Search results

  1. T

    Zitto kuwasilisha Ushahidi wa Rushwa TAKUKURU Ijumaa

    PCCB wauweke hadharani huo ushahidi. Zitto awe na copy kama sita za huo ushahidi maana watampora kila electronic device/gadget yake ili wafuate ushahidi. Ile simu yake hadi leo hawajamrudishia mwezi wa 10 sasa
  2. T

    Rais Magufuli: Kama una korosho na huna shamba hutalipwa

    Hakuna kuremba....neno sahihi hapa ni "serikali inadhulumu/inapora". Hii serikali inajijazia dhambi kila uchwao.
  3. T

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Nesi kachomoa drip ya mgonjwa
  4. T

    Msekwa chunga mdomo wako; Inakuwaje unalaumu Katibu Mkuu kumuita mwanachama kupitia jukwaani lakini hauongelei mwanachama kumjibu kupitia mitandaoni?

    Uitwe kikaoni kupitia Insta au Twitter kisha ujibu wito kwa barua? You're not serious
  5. T

    Mkurugenzi wa TBC Bw. Tido Mhando umechemka BIG TIME!!

    Hii mijitu inayofaidikia na ufisadi wa CCM (mfano Fidel80) wanakera sana!! Mtoa mada halalamikii kukosa kuangalia dezo ila umafia wanaoufanyaga TBC....wao wana ruzuku toka serikalini na wanapo-bid wana-bid dau kubwa sana matokeo yake kichefuchefu kama hichi!!! ratiba ya bunge na mpira...
  6. T

    Elections 2010 Wakuu wa mikoa kuchangisha pesa za ccm

    source/reference? kwa tanzania hiyo inawezekana..refer RAS wa Kigoma kwenye harambee ya CCM iliyoitishwa na Kombani.
  7. T

    Ugonjwa wa Dengue umeingia Tanzania: Soma chanzo, dalili, tiba na jinsi ya kujikinga

    it is good and alarming new. but as long as you meant to alarm the public it would be much better to find or coin into Tanzanian context. Also dont forget to give the feedback of the sample posted to RSA once are back.
  8. T

    Pamoja na Bodi kumpendekeza, Dk Rashid aweka sharti la kurudi TANESCO!

    natafuta jeshi la uasi la Tanzania nijiunge nalo maana hivi nilivyo CCM wananiua na uchaguzi ni wizi mtupu si bora nijaribu kuwatoa huenda nikafanikiwa
  9. T

    Ukiwa c.c.m unapata discounts?

    I have been puzzled for so long with these 'wakereketwa'. Vilio kila mahali kuhusu hali ngumu ya uchumi na mbaya zaidi 'kila kukicha afadhari ya jana' lakini hawa 'wakereketwa' hawataki kukubali hili. Je, ni ujinga? Je, ni kukata tamaa na chama 'chao' kwamba hawawezi kurekebisha hiyo hali? au...
  10. T

    Kikwete azungumza na wazee wa Dar; ajiandaa kwa mgongano na TUCTA

    I heard exactly what I expected to hear from him!!! This guy has NEVER been seriuos!! NI msanii, muoga na amekosa ujasiri wa ku-face challenges rather anakimbilia kwa wazee wa CCM (huwa anasema wa DSM).
  11. T

    Wahindi Wamtukana Yesu

    I know people have been insulting a lot Christianity taking an advatntage that we are not over reactive like our counterparts! Can they say such a similar thing to late Mohammad? Fatwal on them follows....then huge and violent street demonstrations! lets ignore them! OUR JESUS CHRIST is ALIVE...
Back
Top Bottom