Search results

  1. B

    Spika: Milipuko ya mabomu Gongo la Mboto sio jambo la dharura!

    Swali: 1. Kwanini bunge lilisitishwa jana? 2. Katika hali ya dharura "Vichwa" hukaa pamoja na ku tafakari au huenda mapumzikoni? Bunge lilipositisha vikao vyake jana lilifanya nini kusaidia tukio la Gongs? 3. Wabunge walilipwa posho kwa siku ya jana? Kama ndiyo, na nani? Walipakodi? 4...
  2. B

    Tumeridhika masuala ya vijana kuhamishiwa wizara ya habari na michezo?

    Tuna tatizo ya kutojua tatizo na kulitafutia mzizi (root course) kabla ya kutoa solution. vijana kweli wanahitaji ajira lakini kuweka wizara moja yenye maneno Vijana na Ajira au michezo haujatatua shida. Ajira million moja hazitengenezwi na wizara bali mkakati wa kweli wa kutengeneza ajira...
Back
Top Bottom