Search results

  1. ikersmn

    Usikate tamaa wakati unatafuta

    Maishani ni jambo jepesi sana kukata tamaa tena endapo umeshajaribu jambo fulani mara nyingi na likaleta matokeo hasi. Mara nyingi tunakumbwa na hisia za kuliacha jambo hilo bila kutafuta mbadala au njia ya kusahihisha makwazo yanayotuzuia kufikia malengo yetu. Hapa nazungumzia vitu...
  2. ikersmn

    Samatta Ndani ya UEFA

    Champion boy katupia huko 5-2
  3. ikersmn

    Samatta Ndani ya UEFA

    Game ndo imeanza mkuu, saa nne kamili
  4. ikersmn

    Samatta Ndani ya UEFA

    Kwa namna moja au nyingine najua kuna mamilioni ya watanzania walikua wakingoja mtanange wa Genk ndani ya UEFA CL kumuona champion boy Mbwana Samatta.. Kama miongoni mwa watanzania basi natumia fursa hii kumpongeza champion boy 255 kwa kuipeperusha bendara ya Tanzania vyema, napata faraja sana...
  5. ikersmn

    Vifungo vinavyotukwaza vijana tusikue kiajira

    Nilikua likizo kidogo.. sasa tupo pamoja
  6. ikersmn

    Vifungo vinavyotukwaza vijana tusikue kiajira

    unakuta kijana ana akaunti kumi kwenye betting company tofauti tofauti... madhara yatokanayo na kubet ni makubwa sana.. kubet kuna addiction kama madawa ya kulevya.. kubet kunapunguza sana uwezo wa kufikiria maisha nje ya kamari... chances kubwa kama kampuni za kubet zingekua hazipati faidi leo...
  7. ikersmn

    Vifungo vinavyotukwaza vijana tusikue kiajira

    Nimefanya tafiti ya muda mfupi nimegundua watu tulio wengi pindi tunapopata ajira ya kwanza au ajira kwa ujumla kuna namna tunaridhika sana na mazingira ya ajira hiyo na kujifunga kutafuta fursa nyingine za kufanya tukue kiajira "career development". Mfano mdogo tuu, mazingira ya kazi, marafiki...
  8. ikersmn

    Ni jambo jema kushukuru

    Wana jf nashukuru sana kwa mawazo, ushauri, sala, majadiliano mbalimbali kuhusu ajira, nisipo shukuru nitakuwa mchoyo wa fadhila, kwa sasa nimepata kitengo, naomba muuendelee na moyo huo huo wa kusaidiana.
  9. ikersmn

    PSRS: Vipi kuhusu SSRA majibu ya usaili

    Namaanisha kama wameita kazini??
  10. ikersmn

    PSRS: Vipi kuhusu SSRA majibu ya usaili

    Ningependa kuuliza kama kuna mtu yoyote mwenye kujua updates zozote kuhusu hawa jamaa, maana interview ilifanyika toka mwez wa saba na wa nane mwanzoni, majibu ya wote tuliofanya nao naona yameonyeshwa 23-aug lakin ya ssra naona kama hayapo, vipi ni kwamba yame sahaulika au ndo kuna wenzetu wapo...
  11. ikersmn

    PSRS: Majibu ya Maswali na Hoja za wadau, Desemba 2014/Januari 2015

    Zile ajira za SSRA ndo zmechinjiwa baharin, interview toka mwez wa saba mpka leo hakuna majibu..
  12. ikersmn

    Nimeitwa oral BOT

    Post gan
  13. ikersmn

    Interview SSRA

    Habari wakuu, nlikua naomba msaada kidogo, hivi hizi interview za serikali za written znakuwa vipi kwa wale mliokwisha fanya?? Mfano ssra..
  14. ikersmn

    Updates SSRA

    Vp kuna yoyote mwenye taarifa za hawa jamaa kama wameita watu?
  15. ikersmn

    NHIF wametoa majina

    Muendelezo huo..
  16. ikersmn

    NHIF wametoa majina

    Majina hayooo, kwa waliopata hongera..
  17. ikersmn

    TPDC nini kinaendelea

    Msaada kidogo wakuu, vp interview ilkuaje, maswali yao yanahusu nn??
  18. ikersmn

    Interview TPDC

    Wakuu mliofanya interview tayari tuhabarisheni yaliyojiri tujiandae na nn??
Back
Top Bottom