Search results

  1. NAMKONG'O

    Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

    Mpira wa kubahatisha, mnajifariji kama mmeifunga YANGA.
  2. NAMKONG'O

    Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021

    Sawa, mmeifunga YANGA shangilieni.
  3. NAMKONG'O

    Simba ya 17 Afrika, Yanga ya 69

    Baada ya kuzimia mmepatia fahamu huku! YANGA HATA IWE DARAJA LA PILI CHA MSINGI iishikishe adabu SIMBA full stop (kawaambie mtaani kwenu)
  4. NAMKONG'O

    Sababu ya mashabiki wa yanga kuwapiga mashabiki wa simba ni hii....

    Ongea!! Mbona umekenua meno tu.
  5. NAMKONG'O

    Simba tunaangalia zaidi michuano ya kimataifa , Mapinduzi cup haikuwa kipaumbele

    Kubali yaishe, bila hivyo hatuwaachi. "SIMBA MMEFUNGWA NA YANGA"
  6. NAMKONG'O

    Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

    Sawa, ila mwisho wa yote "Mmefungwa kiume"
  7. NAMKONG'O

    Hongera Matola, Hongera wachezaji wa Simba, nimefurahi kama vile tumechukua ubingwa sisi

    Ujinga kitu kibaya sana, mpaka sasa unakosa heshima! ? Endelea kusubili vipigo mpaka unyoshe mikono juu, mkia wewe.
  8. NAMKONG'O

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Kunywa maji upoze koo, ushakula kipigo mambo ya hela pigeni mahesabu kwenu huko huko.
  9. NAMKONG'O

    Simba SC vs Yanga SC, Mapinduzi Cup final leo. Simba kuondoka na kikombe

    Mmeshituka? Soon mtatutangazia vita kama kawaida yenu!
  10. NAMKONG'O

    Simba SC vs Yanga SC, Mapinduzi Cup final leo. Simba kuondoka na kikombe

    Wewe una akili na utafanikiwa sana katika mipango yako.
  11. NAMKONG'O

    Simba SC vs Yanga SC, Mapinduzi Cup final leo. Simba kuondoka na kikombe

    Unadanganywa, chukua hatua! Hakuna mechi isiyo na umuhimu katika michezo. Kama unabisha jilegeze kwenye Ndondi kama hutatolewa macho. Kubali umepigwa.
  12. NAMKONG'O

    Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

    Mmeumia sana! Hata maneno kama yanawaishia vile.
  13. NAMKONG'O

    Hongera Matola, Hongera wachezaji wa Simba, nimefurahi kama vile tumechukua ubingwa sisi

    Ila wenzako wanaumia we endelea kujifariji.
  14. NAMKONG'O

    Hongera Matola, Hongera wachezaji wa Simba, nimefurahi kama vile tumechukua ubingwa sisi

    Tangazeni vita, Yanga ishakua tishio kwenu. Simba bila kuwaficha mnavimbishwa pua wakati uwezo wenu mdogo mno na wa kubahatisha bahatisha.
  15. NAMKONG'O

    Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

    HAKUNA MREJESHO! HADI TUNAKARIBIA KUINGIA MITAMBONI.
  16. NAMKONG'O

    Dah! Huu wimbo wa Pepsi alioimba diamond ni balaa

    Wengine walisikiliza kwa jirani labda.
Back
Top Bottom