Search results

  1. S

    Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Kwanza tuambie ili tujue kama unachoandika kina ukweli. Wakati Makonda akiwa Katibu mwenezi, Nchimbi alikuwa nani ili aambatae na Makonda?
  2. S

    Joseph Musukuma: Kikokotoo kinawaumiza wananchi, tunatengeneza taifa la wezi

    Kwa mtazamo wako huu, wastaafu wote wa mafao walikuwa wanakaa nyumba za serikali au za bure wakiwa kazini?
  3. S

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Kwanza niulize kwa nini anatukanwa, na pili nikuulize wewe umeenda kuyatafutia wapi matusi anayotukanwa, na tatu nikuulize matusi ya Magufuli au Lowasa uliyaona?
  4. S

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Ndio theme ya ya thread hii - oyaaa, acheni kuweweseka, hakuna jipya hapa kwa sababu tu raisi ni Samia!
  5. S

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Unafuatilia matusi, na mie unataka nifanye hivyo?
  6. S

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Nimesema inawezekana, lakini hakuna la zaidi ya lililo kawaida, ambalo halikuwahi kutokea kwa maraisi waliopita.
  7. S

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Kuitwa msagaji sio tusi, ni tuhuma ikiwa bado hazijathibitishwa. Sasa suala ni kwamba ni tuhuma za kweli? Kwa nini useme umetukana kuliko kusema umetuhumu basi?
  8. S

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Ulisoma yale ya Mange Kimambi dhidi ya Magufuli? Sasa kipya kipo wapi hapo?
  9. S

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Hawa watu wanamchezea tu raisi, kwa sababu wamemsoma. Kukubali kwake yale wanayofanya inaweza kuwa ni kuonyesha udhaifu kwa namna fulani. Inapaswa awakemee wao, awaambie uraisi ni ukubwa na ukubwa ni jaa. Kuna kukosolewa na hata kutukanwa, nk. Asipofanya hivyo, inaweza kufikia akawa na...
  10. S

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Najua linakotokea ndio maana nimeandika thread
  11. S

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Ukiwa na akili timamu utayapuuza maneno kama hayo badala ya kuyakuza. Kwani yanaweza kuwa kweli kwa namna yeyote ile? Ni sawa na mie kukuambia tumbili wewe. Utakasirika ikiwa unajua wewe sio tumbili? Ukasirike kama wewe ni tumbili kweli na umekuwa ukificha hilo, na sasa nimetoa siri yako hadharani
  12. S

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Hili suala la viongozi kujipendekeza kwa Raisi Samia sasa limeanza kupita kiasi, na lisipodhibitiwa litaleta mtafaruku nchini. Mfano ni hili suala la Raisi Samia kutukanwa. Siamini kabisa kwamba Raisi Samia anatukanwa, kwamba maneno ya kumkosoa na kumpa majina kama Mama Tozo sijui ni jambo...
  13. S

    Kuna vodeo inatembea mitandaoni ya bodaboda kugongana uso kwa uso na Subaru huko Arusha inahuzunisha sana

    Naona waliigonga tairi gari halafu wakarushwa ndio wakagongwa na hiyo gari nyingine
  14. S

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Hahaha! Kuna mwanajeshi mmoja alimpa mimba mtoto wa raisi. Akaitwa Ikulu. Akaambiwa kaa hapa subiri. Raisi alipojitokeza jamaa akasimama halafu akaanguka chini kazimia!
  15. S

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Raisi Samia huyu au mwingine, amtumbue Makonda? Utasubiri sana. Wenzako walishauliza maswali hivi Makonda anajiamini nini kwa Raisi Samia hadi anafikia kufanya yale anayofanya. Usione vinaelea huko ndani vilishaunganishwa siku nyingi
  16. S

    Hivi wanaofanya mashirika ya UN kama UNHCR, WFP hapa bongo huwa wanakatwa kodi na NSSF?

    Payeee ni kodi ndani ya nchi, na ukifanya kazi mashirika hayo hukatwi kodi. Kwa hiyo hawakatwi Payee. Na wao wana utaratibu wao wa pension, hawawezi kusimamiwa na vikokotoo onevu kama vya Tanzania. Hivyo ni vyetu sisi, hivyo hawana mpango na NSSF
  17. S

    Rais Samia: Serikali kufanya uchunguzi sababu halisi za mafuriko na kuchukua hatua

    Na tunatoa demonstration: Wanachotaka kutuambia wanasiasa ni kwamba, uwepo wa Bwawa la Nyerere hautazuia mafuriko hata miaka ya mbele. Sasa hilo si kweli. Kila itakapotokea mafuriko wakati Bwawa la Nyerere lipo ujue kuna uzembe umefanyika. Kumbuka, masika Tanzania ni kama miezi minne, na...
  18. S

    Rais Samia: Serikali kufanya uchunguzi sababu halisi za mafuriko na kuchukua hatua

    Safi sana! Hatimaye Raisi Raisi Samia ameanza kutuelewa na kutupilia mbali maelezo ya kisiasa! TUNASISITIZA Tunapenda kuufahamisha umma wa Watanzania kwamba, uongozi wa CCM umekuwa ukijaribu kutumia kila njia kuonyesha hili tatizo halijasababishwa na Bwawa la Nyerere, pamoja na kuwapa TANESCO...
  19. S

    Serikali: Watu 33 Wamefariki Kutokana na Mafuriko na Mvua Kubwa katika Mikoa ya Morogoro na Pwani

    Wakijua kuna watu kama wewe ndio maana wanatoa staement kama hizo. Mwaka 1974 hakukuwa na Bwawa la Nyerere, na Bwawa la Nyerere limejengwa kwa ajili pia ya kuzuia mafuriko, lakini lazima ujue namna ya kubalance maji ili kuzuia mafuriko. Unachotaka kusema, kwa kuwa akili yako imezoea kumeza kila...
Back
Top Bottom