Kuna NGO's wana miradi inaitwa School feeding hivyo wanasaidia watoto kupewa chakula cha mchana usisikie kuna mahali njaa ipo,hata WFP walikuwa na mradi kama huu huko dodoma hivyo siyo kitu kigeni sema watu hawajui yanayotendeka nchini mwao!
Ila waovu hawatishiki wanamizizi sana maana waovu wote siku zote wanamifumo ilijengeka kwa rushwa ili kuwatoa yakupasa kwanza kujenga mifumo yako kwanza vinginevyo utakuja juta!
Hivi nani anamtuma? Wanaomtuma wanadhani wanatengeneza kwa Rais Iła ukweli huyu jamaa anadhalilisha Chama, CCM ni nichama kikubwa ambacho kinawatu wakukisemea hata kama ana taasisi yake ya Mama ongea na Mwanae basi azungumzie vitu vinavyohusu taasisi yake, haya mambo yakuongelea vitu vikubwa...
Kesi za viwanja huwa aziishi mahakamani unaweza ukafa ujapata haki alichofanya Jerry ni sahihi maana wamiliki ni Ardhi kama nyaraka zupo sahihi hakuna budi.
Zile ni movie kwanza fahamu myahudi hakuwa akijua kuwa kuna maandaki gaza nzima hivyo mpaka wanaibukia Israel wanaua watu wanateka wengine wanazama nao gaza myahudi aliishiwa pozi ndiyo maana kisasi nikuua watu hovyo na jamaa nahisi mateka wapo syria au Lebanon au hata Iran au walishauwawa...
Nakama walikuwepo leo wamewamalizia maana leo Israel kapiga katikati ya kundi la wa Palestine waliokuwa wakikimbilia gari la misaada 128 kawalaza na 700 majeruhi!
Wanabody hili ni wazo kwakuwa hili liliwai kufanyika miaka ya 2013-14 na liwa na mafanikio makubwa sana nakumbuka lilifanyika pale Kebby'es na nyingine ikafanyika Escape one.
Namimi nikiwa moja ya hile kamati! Na kwakuwa imepita muda mrefu basi tunaleta wazo kwenu ili anagalau tukutane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.