Search results

  1. wa 16

    Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

    ukizaliwa katika familia na kukuta wazazi wako wanafanya kazi za kitumwa kwako utaona wako sahihi maana ni maisha ulyowakuta wakiishi akija mtu wa nje na kukwambia ninyi mnafanya kazi za kitumwa lazima ubishi........ mtu mbishi hata awekwe kwenye chupa lazima anyooshe kidole
  2. wa 16

    Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

    baba enock umeona ehee! kwa hiyo basi huwa hatubahatishi tunapowaletea habari kama hizi za mwanza
  3. wa 16

    Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

    niliyepost hapo najua nini kinaendelea. ingia ndani ya website ya nec ID 19272313 haina mwenye ID 19272312 ina mwenyewe hebu ingia kwenye website ya nec uingize hizo namba then uniambie. nakusubiri nina dk 15 kuwa hapa janvini ndo maana mnaambiwa mrinde kura mkiondoa tu.........
  4. wa 16

    Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

    hilo ni kwa mwanza kila kituo kina majina 100 hewa, na jumla ya vituo ni 53,000 nchi zima zidisha hapo uone ccm wana kura ngapi ambzo ni hewa!! msiwe wabishi na kuanza kupayuka ovyo, hii barua ni ya kweli mimi nawambia
  5. wa 16

    Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

    hivi nyinyi watu ni lini mtatambua kuwa kuna mipango mibovu ndani ya ccm dhidi ya uchaguzi wa mwaka huu hata jambo la msingi kama hili na tena liko wazi bado mnatia question mark? tuwambie vipi ili muelewe?
  6. wa 16

    Uvumi wa kukamatwa kwa karatasi za kupigia kura Tunduma

    vnc server inanisaidia pc ninayotumia kupost hapa iko km nyingi sana
  7. wa 16

    Uvumi wa kukamatwa kwa karatasi za kupigia kura Tunduma

    simu zote za mkuu wa mkoa wa mbeya, kamanda wa polis wa mkoa mkuu wa wilaya tunazimonita hapa. sim zinazoingia na kutoka na sms zote zinapitia hapa na tunapata kila kitu. mkuu wa mkoa ameelekezwa asiingilie jambo hili maana amepigiwa simu na kinana 25 min zimepita kuwa afanye juu chini gari...
  8. wa 16

    Uvumi wa kukamatwa kwa karatasi za kupigia kura Tunduma

    polisi hawawezi kufanya chochote kuna vijana wazalendo toka TISS wako pale na ninapata taarifa ya kile kinachijiri hapo. kwa sasa bado wanakagua na kuna mwenzangu soon atanitumia hiyo karatasi then nitaiweka hapa.
  9. wa 16

    Aliyesambaza meseji za kumkashifu Slaa ni....

    hivi ninavyopost hii post yangu huyo kijana tunae hapa makao makuu.amekamatwa asubuhi akiwa anajiandaa kutoroka nchini
  10. wa 16

    Elections 2010 Revealed: Timu ya Kuchakachua Matokeo ya Nec ni Hii? (CLOSED: Ushahidi unahitajika)

    wale vijana wa IT ni kweli walifanikiwa ku-access remotely database server kwani walipata public ip-address ambayo ni 80.74.107.38 lakini tumefanikiwa kuzuia hilo lisienedelee hapo jana na sasa hawaweze kufika kule kwenye server
  11. wa 16

    Elections 2010 Revealed: Timu ya Kuchakachua Matokeo ya Nec ni Hii? (CLOSED: Ushahidi unahitajika)

    niko ndani ya TISS, narudia niko ndani ya TISS hayo majina ni sahihi na kuna watu wawili huyu kikula na nzowa tunawatafutia dawa.wameikumbatia ccm... tayari nimefanikiwa kupata karatasi feki za kupigia kura nitaziweka hapa ili umma ujue nini kinaendelea.
  12. wa 16

    Elections 2010 Kikwete apewa report ya kura za Slaa

    habari za siku wana jamvi? napenda kuwambia kuwa mimi ni mmoja wa watu wanaompenda dk slaa awe Rais wa nchi hii. naomba mniruhusu niwaletee taarifa za siri na za ndani kabisa juu mipango inayopangwa na kina kinana na kundi lake + TISS dhid ya dr slaa. taarifa nikayayoleta itahusu: mikoa...
  13. wa 16

    Elections 2010 Dr. Slaa kumuwekea pingamizi Kikwete!

    we pandikizi la ccm? na wewe hapo huna kitu zaid ya kutumikatu na utatumika sana mwaka huu. mgombea wenu ni mpopompo alipokuwa anasain ile sheria alizani haimlengi yeye? tatizo hasomi bali anasaini tu. mtajibeba mwaka huu
  14. wa 16

    Elections 2010 CCM kwa hili tusilaumiane

    hata mi sijamuelewa
  15. wa 16

    CCM taabani Bukombe

    sis huku kijijini tumejiandaa sana ccm isahau ushindi
  16. wa 16

    Elections 2010 Slaa: Matokeo yataishangaza dunia

    yaya watot wamekula? nguo zao umefua na kunyoosha?
  17. wa 16

    Elections 2010 Dr slaa anaweza kuangushwa na ''wasomi''

    vipi ndugu ile kazi aliyokutuma bado hujaimaliza?
  18. wa 16

    Elections 2010 Dr slaa anaweza kuangushwa na ''wasomi''

    ni kweli mkuu. umenena vema hakuna watu wanafiki kama wasomi wanchi hii, hata humu jf ilipotangazwa kuwa dr slaa ndo mgombea, kuna watu walikuwa wanampongeza then papo hapo wanasema haweze kushinda-- watu wa vijijini wako siriazi sana na ndio maana wabunge wengi wa upinzani wanatokea huko...
  19. wa 16

    Baada ya Dr. Slaa kufunua nyongeza; Sheria ya "mbwembwe" ni batili?

    kama umeelewa basi yatosha mkuu, si umemwelewa lakini?!
Back
Top Bottom