Search results

  1. DuppyConqueror

    Ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi waanza Msalato Dodoma

    Ndo itakuwa Mzena ya makao makuu?
  2. DuppyConqueror

    Nilifikiri ni New Page imeanza lakini wapi! Hakika sitampigia kura 2025

    Ningependa sana kusikia unashauri au ungependa Rais SSH achukue hatua gani, wakati kesi inasikilizwa mahakamani.
  3. DuppyConqueror

    Baba Tunakukumbuka

    Kila rais ana kurasa yake kwenye kitabu cha nchi yetu...historia itahukumu..kwasasa tumuunge mkono rais wetu kwa nguvu zote...ingawa kitendo cha January ku abandoni mradi wa Stieglers Gorge na kuelekea "Kusini" kunanikosesha usingizi..ifike mahali tutofautishe kati ya miradi ya kisiasa versus...
  4. DuppyConqueror

    Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

    Hiyo nafasi ya Kaimu Mkurungenzi wa Mawasiliano aliteuliwa lini? Barua mbona iko wazi kuwa atapangiwa kazi nyingine? Anyways, all the best Ms. Zuhra!
  5. DuppyConqueror

    Anne Makinda anunua nyumba kwa Tsh. Milioni 900, Dar

    Ulitaka anunue ya sh ngapi
  6. DuppyConqueror

    Wafanyakazi ( staffs) wa NMB bank wanapwaya sana kujua huduma za mwajiri wao

    Labda ukisoma mwisho utaona imeandikwa "vigezo na masharti kuzingatiwa".. Pia pole sana kwa msiba wa mzee
  7. DuppyConqueror

    TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

    Unapaswa kujivunia kufia taifa lako
  8. DuppyConqueror

    TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

    Hiyo ni laana ya kihistoria..ukisoma story za biblia utagundua kuwa hata enzi ya Yesu watoza ushuru walikuwa corrupt sana na walichukiwa na wengu...kuna kipindi watu walimnasa Yesu "anakula na kunywa na watoza ushuru"...ikawa gumzo na kashfa kubwa sana mitaa ya Yerusalemu.
  9. DuppyConqueror

    Rais Samia: Sio na kigazeti chako mara uandike Samia hivi mara vile, vingine vya uongo vingine vya ukweli

    Huwa nashindwa kabisa kuelewa ile notion ya kwamba vyombo vya habari viwe huru kuripoti, hata kama ni uwongo...very nonsensical
  10. DuppyConqueror

    Dar: Mtoto wa miaka 17 ampiga risasi mtoto mwenzake na kumsababishia kifo

    Tatizo wengi wanaanza kutoa hukumu alafu hukumu iliyotolewa ndo inatengenezewa story.
  11. DuppyConqueror

    Dar: Mtoto wa miaka 17 ampiga risasi mtoto mwenzake na kumsababishia kifo

    Hivi magaidi ndo wanaanza kujifunzia shabaha kwenye vifua vya wadogozao?
  12. DuppyConqueror

    Dar: Mtoto wa miaka 17 ampiga risasi mtoto mwenzake na kumsababishia kifo

    Motive ya mauaji ni nini? Wivu wa kimapenzi au wamedhulumiana kibiashara? Nop, haingii akilini sababu muhanga ni mtoto wa miaka 10! 1. Inawezekana ilikuwa accidental discharge...walikuwa wanacheza, kumbe baba aliiacha moja kwenye chamber. 2. Inawezekana muhanga alikuwa anaichezea, akajiipiga...
  13. DuppyConqueror

    Rais Samia Suluhu anzisha customer service agency

    Si kweli, na ndo maana nao wana Customer Service Departments ambazo mwisho wa siku zinapeleka statistical reports kwa mkurugenzi wa kampuni.. na mkuu wa idara inayozingua naye anazinguliwa.
  14. DuppyConqueror

    Rais Samia Suluhu anzisha customer service agency

    Elewa hoja..rais ana uwezo wa kuwajibisha viongozi..tatizo ni namna anavyopokea kero sugu za wananchi. Inaonekana hakuna mfumo wa mojakwamoja wa mrejesho kwa rais, matokeoyake watu wanapeleka malalamiko kwa kumvizia rais ziarani, kwa kuandika kwenye mabango. Hilo linaweza kurahisishwa kukiwa na...
  15. DuppyConqueror

    Rais Samia Suluhu anzisha customer service agency

    Kwani huo sio mfumo wa kufuatulia kero na mirejesho? Au unataka nayo iwekwe kwenye katiba? Au kwako unaelewa nini maana ya mfumo?
  16. DuppyConqueror

    Rais Samia Suluhu anzisha customer service agency

    Nimesikiliza kidogo hotuba ya Mh Rais nikaguswa na jinsi anavyochukizwa na utaratibu wa kujua matatizo/kero za wananchi kupitia 'wabeba mabango'. Naamini, kuna umuhimu pia wa kuanzisha Centralized Customer Service Agency (ikiwezekana iwe chini ya Ofisi ya Rais) itakayokusanya malalamiko yote ya...
  17. DuppyConqueror

    Nashauri Rais awekwe mbali au apunguziwe access na mitandao ya kijamii

    Sina shida na yeye kufuatilia reaction ya wananchi mitandaoni..tatizo tu majority ya wachangiani hapa bongo hawajui hata duniayao inaendaje.
Back
Top Bottom