Search results

  1. ehm

    Uimara wa CHADEMA Umethibitika kwa sakata la Slaa

    Kumbe ukweli mnaujua KUWA hata kuondoka kwa EL CCM hakuwezi kukiteteresha Chama.Punje ya wali kudondoka hakumalizi wali kwenye sahani.
  2. ehm

    Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

    CHADEMA kuingia Ikulu ni ndoto ya Ndaria.' Haupo mshikamano kati ya Mpanda ngazi na mshuka ngazi.UKAWA wanadanganyana wanatuhadaa kuwa wako pamoja lakini kiundani hawana dhamira moja. iSITOSHE umoja huu ni ndoa ya mkeka pale viongozi wa vyama vya upinzani walipoungana kutokana na mihemuko hasi...
  3. ehm

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    unaoumia na programme na janja za kula hela za wateja za mtandao huu wa voda ni wengi.Unaweza kukuta ama kwa ridhaa yako au na wajanja bila ridhaa yako umeunganishwa na huduma zinazokula salio kwa kiwango kikubwa sana. Ikiwa unajua waweza kujiondoa kwa kutumia utaratibu uliowekwa kama hujui...
  4. ehm

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Tunaoumia na programme na janja za kula hela za wateja za mtandao huu wa voda ni wengi.Unaweza kukuta ama kwa ridhaa yako au na wajanja bila ridhaa yako umeunganishwa na huduma zinazokula salio kwa kiwango kikubwa sana. Ikiwa unajua waweza kujiondoa kwa kutumia utaratibu uliowekwa kama hujui...
  5. ehm

    Hussein Machozi Adaiwa Kufumaniwa huko Mombasa Kenya

    Waswahili wanasema ngoma ikilia sana haikawii kupasuka. Ni hivi karibuni mwanamziki wa Kitanzania wa muziki wa kizazi kipya Hussein Rashid kwa jina maarufu Hussein Machozi ametokea kuvuma sana huko nchini Kenya kwa vibao kadha motomoto kama ' nipe' na Addicted alivyocheza akishirikiana na...
  6. ehm

    Tanzania (Taifa stars) v/s Msumbiji (The Mambas)

    Tatizo si vyombo wala mitambo bali ni masilahi. Kinachotakiwa ni watu kuingia uwanjani kwa kukata tiketi kwa wingi ili kujaza mifuko.Kama ni kuuona huo mtanange utapatikana kwenye marudio na si muhimu tuonwe live kwao masilahi kwanza mengine baadae. Hata hivyo Timu hii inatakiwa mazoezi zaidi...
  7. ehm

    Matokeo Kidato cha Sita yatangazwa rasmi

    THE 2014 'ACSEE' RESULT IS OUT, GIRLS SHINING MORE THAN BOYS IN PERFOPMANCEA-SHARE ON EMAILEMAILSHARE ON PRINTPRINT The Deputy NECTA Executive Secretary Dr. Charles Msonde The results for Advanced Certificate for Secondary Educationa Examination ( ACSEE ) 2014 annouced by the...
  8. ehm

    Ratiba ya mtihani scee 2014 imetoka ipate hapa

    RATIBA YA MTIHANI YA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA HUU INAANZA RASMI JUMATATU OKTOBA 06, 2014, NA MTIHANI WA MAJARIBIO WA CHAKULA NA LISHE (051/2 FOOD AND NUTRITION PRACTICAL ) NA KUMALIZIKA IJUMAA, NOVEMBER 28,2014. Mwaka huu mwanafunzi atakaye tumia namba ya mwanafunzi mwingine, ama kimakosa...
  9. ehm

    Mahabusu Geita wavua nguo kutetea haki zao

    SIKU ya Jumatano 25,Juni 2014 mahabusu tisa wa gereza la Wilaya ya Geita mkoani hapo walivua nguo hadharani mbele ya Mahakama ya Wilaya kwa madai ya kucheleweshwa kusikilizwa kwa shauri lao. - See more :bump:click here
  10. ehm

    World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    Mechi za leo kweli ni kali.Ukiacha hii ya Brazil na Chile iliyoisha muda si mrefu Brazili katokea tundu la Sindano.Colombia ingawa hawajawahi kuchukua kombe hili tokea michuano hii kuanza hapo 1930 inaonekana kujaribu bahati yake dhidi ya Uruguay ambayo ilikwisha lichukua kombe hili mara mbili...
  11. ehm

    Taarifa Mpya kuhusu.JKT 2014 Kidato cha sita. Majina Awamu ya PILI haya hapa.

    bofia liki hii ujue ulikopangwa. Hii Wiki jijini Mwanza: (BREAK NEWS) - MAJINA YA VIJANA KIDATO CHA SITA 2014 MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA PILI NA VIKOSI WALIVYOPANGIWA VIJANA WOTE AMBAO WAMEMALIZA KIDATO CHA SITA NA MAJINA YAO HAYAJAONEKANA KATIKA AWAMU ZOTE MBILI WAWASILIANE NASI...
  12. ehm

    Which structure of government do you prefer to be implemented in Tanzania?

    click this link to caste your ballot; :busu http://poll.pollcode.com/52594856
  13. ehm

    Kufahamishwa vizuri juu mafunzo ya kijeshi wahitimu kidato cha 6.

    Kwa ufahamu zaidi bofia link hii:israel: Hii Wiki jijini Mwanza: TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA - 2014 ;
  14. ehm

    Diamond Platinum....Hata kama imevuja..ila taaamu

    KWELI KIJANA HUYU NAMUAMINIA. Wakosaji ndio maneno yao hao.Nimezisikiliza nyimbo HIZI zenye jina la kufanana Kitorondo ya Nurdin ft Alsay na Diamond Platinum.Kweli zina mahadhi ya kufanana NA ZIMEPIGWA katika mtindo wa Kigodoro. Sijui aliyepiga muziki wake kwa mtindo wa Kwasakwasa, Hip Hop,Rn...
  15. ehm

    BHATOJA - Bob Hisia auiimba kwa lugha ya kisukuma kwa hisia kali.

    Nimeusikiliza WIMBO wa Nurudin na Aslay wa KITORONDO unaodaiwa kugushiwa na Diamond Platinum lakini, sijasikia huo wa Diamond unaodaiwa kugushiwa ili kujiririsha. Naomba anayeweza ku 'upload' Kitorondo wa Platinum ili kujirisha na hoja hii ya ku 'copy' na ku 'paste' anayobambikizwa nayo hivi...
  16. ehm

    BHATOJA - Bob Hisia auiimba kwa lugha ya kisukuma kwa hisia kali.

    Tupende wanamziki wetu. hii wiki jijini mwanza: Pata wimbo katika mahadhi ya kisukuma wa bob haisa - bhatoja.
  17. ehm

    BHATOJA - Bob Hisia auiimba kwa lugha ya kisukuma kwa hisia kali.

    "charity begins at home"
  18. ehm

    Mafunzo ya JKT awamu ya Kwanza - 2014

    Wale waliokuwa wamepangwa Kambi la RUVU soma kupata marekebisho (.VIJANA 1200 WAMEONDOLEWA KUTOKA KIKOSI CHA RUVU NA KUPELEKWA VIKOSI VYA MAKUTUPORA, MAFINGA NA WACHACHE VIKOSI VINGINE.) Pata mabadiliko haya kwa kubofya link hii: -:bange...
  19. ehm

    BHATOJA - Bob Hisia auiimba kwa lugha ya kisukuma kwa hisia kali.

    Kwa maelezo zaidi ingia katika link hii.:high5::high5: Hii Wiki jijini Mwanza: Pata Wimbo katika Mahadhi ya Kisukuma wa BOB HAISA - BHATOJA.
Back
Top Bottom