoja na kuibana serikali lakini naibu spika amekuwa ndo mtu anajibu hoja na kukandia upinzani kweli. Mungu wape nguvu wapinzani waje wajenge taifa imara lenye utawala safi.
  3. H

    Yaliyojiri kikao cha CC ya CCM Jana usiku

    muhimu wanapaswa kuweka uchama nyumba na kuangalia maslai ya taifa na so kuangalia nini kitawafanya watuwale kizembe
  4. H

    Hati ya muungano wa tanganyika na zanzibar ya mwaka 1964

    Tatizo kubwa ni huu mkataba wa muungano aka Hati na kwa kuwa watawala wamezoea uongo usio na mfano bhasi ndo maana tumefikia hapa lakini wangekuwa wanaregurate mambo ata watu wasingekuwa ma shahuku ya kutaka kujua hati ya muungano hipo wap na inasema nn lakini kwa uongo wao ulio pindukia sasa...
  5. H

    Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

    Ni nimekuwa na nataman kuwa lakini kwanini nisiwe ok nimependa na nimefurahi unajua na utaendelea kujua umakini na ukweli upo katika maandishi na maneno yako kam tukiyarekodi na kuwa ushaidi hakika umesema yaliyo kweli
  6. H

    Chadema yazidi kugawa ajira kwa vijana nchini

    Wanaishi kwa kutamani 7000 wanasahau watu walivyo komba pesa mpaka shirika la bima kufa ahaaa kwann unasahau EPA, RICH MOND unataman elfu.
  7. H

    Kwa heri Zanzibar, mtaendelea kuwa koloni la Tanganyika. Sababu hizi hapa, soma

    Yeah ni wanajifunika shuka bovu na wao awajui hilo kwa kuwa wanpenda kubeba hoja mfu toka kwa watawala
Back
Top Bottom