Search results

  1. roselyne1

    Kwa nini waafrika wengi wako conservative mno kimapenzi

    umewashika pabaya......... dada zenu tunapenda ma rangeeeeeeeee....(ya kupewa LOLS!
  2. roselyne1

    nasuuuutwa na roho.....

    huyo kwenye avatar ni wewe?:tonguez: ... Shift+R improves the quality of this image. CTRL+F5 reloads the whole page.
  3. roselyne1

    nasuuuutwa na roho.....

    hivi wewe badili tabia,huyo kwenye avatar ni wewe mwenyewe???? :tonguez: ... Shift+R improves the quality of this image. CTRL+F5 reloads the whole page.
  4. roselyne1

    Anampenda sana ndiyo maana hatamgusa….

    hapo mwisho umenichanganya hii story inaelekea nzuri ila mbwembwe za mwandishi zitatufanya wengine tukose uhondo aliotaka kuufikisha
  5. roselyne1

    Msaada huyu dada wajameni

    akome analo hilo,ajiandae kuwa single mother na hivi hana kazi mbona ataipata pata!!!!
  6. roselyne1

    Anaharufu kama bata nitamsaidiaje?

    hii mada imenichekesha sana hahaahaaaaaaaaaaaaaaaaa
  7. roselyne1

    Wadada: Nisaidieni mganga wa kienyeji, hali yangu tete in case mnantakia mema

    ungeweka jukwaa la matangazo kule unatafuta mganga,sio kuomba wadada hapa kupaint picture ni washirikina kny mahusiano
  8. roselyne1

    TK shines brighter than as usual

    ana ngozi nzuri...:A S thumbs_up:
  9. roselyne1

    Cheki jezi ya timu ya wanawake ya Iran

    hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hizo jezi za cameroon mbavu sina:becky::becky::becky:sijui ni ubunifu au kubana matumizi mpaka wavae kanyela humo humo:becky::becky:
  10. roselyne1

    Chuchu zimeingia ndani.

    niliwahi kusikia ni dalili mojawapo ya cancer hio mwambie aende hospitali kwa uchunguzi zaidi...pole sana
  11. roselyne1

    Wanawake mambo bwana.!

    mmmnhhhhhhhh.....
  12. roselyne1

    Shoga maarufu jijini Dar, Anti Asu

    astaghafirulahi....:confused2:
  13. roselyne1

    Jamani Rorya na hatima yake

    mpeni John Mashaka....jimbo hilo,si ametokea huko....?:glasses-nerdy:
  14. roselyne1

    Jamani hii kali haijawahi tokea

    jamaa akawa na rafiki yake,akawa na demu wake,akawa yeye akawa jamaa yake akawa mkewe...dah:madgrin::madgrin:
  15. roselyne1

    Rio Paul na Ally Remtulah ni mashoga?

    jf sio kijiwe cha kuchafulia watu majina.....huna ushahidi funga bakuli lako
  16. roselyne1

    Ofisa Mipango Chamwino ajiua.... baada ya kumshika mke na lijamaa

    nishakuambia marufuku kuniquote.......
  17. roselyne1

    Ofisa Mipango Chamwino ajiua.... baada ya kumshika mke na lijamaa

    kuna juhudi za mambwiga humu kutaka kupaint picture kama huyo kaka amejiua kutokana na wivu wa mapenzi...get it straight,amejiua baada ya kugundua/kudhani ameua!!!.....sio kama aliwaona hao wagoni wake na kujipiga risasi hapo ndio mngeleta blah blah zenu kuwa ni wivu wa mapenzi.......
  18. roselyne1

    Binti ashaurika namna ya kuwa mtu mzima....................

    wenzetu wa pwani,huwa wanacheza mtu unyago once anapovunja ungo.....haya mafunzo ni ya muhimu kumuandaa mtu kuwa mtu mzima.....
  19. roselyne1

    Je ni sahihi kwa watu kumzonga na kumzomea mwanamke kwa mavazi yake

    mnh kuna watu wanajiona wana haki ya kuwachagulia watu wengine maisha ya kuishi this is soo wrong....tubadilike,ifike wakati mtu akitoka na bikini iwe sawa so long hajaiba/hajavunja sheria yoyote........
Back
Top Bottom