Wakuu,
Wakazi wa Turiani mkoani Morogoro wanakabiliwa na hali ngumu kwa sasa, hali ni tete baada ya kuibuka kwa mapigano ya kati ya Wakulima na Wafugaji.
Taarifa kutoka eneo la tukio zinaeleza kuwa, Ngo'mbe ni wengi sana waliouwawa na wakulima kufuatia kutoelewana kwa makundi hayo
Timu ya...
Wanajamvi,
Kilio cha muda mrefu cha wafanyabiashara nchini waliokuwa wanalalamikia Serikali kwamba mashine za EFD's zinauzwa ghali, kwa sasa tatizo hilo limetauliwa kwani zitatolewa bure na Serikali.
Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dk. Philip Mpango, ametoa kauli hiyo...
Wakati naperuzi katika mitandao ya kijamii nimekutana na hii habari ya uchaguzi Mkuu, nimeona nishare pamoja na waja jukwaa.
===========================
TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini (NEC), imetangaza tarehe ya kufanyika kwa uchaguzi wa Majimbo ya Arusha Mjini na Handeni mkoani Tanga...
Kuna taarifa ambayo nimeipata muda mfupi uliopita na nimeileta kama tetesi ili kama kuna mtu anayo taarifa kamili atujuze vema kuhusu hili la Rais John Magufuli, amemhamisha Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Paul Chagonja kwenda Jeshi la Zimamoto kuwa Kamishna Jenerali wa...
Wakuu,
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda, ameibua ufisadi wa bilioni 2.2 zilizotafutwa kwa ajili ya ujenzi wa barabara hewa.
Miongoni mwa barabara hizo ni pamoja na ile ya Polisi Mabatini, Sayansi Kijitonyama na Akachube.
Barabara Polisi mabatini (1.78Km) imekuwa ikilalamikiwa na...
Wanajamvi
Kama tunavyojua kwa sasa Serikali ya awamu ya 5 imemaliza mwezi na siku kadhaa ikijiendesha bila kuwa na Barza la Mawaziri na mambo yanaenda.
Nimepata wanga kwamba kumbe nchi yetu ndani ya miaka 20 au zaidi (2035) ijayo kama itaendelea kubana matumizi ya namna hii si inaweza kuwa...
Akizungumza leo Dec 6, 2015 mbele ya waandishi wa habari Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba alisema, Ukiacha kero zinazosababisha na Miundombinu TANESCO inachukua hatua madhubuti za kuwaadhibisha wafanyakazi wake wanaotoa huduma mbaya na kuwa kero kwa wateja baadhi ya kero...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
ISO 9001:2008 CERTIFIED
TAARIFA KWA UMMA
TAHADHARI KUHUSU KUINGILIA AU KUFUATILIA MAWASILIANO YA WATU
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa Programu (Application) ya simu ikijulikana kama SOFTBOX...
Rais John P. Magufuli, amemteua Valentino Mlowola, kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, kuanzia Novemba 23, 2015.
Kabla ya Uteuzi Mlowola alikuwa, ni Kamishna wa Polisi na Mkurugenzi Intelijensia ya Makosa ya Jinai katika Jeshi la Polisi.
Pia Huyu Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU kamla ya...
Wanajamvi,
Katika dhana isemayo makubaliano ni muhimu kwenye tendo la"ndoa" nimegundua kwamba mwanamke huwa kama pasi huchelewa kupata joto na hutunza joto kwa muda zaidi hata baada ya kumaliza kupiga pasi.
Inatoke mwanaume anafika nyumbani kutoka kazini anamkuta mke naye yupo nyumbani...
Wanajamvi,
Kuna gari lenye namba T 185 AVT Toyota Salon, imeungua vibaya njia inayokwenda Kibaha kutoka Baobab Secondary School na kuna Mtu ndani ameungua vibaya sana limebaki fuvu tu hata hatambuliki.
Polisi Kibaha ndio wapo kwenye tukio. kama unamjua mtu mwenye gari hiyo au ndugu zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.