Search results

  1. mkonowapaka

    Hii form ya traffic inamhusu nani

    hehe na bili uliweka kwa bwashehe ili ukae vimbwetani kwa raha....
  2. mkonowapaka

    Je, Mhe. Zitto Akamatwe na Kushtakiwa Kwa Kuidhalilisha Taasisi ya Urais Kwa Kudai Fedha za Leo Sio Gawio ni Maduhuli?

    Iliwekwa wazi makampuni na taasisi zinazotoa maduhuli na wanaotoa gawio...sasa hayo ya zito sijui yametoka wapi....
  3. mkonowapaka

    Rais Magufuli kupokea mabilioni kama Gawio kutoka Taasisi, Kampuni na Mashirika ya Umma 47

    kimya kimya hainogi ..mambo kuwa wazi hivi yanaleta uwajibikaji wa viongoz wa mataasisi na kampuni husika
  4. mkonowapaka

    Sioni umuhimu wa daraja la Aga Khan - Coco beach kwa sasa

    Ivi mbona nyie kaz yenu kupinga tu kila jambo? mtu unakaa kwa mtogole utaujua saa ngapi umuhimu wa barabara hii...mimi naishi kunduch na ili kukwepa foleni huwa nikifika moroko naingia msasani then oysterbay then narudi salenda...sasa kwa daraja hili ina maana nitainyoosha moja kwa moja via...
  5. mkonowapaka

    Weka mate niteleze, kama nyoka pangoni

    kwani wewe hujawai kupaka mate ili iteleze?? au huwa unapaka nini.....
  6. mkonowapaka

    Kisa mchepuko amuua mumewe kwa mafuta ya moto

    mbona kama ya siku nyingi hii
  7. mkonowapaka

    Je, anayetumia ARVs kupunguza makali ya VVU akipimwa virusi vitaonekana?

    inapatikanaje kwa Tanzania na gharama zake?
  8. mkonowapaka

    Exclusive pic: Diamond ndani ya mjengo na wanae

    hehehe mtalaka haachwi
  9. mkonowapaka

    Toyota carina Ti inauzwa 4milion

    so? gari yangu usinipangie matumizi...over
  10. mkonowapaka

    Toyota carina Ti inauzwa 4milion

    weka lako tulione shenzy ww
  11. mkonowapaka

    Toyota carina Ti inauzwa 4milion

    baba yako analo?
  12. mkonowapaka

    Toyota carina Ti inauzwa 4milion

    Gari aina ya toyota carina inauzwa..... specifications: 1. Ti carina 1998 2. CC: 1490, Engine 5A. 3. Haina AC ila mfumo wa ac upo vitu vingine vipo safi, gari haivumi imetulia barabarani. 4. Haina ubovu wowote inatembea;njoo na fundi wako ajiridhishe ukipenda 5. Insurance inaisha mwezi huu...
  13. mkonowapaka

    Uzalishaji mdogo wa testosterone husababishwa na nini?

    Pole aisee, kama huna hizi homon ndio basi tena.....
  14. mkonowapaka

    TANGA: Watu 2 wauawa huku miili yao ikiwa haina nguo na imefungwa kamba za miguuni katika nyumba ya kulala wageni

    inawezekana pia wameuana....ila kuua wanaume wawili kwa wakat mmoja ni shughuli kweli kweli lazima kelele zingesikika....muhudumu atusaidie
Back
Top Bottom