Acha upumbavu...Yes, acha upumbavu wa kulazimisha mtu mwingine alambe maungo yako ya siri...
Unamuweka mkeo kwenye risk ya kupata maambukizi ya kinywa na koo ambayo yanaweza pelekea hata kansa...
1. Mtoto ana umri gani?
2. Kuna mabadiliko yeyote wewe uliyonayo kwa sasa tofauti na wakati wa uchumba wenu?
3. Je, nje ya sex ninyi ni marafiki mlioshibana ambao mnaweza mkakaa na kupiga stori, kupanga mipango pamoja n.k? Hapa itakusaidia kujua kama mna connect au mpo pamoja kwa sababu...
Si lazima iwe changamoto...
Fikiria tu katika kuendesha, then ukagongwa kitu kidogo tu kama front or rear bumper kiasi kwamba haliwezi tengenezeka tena, unahisi utalipata wapi bumper jipya au hata used kama sio kuanza kuagiza nje na kupark gari maskani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.