Search results

  1. tete'a'tete

    Tanzia: Nimefiwa na Baba yangu Mzazi (RIP Daddy)

    Wapendwa wana JF! Nimefiwa na babayangu mzazi juzi jumosi, Mazishi ni ijumaa tarehe 11/9 Pale Rauya Marangu Moshi. Maombi yenu kwangu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mzazi mpenzi. Bwana ametoa na bwana alitwaa Jina ake ihimidwe. RIP my lovely Daddy.
  2. tete'a'tete

    Kwa hali ilivyo sasa, nitaoa mwanamke tajiri

    Duu $ 5000 unajitangaza kweli wewe ni mshamba kweli kweli!! anyway ni kwa sababu ya ulimbukeni wako tuu....tafuta mke tajiri ambaye ni mshamba kama wewe $5000 unjiona tajiri???shame on your face....
  3. tete'a'tete

    Natafuta gari Toyota Allex au Runx ya 2004 na kuendelea

    mkuu hii gari bado unayo natafuta sana Runx/Allex
  4. tete'a'tete

    Natafuta Gari dogo IST, Toyota Allex, au Runx

    Kama unayo kati ya hizo gari hapo juu na utaka kuziuza please nipm tufanye biashara nipo Dar.
  5. tete'a'tete

    Updates ya Mashamba / Viwanja ya Fukayosi Bagamoyo Project ya KKKT Mwenge

    Jamani mwenye updates yeyote ya yale mashamba viwanja vya Fukayosi ile project ya kkkt mwenge naomba anijuze juzi jumapili sikuweza kwenda kwenye kikao pale mwenge kanisani sijajua waliongelea nini baada ya waumini waliotoa hela zao baada ya kupelekwa fukayosi kukatokea ugomvi mkubwa kidogo...
  6. tete'a'tete

    Pata mashamba Bagamoyo

    Mkuu hayo mashamba ya fukayosi bado ni kitendawili juzi jumamosi ya tarehe 18/10 tulikuwa huko na surveyor kama mtakumbuka kanisa la KKKT walitoa ofa ya waumini wake kuhusu project ya kununua viwanja huko Fukayosi basi tukaenda as a group kufika kule tumewakuta wanakijiji wamangati wanachunga...
  7. tete'a'tete

    Kwa wale wanaohitaji kuwandikiwa Proposal or dissertation karibuni!

    Kwa wale wanazuoni wa Masters/degree wanaohitaji hizo huduma zipo na unafanyiwa kwa bei nafuu nipm. Nawakilisha. Tete'a'tete
  8. tete'a'tete

    42 inch Flat tv

    Mkuu ninahitaji kweli ya TV nitaipataje mkuu niunganishie huko jeshini basi..
  9. tete'a'tete

    Vacancy: Puma Energy Tanzania

    hapo sasa...kila la heri kwao..wote...
  10. tete'a'tete

    Vacancy: Puma Energy Tanzania

    Interview zimeanza leo wanafanya wa business analyst...kila la kheri wote mlioitwa kwenye interview...
  11. tete'a'tete

    Natafuta msichana wa kazi za ndani

    niliona ni ujinga nilirudi pale lakini nikaona ni magumashi nikaachana nao.... ila hao wadada sio productivity kabisa...
  12. tete'a'tete

    Natafuta msichana wa kazi za ndani

    hapo mwananyamala wazushi tuu walinipa msichan unawapa 10,000 ya form na 50,000 ujira wao eti baada ya siku mbili...msichan anakema mamake mgonjwa anataka anamsalimie kuchunguza simu yke yule yule agent amemtafutia kazi sehem nyingine jamani kwa hiyo nikaliwa hela yangu but hawa jamaa ni wazushi...
  13. tete'a'tete

    Kuchimbiwa kisima

    Je bomba la mita 100 ni sh ngapi? yaani nataka nipate roughly kuchimba mita 100 na kuweka maboma mpaka pampu na nipate maji utanichaji sh ngapi mkongo juu...
  14. tete'a'tete

    Natafuta msichana wa kazi za ndani

    Kwa msaada wa wengine kuna mama yuko Kongwa huwa shughuli yake ni kutafuta wasichana wa kazi kutoka sehem ile ni wazuri ila ni std seven leaver...0786245109 Mama Rehema...
  15. tete'a'tete

    Kuchimbiwa kisima

    Mkuu mimi nakaa makongo juu hapo ccm kwangu chini si unajua maeneo ya makongo kuna miinuko.. sasa sehem ile nahitaji kuwa na shiling ngapi yaani mpaka kisima kukamilika incudng mabombana uchimbaji?? thanks, nahitaji msaada wako mkuu.... Tete'a'ete
  16. tete'a'tete

    Anatafuta kazi Housekeeper au shopkeeper!

    Hope muu wazima. Naombeni msaada kuna mdada ambaye ni dadayake na dada anayeniangalizia nyumba ana 21yrs of age antafuta kazi! alishawahi kufanya kazi za ndani na kuuza duka kwa hiyo uzoefu anao. ameniomba nimsaidie kumwangalizia popote kazi pls kwa yeyote anayeweza kumsaidia huyu dada...
  17. tete'a'tete

    Natafuta Msichana wa kazi!!!

    Salam kwenu wakuu! Nahitaji dada wa kazi kwa ajili ya kazi za nyumbani mwenye contact zozote mahali naweza kupata mfanyakazi please anisaidie...naishi makongo juu ccm. Natangulisha shukrani. regards, Tete'a'tete.
  18. tete'a'tete

    Msaidieni dada huyu

    Mimi nina shida na msichana nmekuinbox mkuu...
Back
Top Bottom