Mchukia Fisadi
Huyo mjamaa ana mipreshapesa...
Swali:...sheria ipi?...yeye anajibu ni utaratibu..lalalalaa...
So kama ni utaratibu implies that hakuna adhabu hapo, kwasababu sheria ndio inahukumu na si utaratibu.
Oohhh bodi imesema,jazeni haraka,haraka...oohh mkikosa mkopo msinilaumu...oooohhh
Bodi inasheria zake,zinazotungwa na Bunge,yes Bunge si Bodi.
Ubalozi ni daraja tuu,hawana malaka hiyo ya kutunga sheria.
Amkeni wadanganyika!
Leo ofisa wa ubalozi na designer wanashirikiana kuunda sheria ya kifalafala ivo,hafu mnaisupport.
Si ajabu hata viongozi wetu wameona akili zenu wanawaburuza wanavotaka.
Mkulima wewe ndio mwafrika mwenye akili ya kijinga kabisa.
Issue hapa ni huyo designer kukurupuka kwa kutunga sheria,,kwa siyejiunga kukosa mkopo.
Acha ulimbukeni wewe,unajua hata hiyo database ni nini?Teknolojia imekulala kushoto wewe.
Huku ughaibuni watu wanafikiria maisha,hakuna muda wa...
Mtoa mada umezunguka sana.
Kwa ufupi,afisa huyo wa ubalozi alimpa tender mwanafunzi/designer mwenye jina "m",atengeneze database. Designer "m" akamwambia afisa huyo wa ubalozi waambie wanafunzi wako asiyejiandikisha hapati mkopo.Afisa huyo bila kuzingatia anaongea na watu wenye akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.