Search results

  1. K

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Ulimwona wapi rais katika shughuli hiyo..... Au ulidhamiria nini???
  2. K

    Dr. Mwakyembe: Nikirudi nitamwaga yote kwa watanzania nimechoka sasa....

    Kwa nini asiite mwandishi mmoja wa either BBC, ALJAZEERA etc akamweleza hiyo siri???? Au laa atume Bongo huku tumpelekee mwandishi ayamwage hewani yaliyo moyoni mwake ili hata kama akifa ukweli ubakie.... Asitishie watu bana.... kutoa siri si lazima mpaka ukiwa hapa nyumbani ...
  3. K

    Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

    So why are you shouting and trembling when you hear about CDM? Just wait and see how you will be able to govern for the next 100 yrs. Shame upon your face! Get rid of your magamba before speaking to Great thinkers!
  4. K

    Kutoka ITV: Mjadala kuhusu DOWANS; wachangiaji wataka maandamano nchi nzima

    Kimsingi nakubaliana nawe kabisa...... Wasiwasi wangu ni juu ya uwajibishwaji wa hawa waliohusika kwa maana ni wengi na pengine hata mwajibishaji mwenyewe atakuwepo. Sasa kwa utawala huu wa sheria unaobagua nani awajibishwe na nani asiwajibishwe unatutia mashaka. Hebu angalia watu waliowahi...
  5. K

    Maelezo binafsi ya mgombea wa CCM jimbo la Igunga Dk. Kafumu

    Kama ndivyo mkuu, basi nadhani sote tukiri kuwa wataalam kama hawa hatunao kwenye Serikali ya sasa na hata zilizotangulia manake maendeleo hatuna na wala hakuna jitihada za kuharakisha kuleta hayo maendeleo! Serikali nzima na Bunge wanalilia posho tuuu kila kukicha na kusahau kuwa wapo wananchi...
  6. K

    Rais Jakaya Kikwete analipwa mshahara na posho kiasi gani? na analipa kodi kiasi gani?

    Sasa kama hali iko hivi, hata asipolipwa chochote ana hasara gani?
  7. K

    Rais Jakaya Kikwete analipwa mshahara na posho kiasi gani? na analipa kodi kiasi gani?

    Acheni utani basi kwenye ishu serious! Ni vyema mwananchi kujua mkuu wa nchi anapata kiasi gani toka kwenye jasho la watu wake na yeye anachangia kiasi gani kwenye jasho hili. Pia ningeshauri mishahara ya watumishi wote wa umma iangaliwe kujua kama kweli inakidhi mahitaji yao ili kupunguza...
  8. K

    JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    There is a need for vote of no confidence to JK and his cabinet that cannot deliver
  9. K

    UDOM kuandamana kwenda Bungeni

    Napatwa na wasiwasi kama unaelewa unachokiongea! Au pengine ni elimu yako ndogo kuliko huyo uliyeletewa umfundishe.... Inawezekana hata wewe hujui unachokifanya ofisini kwako ndo maana ukataka kujulishwa cha kumfundisha huyo mwanafunzi. Au pia yawezekana huelewi maana ya Field practical.... Kwa...
  10. K

    UDOM kuandamana kwenda Bungeni

    Punguza matusi ndg yangu! Huku kuna wakubwa zako, baba zako na mama zako!
  11. K

    POSHO: Bunge lamjibu Zitto Kabwe; atoa msimamo wake

    hata kama taasisi ni ya kwake! Lakini si ina wanachama hivyo walau anatumia anachopata na wenzake! Jiulize wabunge wengine wanatumia na nani wanachopata???
  12. K

    This is why I am a Mnyika fan, not disapointed yet

    Mpe ridhaa ya kuchukua kodi kwa wananchi uone kama hatafanya! Kodi wanachukua mafisadi halafu unamlaumu mtu mwingine????
  13. K

    Prof. Lipumba na Bajeti ya 2011/2012

    Unaonaje mkuu? Tukiungana kama Egypt hatuwezi kumpata kiongozi atakayeweza kupigania maslahi yetu kama watanzania na kuondokana na huu ubinafsi uliopo? Na pia tukiwaelimisha askari wetu kuwa tunapodai maslahi ya nchi ni pamoja na wao si watatuelewa waache kupiga watu watakapoandamana???? Mimi...
  14. K

    CHADEMA hopeless

    BANGE! Hawa ndo wametumwa na magamba baada ya kulalamika kuwa jf ni ya CDM. Na huwezi kuamini huyu ni kiongozi wa ngazi ya juu kabisa ktk chama! Uelewa wake wa mambo na lugha yake ndo hiyo! Poooooooooor Magamba
  15. K

    Jk azidi kuandika historia

    Nadhani wewe ni Omari! Hivi ndg. yangu unajua wajibu wa serikali na mihimili yake kweli???. Hebu nenda basi darasani au tuishenii ukishajua hilo ujifunze pia na wajibu wa vyama vya upinzani ndo uje kuandika huu utumbo wako hapa jamvini. Au ni hayo magamba yanakulemea ??? Bosi wako si amekuamuru...
  16. K

    Magamba si mchezo: Idd Azzan aomba radhi CCM!

    sasa wanajamii kama mtu yuko kwenye chama na haruhusiwi kumtuhumu mwenzake ndani ya chama hicho hicho maana yake nini? Kumbe ndo maana mambo yanaharibika tu ndani ya chama kwa kuwa ni kosa kumwambia yule aliyekosea ukweli!!!! Hii ni kanuni au sheria gani katika karne hii tuliyomo jamani?? Hapa...
  17. K

    Makinda azuia watu kutumia barabara; yafunguliwa baadaye

    Kazi hii angeiweza sana bwana mmoja anayeitwa Paschal Mayalla lakini kwa sasa hasikiki tena. Alikuwa mwandishi mzuri sana na mwenye kuhoji maswali ya ukweli lakini nahisi wenye magamba walishamnunua kwani sijui kwa sasa yuko wapi tena. Kama sivyo labda yuko nje ya nchi.....
  18. K

    Tanesco wanaendesha mitambo ya IPTL kwa tsh bilioni 15 kwa siku

    Twendeni mtaani .......hadi kitakapoeleweka! Kwa kura hawatatoka milele asilani...... Tukishawang'oa ndipo tuweke katiba endelevu na yenye kutoa mtazamo halisi wa maendeleo ya kweli kwa Mtanzania!
  19. K

    USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    Nadhani hapo umekosea mkuu! Ni Dr. Kashililah au sio mangi?
  20. K

    Mtihani kwa CDM

    Jaribu kulivua hilo gamba uone kama hutaona mchango wake!
Back
Top Bottom